MATESO YANGU
SEHEMU YA 002
ILIPOISHIA
Niliinama na Kumshika Mkono kumnyanyua pale Chini alipokuwa amejikunyata kweli alisimama huku akiwa bado Ameangalia Chini... Nilimuangalia kwa Dakika Kisha kwa Sauti Iliyojaa Kitetemeshi nikamuuliza
'''''Unaitwa nani?
Binti hakunijibu kwa haraka bali aliinua Uso wake na Kunitazama Usoni kisha kwa Sauti Ya Kwikwi akanijibu
'''''Naitwa Atoto..........
*********
Ilikuwa Sauti Iliyosadifu uzuri Wake, Ilikuwa Sauti ambayo Ilimifanya nigande na Kuduwaa.. Sauti Yake Ilinifanya Nihisi kama nasikiliza Muziki mzuri masikioni mwangu, tena Mziki mtamu Kupita Yote niliowahi kuisikia,,,... Macho Yakashindwa kumtazama na Midomo ikagoma Kunyanyuka japo niendelee na Maswali Yangu. Ibrah Nikabaki kimya Huku Sauti Tamu ya Mrembo Atoto Ikiendelea Kuzunguka Kinywani na kwenye Ngoma Ya Masikio Yangu.. Nikajisikia Faraja Kubwa sana, Nikasahau kuwa nilikuwa mvuani na Kulikuwa na Watu Wakitutazama... Nikajikaza Nakurudisha Umakini Wangu kwa mara Nyingine Nikamuuliza Swali....
'''''''Kwanini uko hapa usiku huu?,,,,
Atoto Hakunijibu bali akanitizama kwa Macho Yake Mazuri kwa Muda Kisha Akawa kama mtu anayefikiria Kitu, Kitu ambacho Kilionekana ni Muhimu sana, Akajaribu Kutaka Kuzungumza na Mimi lakini Sauti Haikua inatoka.. Akainama Chini tena kilio cha kwikwi kikasikika tena, Atoto Alikuwa Akilia , Alikuwa Akilia Kilio cha Kwikwi, Kilio ambacho kilinifanya Ibrah Niingiwe na Huruma.. Moyo Wangu Ukazizima na Kupumbazwa na Kilio kile.. Nikajiuliza Maswali Mengi sana; Kwanini Atoto Analia? Kwanini Anakuwa Msiri Kwangu!? Ni nini kinachomsumbua? Kila Swali Nililokuwa nikijiuliza Sikuwa napata Jibu Kwa Wakati Ule... Nikasogeza Mikono Yangu Kwenye Mabega Yake kisha Nikajaribu Kumuangalia Usoni, Nikakutana na Chozi, Chozi la Mtoto Mzuri, Chozi Ambalo lilikuwa na Thamani kubwa katika Maisha Yangu, Chozi Ambalo Halikuhitaji Kutoka kwasababu Ya Shida Za Dunia Bali ni Chozi Ambalo Lilihitajika Kutoka Kwenye Kitanda, Chozi la Huba, Chozi la Kufikishwa kwenye Bahari Ya Mapenzi, Chozi La Kufika Kunako Kilele Cha Mlima Wa Utamu..... Nikamuangalia kwa Muda nikataka Kukitoa Kitambaa Changu Ili Niyafute Machozi Yake Lakini Nilipokiangalia Kitambaa Nilichonacho Nikaona Hakifanani na kufuta Chozi la Mtoto Mzuri Kama Atoto.... Nikaviangalia Viganja Vyangu Navyo Havikuwa Vinastahili kufuta Chozi La Atoto, kitu Kilichokuwa Kinastahili Ulikuwa ni Ulimi Wangu, Ulimi Wangu Ulikuwa Unastahili tena Sana Lakini Nitaonyesha Picha Gani Ikiwa nitafanya hivi? Si ataniona mimi ni mzee Wa Kukamatia Fursa? Niliamua Kuachana na Wazo la Kutumia Ulimi Nikaamua Kutumia Viganja Vyangu......
Niliyafuta Machozi Yake kwa Heshima na Nidhamu Ya Kawaida nilipomaliza nikawa nimebaki nikimuangalia Atoto Machoni... Nikiwa bado naendelea Kushangaa Nikaisikia Ile Ile Sauti Tamu Masikioni kwa Kila Mwanaume Ikiniambia
'''''Nimefukuzwa nyumbani;;;;!!!!
Jibu Hilo likaufanya Moyo Wangu Udunde kwa nguvu, lilikuwa ni Suala gumu mimi kukubaliana na Atoto.. Hakuna Mzazi Anayeweza kumfukuza mtoto wake bila kuwepo kwasababu na Sababu yenyewe Haiwezi Kuwa ndogo lazima Iwe ni kubwa.... Nikamuangalia Kwa Macho Ya Kuuliza huku nikionekana kuto kumuelewa kabisa....
Sikutaka Kuingia katika Matatizo Nilichofanya ni kumuomba Atoto tuondoke pale tuelekee nyumbani kigamboni Ili akanielezee Vizuri Ilikuaje Yeye Akafukuzwa Kwao wakati Yeye ni Mwanafunzi...
Ilikuwa ni Vugumu kunielewa kwa Nilichomwambia na Hakuwa tayari Kuongozana na mimi mpaka Nyumbani kwetu.. Alichonambia ni Kwamba atabaki pale na atalala palepale Kama Ni kuondoka Basi niondoke Mimi Ila Yeye Hataweza Kuondoka.
Ibrah Nikabaki Kuduwaa Nisijue la Kufanya ingawa binti Alikuwa ni Mzuri Sana Lakini Nilikuwa Nikiangalia Msaada Zaidi. Sikuwa katika tamaa Ya Kuhitaji Mapenzi Kutoka Kwake.... Baada Ya jibu lile Ibrah Nikabaki nimeduwaa, Sikuwa na Nguvu Tena lakini Muda Mfupi Baadae Nikahisi Mikono Laini Ikinipapasa Kifuani Kwangu nikanyanyua Uso Wangu nikakutana na Uzuri Ule ule wa Atoto, Safari Hii Mikono Yake Ilikishika Kifua Changu... Lilikua tukio Ambalo nililitamani Liendelea Na Kuendelea Lakini Haikuwa Hivyo... Binti Aliniangalia Machoni Kisha Kwasauti Ile ile Akanambia
*****IBRAH NIPO TAYARI KUONGOZANA NA WEWE LAKINI NAKUOMBA KITU KIMOJA, KAMA UTATAKA KUNIINGILIA KIMWILI NAOMBA UTUMIE CONDOMS, NAKUOMBA IBRAH BADO NAHITAJI KUSOMA........
Je ni Upi mwisho wa Msaada Wa ibrah kwa Atoto?
Na ni ipi sababu iliyomfanya kumfanya Atoto Afukuzwe kwao?
Endelea kuwa na mimi katika Stori hii ili ujue mwisho wake..
NB HAKUNA NINAYEMUOGOPA HUMU NDANI NA INAWEZAKANA MNAPONDA HUKU ILA HUKO KWENYE UDAKU MNASOMA STORI ZANGU.....
Ukitaka Kujua Mimi ni nani Tembelea Page Yangu Inayokwenda kwa Jina la Ibrahim Masimba ili unijue Vizuri... Na pia nitafute Facebook kwa Jina La Ibrahim Haji Islam Then mlete mrejesho humu ndani