Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

Mkuu uko sahihi hawa watu wako smart sana. Hebu angalia matokeo ya hao wanafunzi yalivyopangwa na kwa bahati mbaya au nzuri hao ni Ndugu. Kama hauko SMART huwezi kuelewa
S0392/0540 F 9 II G/STUDIES - 'D' GEOGR - 'D' IS/KNOWLEDGE - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0188/0520 F 10 III G/STUDIES - 'B' GEOGR - 'B' IS/KNOWLEDGE - 'B' ADV/MATHS - 'D' ECONOMICS - 'B+'
http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s0392.htm http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s0188.htm
Jamani watanzania tumelogwa au mbona tunapenda kulalamika vitu bila kufahamuau kusoma... Acha upotoshaji kijana., mitandao ya kijamii isitumike kueneza uongo kiasi hiking jamani...necta wametoa miongozo VP uliisoma.. Na TCU pia ulisoma kijana..,necta kuna watu smart sana Dr msonde na Mr salum ni watu makini sana..wale hawawezi kiyumbishwa kisiasa.,
 
Acha wazidi kulichipika bomu la "unemployment"...tutakutana mtaani.
 
Mkuu uko sahihi hawa watu wako smart sana. Hebu angalia matokeo ya hao wanafunzi yalivyopangwa na kwa bahati mbaya au nzuri hao ni Ndugu. Kama hauko SMART huwezi kuelewa
S0392/0540 F 9 II G/STUDIES - 'D' GEOGR - 'D' IS/KNOWLEDGE - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B'
S0188/0520 F 10 III G/STUDIES - 'B' GEOGR - 'B' IS/KNOWLEDGE - 'B' ADV/MATHS - 'D' ECONOMICS - 'B+'
http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s0392.htm http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s0188.htm

Kizuri TCU hawahesabu hayo masomo ya dini

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
The secretary,
Lazima nifurahi;

Hata ungekuwa mimi ungefurahi pia;

Mamndenyi si jambo la kushangilia hata kidogo,mimi kama mwalimu inanisikitisha sana Elimu inavurugwa, kwa wenye ufahamu ndo wataweza kung'amua nini kinaendelea kwenye hii Elimu.Nenda vyuoni kajionee mwanachuo hajui kuandika essay ili mradi siku zinasonga huko vyuoni ni aibu huku ngazi ya chini ndio kilio, mitihani imevuja kuanzia kuanzia necta mwaka jana siye tunajionea mengi nyie endeleeni kushangilia uozo.
 
Last edited by a moderator:
Fowarded as received

Unajua maana ya BIG RESULTS NOW?? Fuatilia matokeo haya ya kidato cha sita.

Division zero mwaka jana 2604, mwaka huu 612. Tofauti watu 1992, sawa na asilimia 325%.

Division one, mwaka jana 325, mwaka huu 4,365. Tofauti 4040, sawa na asilimia 1243%. Haya ni maajabu ya karne.

Walitanua ukubwa wa goli ili iwe rahisi kufunga... Kutoka zero zaidi ya 2000 mwaka jana hadi zero 600 tu mwaka huu. Kutoka div.one 300 tu mwaka jana hadi one zaidi ya 4,000 mwaka huu.

Hivi waalimu walewale wa shule zilezile zilizotoa one 300 mwaka jana ndo wametoa one 4,000 mwaka huu??

Changamoto zao zimetatuliwa? Maabara zimejengwa? Vitabu vimeongezwa? Madai ya walimu yamelipwa? Waalimu wa Kiswahili wameacha kufundisha Hesabu kutokana na ukosefu wa waalimu wa hesabu?

Kama changamoto hizo zote hazijatatuliwa mabadiliko haya ya ghafla kutoka div.one 300 hadi div.one zaidi ya 4,000 yametoka wapi? Kweli tumeamua kutanua goli tufunge kirahisi. Karibu Tanzania, hii ndiyo BRN bhana.!

Wanasema BRN means Big Results Now, mimi namwambia Waziri Kawambwa BRN, yani he should "Better Resign Now" maana watoto wetu wanapata BRN = Brain Receive Nothing.!
 
Shule gani mwalimumzalendo1
isije ikawa tambaza.

Daaah yaan hao tambaza ndo waneniuzunisha had basi

Kwa nionavyo mm waliokua wanajituma watakua vizur hata huko chuon waendako watafanya vizur

Hapa nalipo mm waliokua vizur wametoka ila wale vilaza wajiandae kutudia mwakan
 
Last edited by a moderator:
watanzani mtakaa sana kila kitu kuponda bila kuangalia kwa makini. someni kwamakini mtaelewa sio kukurupuka. Ndio maana prf kahigi alisema watu hawataki kusoma kabisa hata vitabu au kwenye mtandao wanakazi ya kulalama tu. Kubalini mabadiliko mabadiliko muhimu kwawakati tulionao lkn ni mabadiliko yenye manufaa.
 
duh nimependa ulivyoichambua BRN
Wakale boom gani.., mwaka huu robo tu ya watakaochaguliwa ndio watapewa..., we subiri uone.., nawasikitikia kwamba wamemaliza karibu na kipindi cha uchaguzi mkuu.., poleni sana...
 
watanzani mtakaa sana kila kitu kuponda bila kuangalia kwa makini. someni kwamakini mtaelewa sio kukurupuka. Ndio maana prf kahigi alisema watu hawataki kusoma kabisa hata vitabu au kwenye mtandao wanakazi ya kulalama tu. Kubalini mabadiliko mabadiliko muhimu kwawakati tulionao lkn ni mabadiliko yenye manufaa.

Wapi nimelalamika?
 
jamani tuacheni walimu tuongezewe salary..
 
Nyie lalamikeni tu, na january huyo anataka kiti cha uraisi. Akiulizwa unao uzoefu? Anasema sifa ya kutokuwa mzoefu ni sifa mojawapo ya kijana. Hahahaaa ... kweli sembe ni plan ambayo imetokomeza akili za raia wa Tanzania
 
shemeji, sijui mjomba, aresign? uliona wapi mkuu
utasubiri sana
 
Danpol kuna watu humu wanajifanya wajuaji sana. Kuna mtu kaichota thread yako kama ilivyo kisha kaitupia kwenye grupu flani la wasap halafu akajidai eti yeye ndo creator. Watu wajifunze ku acknowledge.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom