Matiti yangu yako tofauti nifanyeje?

Matiti yangu yako tofauti nifanyeje?

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Habarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita, sasa nashindwa kujiuliza na kujijibu. Nifanyeje ili hili kubwa lisimame liwe kama hilo lenzie ambalo ndio nalipenda???
Pia napenda tu kwa wanaojua mbinu ya kuamsha matiti yaliyosinyaa jamani!!! Tafadhalini. uwe daktari wa kimila au wa hospitali au wakujitegemea ushauri wako ni wa muhimu.
by ttt
 
Njoo pm hilo tatizo dogo hapa umefika dada
 
Ukiliminya minya hilo lililolala unahisi vipi?

Kuna vitu kama tezi(gololi) au ?
 
nijuavyo mimi ni swala la kuzaliwa tuu. Ndio maana kuna wanaume wanazaliwa hata na korodani moja. Kwa hiyo ucjali dada yangu..
 
Napenda kujiona kuwa ni mtaalamu wa matiti lakini hiyo yako sijawahi isikia.

Nikijuacho kwa mujibu wa tajiriba yangu kubwa na ndefu ya ukaguzi wa matiti ya akina Mwajuma, Lulu, Tabia, Nyanjige, Nyangwende, Saada, Fatuma, Waridi, Shaniqua, Jenay, Charney, Monique, Hamisa, na wengineo wengi toka area codes za pande zote za dunia, ni kwamba, matiti ya mwanamke huwa yanapishana saizi.

Hata yale ambayo yanaonekana hayana deformity yoyote ukiyakagua kwa ukaribu (kwa ukaribu namaanisha yakiwa usoni mwako, ukiyachezea chezea, ukiyang'atang'ata, ukiyapiga piga ngumi, vibao, n.k.) utaona kuwa moja ni kubwa kuliko jingine.

Kwa hiyo ni kawaida kwa yenyewe kupishana saizi. Si jambo la ajabu sana. Ila hiyo ya kuwa na moja kubwa halafu limelala na jingine la kawaida tu tena lililosimama saa sita sijawahi kuisikia kabisa.

Hiyo inahitaji uchunguzi zaidi ili kuweza kubaini kulikoni.
 
Kwa tatizo kama hili unapaswa uende hospita kabisa penye vipimo zaidi.Kila mtu akikupa expirience yake hapa utajichanganya tu.
 
Weka picha ili nijue dozi kiasi gani inahitajika ili kulinyanyua hilo usilolipenda, maana nisije nikakuzidishia dozi likawa sa tano na nusu.:mod:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom