sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,303
Hizi kauli wenzako ndani ya CCM washaona hazina maana,huoni wale vijana mliokuwa mnawaita wahuni na si wapigaji kura siku hizi munawanyenyekea mpk munawapunguzia ushuru katika bodaboda,wewe bado unawaita wanywa viroba?inawezekana kweli wanakunywa viroba lkn likifika suala la kupiga kura hawakosei kudumbukiza karatasi zao upande stahiki na CCM wanabaki wameduwaa......acha kebehi mambo ndani ya Tanzania yanabadilika kila kukicha.chadema ni chalenger tu si champion bado hawajakubalika na watanzania bali ni wanywa viroba na waendesha bodaboda tu