Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

Mkuu ningependa kujua ulimaliza mwaka gani. form six na pia ulipata division gani ndipo uendelee kukoment ili usiendelee kuwa potosha wengine!!

Yaani huyo jamaa anayejiita DT angelikuwa karibu yangu, ningelikwisha mtia adabu. Anashabikia upuuzi wa kufeli kisha anasema hakuna tofauti kubwa?! -------- kabisaa.
 
Wengi wanaoponda haya matokeo ni pro-Chadema kama kawaida yao upinzani kila sehemu, mwaka jana wanafunzi walifeli waliponda mwaka huu wanafunzi wamefanya vizuri wanaponda hawajui hata wanapinga nini roho za husdaa na wivu tu, nawapa pongezi sana Walimu na Wanafunzi, pamoja na serikali.
 
Huna akili ww
 
Back
Top Bottom