sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,068
- 48,209
Siku ntamrekodi zen nikutumie video..uniambie kama haridhiki au vipi.
Halafu Nilikuwa sijui kama anajua kuongea kichina,kijapani na kijerumani..Baada ya kuanza nae mieleka nimejua yote hayo
Teh teh...alifanya short course