Mateso yangu

Mateso yangu

Haina Uhalisia? Kweli Mmezoea Umbea... Kushindwa kwa Lowassa kusiwafanye muwe machizi..... Haina Uhalisia Sasa umesoma na kucomment Ya Nini? Baraza la Vichaa Chadema

Mi na Lowasa wapi na wapi boss.
 
Siku Zote Nyumbu Ni Nyumbu tu, Kama huu ni ujinga basi hata wew uliye comment ni shwain jazz band

Punguza kuleta ujinga.
Baba zako wanaingia humu na kusoma hizi mada za humu.
Kaongee na wajinga wenzako kijiweni.
 
Teh teh..
Naona kile kibao kilicho andikwa jina la atoto ndani ya moyo wako...
Leo kimechachamaaa....
 
Last edited by a moderator:
Punguza kuleta ujinga.
Baba zako wanaingia humu na kusoma hizi mada za humu.
Kaongee na wajinga wenzako kijiweni.

mimi sio mtu wa Kijiweni kama Wewe.. Ukiona Kitu hukipendi pita tu.. Mimi huwa Situmiagi wala Kununua Pete so wapelekee Wengine wanaotumia.. Naona inawasha
 
Teh teh..
Naona kile kibao kilicho andikwa jina la atoto ndani ya moyo wako...
Leo kimechachamaaa....

hii ni story ya kweli ingawa Sikutumia jina la mwanamke lakini hata jina lako ntalitumia Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Ibra, hao wanaosema hii riwaya ni mbaya waweke yao nzuri tuilinganishe. Nasubiri episode nyingine mkuu ibra
 
hii ni story ya kweli ingawa Sikutumia jina la mwanamke lakini hata jina lako ntalitumia Mkuu

Hamna noma, ila kuna viumbe wana wivu mnoo bwana ibra...

Endelea na mpango wako bila kukata tamaa...

Jf is for all, hakona cha old members wala new members..

Andika unacho ona ni sawaa...
 
Stori nzuri ila mtunzi jitahidi kutumia lugha yenye maneno ya mnato. Lugha inayovutia..ili nirudi tena
 
Teh hongera sana kwa story. Ngoja tuburudike sie

Jamani wamuache my ibra aandike riwaya yake bwana, if haiwavutii wajipitie wakapumulie huko, wangapi huandika story zao humu ziwe na uhalisia au laah na watu usoma na kuburudika, sio lazima kila kitu kimfurahishe kila mtu bwana, alafu km unaona kuna upungufu useme ili arekebishe sio kukejeli tu, kuna watu wanajifanya miungu watu humu jf.
 
Hamna noma, ila kuna viumbe wana wivu mnoo bwana ibra...

Endelea na mpango wako bila kukata tamaa...

Jf is for all, hakona cha old members wala new members..

Andika unacho ona ni sawaa...

Kuna owners wa jf ujue, labda ndio wao.
 
Safi sana Ibra, hao wanaosema hii riwaya ni mbaya waweke yao nzuri tuilinganishe. Nasubiri episode nyingine mkuu ibra

haina nouma mkuu, wenyewe wataipenda tu subiri waone
 
Back
Top Bottom