si useme hapa hapaili wengine nao waweze kujua nini cha kufanya
nadhani umenogewa na avarat yake unataka accoment ili uendelee kuiona
si useme hapa hapaili wengine nao waweze kujua nini cha kufanya
hahahaha naomba nirud badae maana huyu Nyaningabu amenifurahisha
Mimi sio daktari wa watu ila nahisi nikijua yafuatayo nitaweza kukushauri...
1. Kama umesha zaa
2. Kama una umri wa kufikia miaka inayokariana na 30 au zaidi
3. Hilo ambalo liko vizuri (saa sita) liko hivyo hivyo tangu ukue, au ilitokea kipindi likasimama vizuri huku lingine likilala
4. Naamini unafaham matiti yako vizuri; kama unajaribu kaya minya minya (baada ya hedhi), Kuna kitu chochote unahisi kigumu kama tezi, kwa ndani ambacho hakikuwepo zamani; huwa huo ugumu hau umi. Anagalia sana hilo liliko saa sita.
5. kama hujazaliwa peke yako msichana kwenu, unaweza kuuliza kwa dada zako au pengine mama kama aliwahi kuwa na tatizo kama hilo
mwisho, matiti ni kiungo sensitive sana, hivyo usiruhusu kila mtu kuleta utaalam wake biula kuwa na hakika na anachokifanya.
Ningepata majibu hayo, ningeweza kutoa ushauri zaidi...
Unaweza kuandika hapo kama unapenda au pm
Pole sana kwanza. labda nikuulize hilo titi lililo lala halijawahi kuchomwa na kitu chenye ncha kali? huenda lina pancha. tatizo lako ni dogo,nenda kwa waziba pancha waitafute pancha ilipo, waizibe. kisha wajaze upepo kama 30 hivi au 40.
TABAARAKA LWAHU AHSANA LKHAALIKIINAHmm kweli Mwenyez Mungu ni m"bora wa Uumbaji
Nisamehe sirudii tenaAmetukuka M'Mungu mbora wa waumbaji.
nijuavyo mimi ni swala la kuzaliwa tuu. Ndio maana kuna wanaume wanazaliwa hata na korodani moja. Kwa hiyo ucjali dada yangu..
Nisamehe sirudii tena
Nimekujibu kwa masihara ndio maana hukunielewaKwa nini usamehewe?
Nimekujibu kwa masihara ndio maana hukunielewa
Nilimaanisha umemaliza kila kitu au naweza sema umerahisisha kwa kuweka tafsiri