Mateso yangu

Mateso yangu

Duuu kweli atoto noma, kakubali kuingiliwa kimwili bila hata kuombwa!!

Binti Alijua Hakuna Msaada Wa Bure Kwahiyo Aliweka kama angalizo tu. Pia hili swali lako sikutakiwa kulijibu hapa bali kesho kwenye sehemu ya tatu
 
Binti Alijua Hakuna Msaada Wa Bure Kwahiyo Aliweka kama angalizo tu. Pia hili swali lako sikutakiwa kulijibu hapa bali kesho kwenye sehemu ya tatu

Kweli msaada wa me kwa ke lazima kuwe na motive behind it, atoto akajiwahi mapemaaaa maana alishaona hapa kugegedwa hasubuhiii na mapema.

Alafu hivi sauti inaweza kubaki mdomoni mwa mtu? I think hapo ungesema masikioni na moyoni.
 
typing erro nilimaanisha kichwani
 
Kweli atoto noma, yaani hata kama hukuwa na wazo badi inabidi uanze kufikiria kumgegeda

Teh teh..nashindwa kushangaa kwa nini hajaomba Ela badala ya msaada wa kuondoka na Ibra.
 
Kuwa Old member hakukufanyi huwe na haki kuliko wengine. Hujapenda riwaya yake,mrekebishe ili ajifunze alipokosea,sio unaleta chuki binfsi.

Ila kiukweli sijaona faida ya ww kuwa old member,maana upo humu kitambo lakini wala hujastaarabika. Inaonekana unaingiaga humu kuondoa stress zako na wala sio kujifunza kitu chochote.

Kafie mbele💪💪💪💪
 
Kafie mbele💪💪💪💪

Aina shida,but u need to asses yourself about the time u have in JF and your age ,relating them to things that you r doing.
 
Aina shida,but u need to asses yourself about the time u have in JF and your age ,relating them to things that you r doing.

Nardia tena kafie mbele.....
Na listory libaya!fani si yake...
Hutaki unaacha !!!!!
 
Jamani wamuache my ibra aandike riwaya yake bwana, if haiwavutii wajipitie wakapumulie huko, wangapi huandika story zao humu ziwe na uhalisia au laah na watu usoma na kuburudika, sio lazima kila kitu kimfurahishe kila mtu bwana, alafu km unaona kuna upungufu useme ili arekebishe sio kukejeli tu, kuna watu wanajifanya miungu watu humu jf.
atoto wewe ndio ulistahili kuwaitwa heaven sent na huyu heaven nafikili ata atoto halimstahili probably devil messenger
 
Last edited by a moderator:
Nardia tena kafie mbele.....
Na listory libaya!fani si yake...
Hutaki unaacha !!!!!

Ningeulewa usemalo kama ungesema ukiwafree,na wala sio kusukumwa nguvu za viroba.
 
Teh teh aisee kweli utumie ndomuuuu buanaaaah atoto bado mwanafunzi...

Angekuwa missyrose yeye hapend kabisa kutumia hiyo kituu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom