Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Teh msubiri huyo huyo Czer labda ndo anajua ushetani wanguNdio uniambie kwa uzuri kabisaaa yote unayoyafanyaga ukitugeuzia mgongo.
Last edited by a moderator:
Teh msubiri huyo huyo Czer labda ndo anajua ushetani wanguNdio uniambie kwa uzuri kabisaaa yote unayoyafanyaga ukitugeuzia mgongo.
Mfyuu unataka upewe pesa ndo uhubiriwe eti. UtajijuLini uliwahi kufikiria hata kunihubiria? Utaanzia wapi na ushaharibu mwenyewe.
Mfyuu unataka upewe pesa ndo uhubiriwe eti. Utajiju
Hahaha kwa case yangu nini ni mbaya?Ukitaka kujua nguvu ya pesa kwenye injili mtafute gwajima,lusekelo etal watakuambia, hakuna sehemu kuna vya bure wewe.
Ila kwa kase yako isue sio pesa na unajua kabisaaaa.
Nardia tena kafie mbele.....
Na listory libaya!fani si yake...
Hutaki unaacha !!!!!
Hahaha kwa case yangu nini ni mbaya?
Hahaha nimejuta leoWe ni zaidi ya pesa ndio maana hata huthubutu kunihubiria.
Subiri inakuja soonNasubiri part three ya Kaboom akimgegeda atoto jaman...
Na ile ya Heaven Sent akimshauri atoto aokokeee aache kupenda kufanya kwa mpira
Nasubiri kuona ile part cute b aki........
Kaboom hayumo itabidi akatwe maana uliunder perform
Subiri inakuja soon
We mtt utakuwa na pepo..Yani shughuli yote ile hauridhiki tu?
aisee wakipanda pikipiki utazani watoto wa Kiboko kwa jinsi walivyotuna
Huyo shughuli aimridhishi...aiseee
Subiri inakuja soon
We mtt utakuwa na pepo..Yani shughuli yote ile hauridhiki tu?
Teh teh,naomba asipite hapa..