Mateso yangu

Mateso yangu

Hahaha hapo ulikuwa hujaanza kupenda pesa bana. Mbeleni utakubuhu na kupenda pesa

Enzi hizo bila hata kutajiwa anaweka caution....

Siku hizi, ukimsalimia tuu anasema bila pesa sikubali...
 
Enzi hizo bila hata kutajiwa anaweka caution....

Siku hizi, ukimsalimia tuu anasema bila pesa sikubali...
Hahaha atoto ni noma, yani Mpe pesa kwanza then ndo umsalimie. Hakuna cha bure
 
Last edited by a moderator:
******MATESO YANGU*******

********SEHEMU YA 001********

Ilikuwa Yapata Majira ya Saa tano na Nusu usiku nikiwa kwenye gari nikitokea maeneo ya Tegeta nikielekea Nyumbani Kigamboni. Ulikuwa ni Usiku wenye mvua kubwa na Upepo mkali sana. Nilikuwa nikiendesha gari kwa uangalifu kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya sana na nilipofikia Maeneo Ya Ubalozi Wa Ufaransa Macho Yangu Yalivutiwa na Kitu ambacho Nilikiona Nje.. Ni kitu ambacho Kilinipumbaza na Kunifanya nisiamini Macho Yangu.. Hakikuwa Kitu kibaya Bali Alikuwa ni Binti Mdogo Mwenye Umri wa Miaka Isiyopungua kumi na minane akiwa Amevalia Sare Za Shule huku amejikunyata na mvua Kubwa ikiwa inaendelea kumnyeshea. Maswali Lukuki Yakajipitisha katika kichwa Changu, Sikuwa Tayari Kukiamini Kile nilichokuwa nakiona.. Kwanini Huyu Mtoto Yuko Hapa? Anafanya Nini hapa Mpaka Muda Huu? Au nichangudoa yupo kazini? Yalikuwa ni Baadhi Ya maswali ambayo Yalipita kichwani mwangu Bila kupata Majibu Sahihi... Niliendelea Kumtizama Yule binti kwa Muda mrefu bila kupata jibu sahihi ya kile ambacho anakifanya pale.

Hakuonekana kama ni Changudoa na Hakuonekana kama ni dada poa, alikuwa ni Binti mzuri na Mwenye uzuri wa Asili... Roho Ya Ubinadamu Ikanivaa, Nikaendesha Gari mpaka Kituoni kabisa Nikaipaki Pembeni Kisha nikashuka nikaelekea Pale Alipokuwa Amejikunyata Yule Msichana. Sikujali Mvua Wala Sikujali kulowa nilichoangalia ni Kujua nini ambacho kinamsumbua Yule Binti... Nilimsogelea Kwa nidhamu na Upole wa hali ya Juu Lakini Kila Nilipokuwa Nikizidi Kusogea ndipo nilipozidi Kushangazwa na Muonekano Wa Yule Binti... Alikuwa ni Mrembo haswa tena mrembo kupindukia, Sura Yake Ndefu ndefu Iliobeba macho Mazuri Ya Kusinzia Iliongeza nakshi nakshi za Uzuri Kwake.... Nilipiga moyo konde nikasogea mpaka pale alipo lakini Uzuri wake Ukanifanya nishindwe kumuuliza chochote nikabaki kuduwaa Huku mvua ikiendelea Kuninyeshea... Niliendelea Kumwangalia Yule Binti bila kumuuliza Chochote Lakini Nikiwa Katika Ule Ukimya Nikashuhudia Machozi Yakimbubujika na Kilichofuatia ni yule binti Kulia Kilio Kikubwa Cha Kwikwi... Kilikuwa Kilio kilichoushtua Moyo Wangu na Kunifanya nipigwe Butwaa.. Roho Ya Huruma Ikaniingia, Nikashindwa Kuvumilia nikainama na Kumshika mabega, alikuwa katika hali ambayo kwa kila mtu mwenye Huruma lazima Angemhurumia Binti Yule. Nikajaribu Kumsemesha lakini Binti Hakuwa anaongea na mimi.. Nikajaribu tena na tena lakini bado haikusaidia kitu binti bado alikuwa Akilia tena kilio kikubwa kabisa. Kufikia Hapo Hata mimi nikahisi Machozi Yakinilengalenga, Nilikuwa nimeguswa na Kilio cha Binti Yule... Muda Mfupi Baadae Ibrah Nilikuwa nikilia, nilikuwa nikilia Pamoja na Yule Binti... Sikujua Kilichokua kikiniliza Lakini Thamani Ya Chozi lile la Binti Yule Lilinifanya na Mimi Nilie.. Nilikuwa nikithamini Sana Machozi Ya Wanawake na Nilikuwa Sipendi Kumuona Mwanamke Akilia Wala Kutoa Chozi.. Nililithamini Chozi La Mwanamke kwa Kuwa kila nilipokua nikimuona Mwanamke Akilia Basi Nilikuwa Nikijihisi Vibaya Sana...

