Kurudisha matiti yaliyo lala ni kazi ngumu sana unless unakaribisha cancer ya matiti ambayo ni hatari sana, pia kabla cjatoa ushauri umeshaenda hospital kwa uchunguzi wa hilo tatizo lako? Je ulishawahi kutumia madawa ya kichana may be kutaka kupunguza au kuongeza matiti yako? JibuHabarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita, sasa nashindwa kujiuliza na kujijibu. Nifanyeje ili hili kubwa lisimame liwe kama hilo lenzie ambalo ndio nalipenda???
Pia napenda tu kwa wanaojua mbinu ya kuamsha matiti
yaliyosinyaa jamani!!! Tafadhalini. uwe daktari wa kimila au wa hospitali au wakujitegemea ushauri wako ni wa muhimu.
by ttt
Habarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita, sasa nashindwa kujiuliza na kujijibu. Nifanyeje ili hili kubwa lisimame liwe kama hilo lenzie ambalo ndio nalipenda???
Pia napenda tu kwa wanaojua mbinu ya kuamsha matiti yaliyosinyaa jamani!!! Tafadhalini. uwe daktari wa kimila au wa hospitali au wakujitegemea ushauri wako ni wa muhimu.
by ttt
Tyta unaitwa huku
Tyta hebu pekua albam zako utupatie picha ya hili tatizo tafadhali.!
Habarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita, sasa nashindwa kujiuliza na kujijibu. Nifanyeje ili hili kubwa lisimame liwe kama hilo lenzie ambalo ndio nalipenda???
Pia napenda tu kwa wanaojua mbinu ya kuamsha matiti yaliyosinyaa jamani!!! Tafadhalini. uwe daktari wa kimila au wa hospitali au wakujitegemea ushauri wako ni wa muhimu.
by ttt[/QUOTE]
wengi wanafanya masihala wakat m2 anaomba ushauri
soma kwenye kwenye red ndio uevaluate seriousness ya hii thread...btw jfdoctor ndio sehemu muafaka
hahahaha....nimechekaje! Dah...kwa majibu ya hapa, nina hakika yatasimama dede mda c mrefu!
hiyo avatar yako inaogopesha wadada. Sidhani kama ataku-pmNjoo pm hilo tatizo dogo hapa umefika dada
hiyo avatar yako inaogopesha wadada. Sidhani kama ataku-pm
hahahaha...seriously napunguza stres humu...hii midoli umeitoa wap taytamaadili yamezingatiwa.....![]()
Sijawai ona mtu ana saa sita na ndala kwa wakati mmoja.. hii kali jamani
Hilo dogo lina pancha.Ukitaka kuhakikisha weka maji kwenye karai halafu dumbukiza hilo titi ndogo na utaona palipo na pancha.You are welcome.