fergie
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 280
- 127
Hahahhhahhahshha
Ndio umeona sasa
Hahahhhahhahshha
Huu uzi umekaa kimagumashi yaani titi moja limesimama kamaa saa sita na jingine limelala kama kandambili!!!
kwa majibu ya hapa, nina hakika yatasimama dede mda c mrefu!
Habarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita, sasa nashindwa kujiuliza na kujijibu. Nifanyeje ili hili kubwa lisimame liwe kama hilo lenzie ambalo ndio nalipenda???
Pia napenda tu kwa wanaojua mbinu ya kuamsha matiti yaliyosinyaa jamani!!! Tafadhalini. uwe daktari wa kimila au wa hospitali au wakujitegemea ushauri wako ni wa muhimu.
by ttt
Napenda kujiona kuwa ni mtaalamu wa matiti lakini hiyo yako sijawahi isikia.
Nikijuacho kwa mujibu wa tajiriba yangu kubwa na ndefu ya ukaguzi wa matiti ya akina Mwajuma, Lulu, Tabia, Nyanjige, Nyangwende, Saada, Fatuma, Waridi, Shaniqua, Jenay, Charney, Monique, Hamisa, na wengineo wengi toka area codes za pande zote za dunia, ni kwamba, matiti ya mwanamke huwa yanapishana saizi.
Hata yale ambayo yanaonekana hayana deformity yoyote ukiyakagua kwa ukaribu (kwa ukaribu namaanisha yakiwa usoni mwako, ukiyachezea chezea, ukiyang'atang'ata, ukiyapiga piga ngumi, vibao, n.k.) utaona kuwa moja ni kubwa kuliko jingine.
Kwa hiyo ni kawaida kwa yenyewe kupishana saizi. Si jambo la ajabu sana. Ila hiyo ya kuwa na moja kubwa halafu limelala na jingine la kawaida tu tena lililosimama saa sita sijawahi kuisikia kabisa.
Hiyo inahitaji uchunguzi zaidi ili kuweza kubaini kulikoni.
Majibu yenu wala sijayapenda, lakini nimetafuta kwenye internet nimefanikiwa kupata majibu mazuuri sana, hebu nifanye majaribio nitawapa matokeo ili na mabinti wenzangu wajifunze. Ahsanteni