Kitu chenye Ncha Kali kikauchoma Moyo Wangu, nikahisi Fundo likinikaba Kooni..... Macho Yalikuwa Yakiendelea Kunitoka Huku Mvua ikiendelea Kutunyeshea..... Angali nikiwa Nimemuinamia Yule Binti nikamuona Binti Yule Akinyanyua Uso Wake na Kuniangalia, Aliniangalia Kwa Macho yake mazuri ya kulegea, yalikuwa Macho Ambayo kila Mwanaume Lijali Ayaangaliapo, Nilazima Ahisi Utofauti Mkubwa sana ndani Boxer na Ndani Ya Nafsi Yake.

Macho Yake Mazuri Yakanitazama Kwa Muda huku Yakinisanifu na Kuniangalia kwa Aina mbali mbali Za Kutazama, Ibrah Nikahisi Nikikosa Nguvu na Kushindwa kumwangalia Usoni.. Ingawa Ulikuwa ni Usiku lakini Nilishindwa Kutazamana na Binti Yule Kutokana na Uzuri Wa Macho Yake. Binti Aliniangalia kwa muda mrefu sana Kisha Akainama tena Chini na Kuanza Kulia. Nilijikuta Ibrah Nikiwa Kwenye Wakati Mgumu sana. Nikamshika tena, lakini safari Hii nilimshika mkono na Kumuomba Asimame.... Binti Kweli Akasimama; Hapo ndipo niliposhuhudia Uambaji Uliotukuka kutoka Kwa Muumba.

Binti Alikuwa ameumbwa na Kuimbika Mpaka Kupitiliza. Kwa Jinsi Alivyoumbwa Ibrah Nikabaki kutetemeka... Nimewaona Wengi lakini Kwa HuyU Ilikuwa ni Habari Nyingine... Nikamuangalia Kisha Nikamuuliza....

'''Unaitwa Nani???

Akaniangalia kwa Jicho lake legevu kisha Kwa Sauti Ya Kilio Akanijibu

'''''Naitwa Atoto'''!!!!!!

ITAENDELEA KESHO

NB NITATUMIA MAJINA YA BAADHI YA WANAJUKWAA HILI ILI KULETA KITU KILICHO BORA

endelea basi......
 

Attachments

  • 1446930507018.jpg
    1446930507018.jpg
    54.6 KB · Views: 199
Nasubiri part three ya Kaboom akimgegeda atoto jaman...

Na ile ya Heaven Sent akimshauri atoto aokokeee aache kupenda kufanya kwa mpira

Nasubiri kuona ile part cute b aki........
 
Last edited by a moderator:
atoto wewe ndio ulistahili kuwaitwa heaven sent na huyu heaven nafikili ata atoto halimstahili probably devil messenger

Hahahaaa! Uwiii my mwajiriwa Heaven Sent hilo halimfai bwana, hajafikia huko, au kuna unalolijua nisilolijua maana ukute kananinafikia kakiwa na mm, sema tu kajeuri na kana kiburi na kiherehere basi.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hapo ulikuwa hujaanza kupenda pesa bana. Mbeleni utakubuhu na kupenda pesa

Mie nilianza kupenda pesa nikiwa tumboni ujue! Sasa hii ya nigegede tu ila sijui tumia nn aaggggrrrrr!! Inabidi jina libadilike kwakweli.
 
Teh teh aisee kweli utumie ndomuuuu buanaaaah atoto bado mwanafunzi...

Angekuwa missyrose yeye hapend kabisa kutumia hiyo kituu...

Cc missyrose ukuje uniambie huko kugegedana pekupeku umeanza lini?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha atoto ni noma, yani Mpe pesa kwanza then ndo umsalimie. Hakuna cha bure

Dunia yenyewe sio fair sasa mie hiyo huruma ya burebure naitoa wapi? Pesa kwanza mengine tutajua huko mbeleni, na sio lazima nikupe pia km utakuwa unatoa kwa kigugumizi.
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri part three ya Kaboom akimgegeda atoto jaman...

Na ile ya Heaven Sent akimshauri atoto aokokeee aache kupenda kufanya kwa mpira

Nasubiri kuona ile part cute b aki........

Kaboom hayumo itabidi akatwe maana uliunder perform
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Uwiii my mwajiriwa Heaven Sent hilo halimfai bwana, hajafikia huko, au kuna unalolijua nisilolijua maana ukute kananinafikia kakiwa na mm, sema tu kajeuri na kana kiburi na kiherehere basi.
Mmh hadi nimewaza wallahi "devil messenger"?????? Sijui nimeangamiza roho ngapi Mmh ( God forbid)
 
Last edited by a moderator:
Naona watu mmemvamia mtunzi si kidogo.

Mwacheni bhana.

Kila mtu ana-utilize anachokijua.

Hata nyinyi leteni vyenu tutavisoma hapa.

Jamiiforums for all.

Ova!! And Out.
 
Back
Top Bottom