Matapeli wa simu mtandaoni

Matapeli wa simu mtandaoni

BULICHEKA Mgagagigikoko,huu utapeli wa aina hii uliisha expire,wewe umepigwaje.Ndiyo maana hakuna anayekuonea huruma.Umetumia jina zuri tuliosoma hicho kitabu tunamkumbuka vizuri sana Bulicheka.
 
nawew bhna mkubwa mzima hii 2020 bado unaibiwa kwa kupigiwa cm ya muamala uliokosewa.. Elimu zote zitolewazo na juu ya hao watu ila bado
 
Nyie ndo mnasababisha hao jamaa wasikome kutusumubua na meseji zao za kitapeli kumbe huwa wanafanikiwa!!?,
Huwa wanafanya 'trial and error'. Akijaribu hata kwa watu 20, akimpata mmoja tayari 'imemlipa'.
 
Kwanini umeniharibia Siku Yangu hivyo? Ujue Mimi ninapoona mtu kutaperiwa kizembe Namna hiii najisikia vibaya Sana had nataka kumtafuta nimpige makofi! Unabahati Sana sijui unakoishi ningekutafuta Leo nikakuzaba makofi maaana nyie ndio mnaosababisha hao watu kutusumbua kila Siku
Mtu mwenyewe nimeshajishia unataka kunitwanga sawa una hamu ya sembe ya buree.
 
Kweli Ni aibu aibu, zipo Uzi nyingi Sana za kutapeliwa hum jf. Wengi wanatapeluwa kwa akili kubwa Sana .

Sasa wewe umeibiwa kizamani sana.Maana yake jf hajakusaidia kabisa

Yote kwa yote pole Sana.Tumia jf Kama long life learning hutajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioni ya Leo nimetapeliwa na mtu anasema yuko Tigo Pesa Makumbusho katuma kimakosa kwangu Tshs 240000.00 akaomba nirudishe kwa namba 0718 89 56 66 na namba 0768 53 61 39 majina ni Beatrice na Lucy Sawa. Baada ya hapo kutuma Ile hela sikuwapata tena.

TCRA kama kusajili namba kwa njia za kisasa, hawa MATAPELI wanatoka wapi tena?
Alikuwa mdada nini kijana ukataka uplay gentle[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi bado kuna watu wanatapeliwa kwa njia hii pole..

Kuna mmoja alinipigia kuniambia habari kama hizo nikamjibu mbona tunafanya kazi moja halafu tunaingiliana magepu inamaana tumeanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na wakati tunafanya kazi moja akacheka akanijibu ah! Sikujua tunawapata watu wengi tofauti basi twendelee kupiga kazi inakawa imeisha hiyo!
[emoji23]
 
Jioni ya Leo nimetapeliwa na mtu anasema yuko Tigo Pesa Makumbusho katuma kimakosa kwangu Tshs 240000.00 akaomba nirudishe kwa namba 0718 89 56 66 na namba 0768 53 61 39 majina ni Beatrice na Lucy Sawa. Baada ya hapo kutuma Ile hela sikuwapata tena.

TCRA kama kusajili namba kwa njia za kisasa, hawa MATAPELI wanatoka wapi tena?

Pole Sana Mkuu. Uzembe wa kiasi hiki uko nje ya uwezo wa TCRA.

Tofauti na matumizi ya simu ambayo umewapata TCRA wa kuwalalamikia, jiandae kuna mengine yasiyohusisha simu yanakuja.

Jitahidi siku nyingine akili inayopaswa kukutia hasara angalau iwe kubwa.

Tofauti na hapo, jiandae kushindana na Mshana Jr kwa threads nyingi Jf.
 
binafsi nawajua watu wazima wana zaidi ya miaka 50 walitapeliwa na hawa jamaa.

mkuu una miaka mingapi
 
Pole sana ndugu kwa huo mkasa. Ila wakati mwingine kuwa makini na usimuamini mtu yeyote yule kwenye Mambo ya pesa hasa kwenye simu.
 
Mie 2019 December nlikuwa nimefulia bila sabuni alafu kwa matope mbaya Zaid jua hakuna mvua inanyesha hatari sasa bana kuna jamaa akanitumia laki mbili mpesa Sasa nikasema huyu mdeni wangu Nan kanikumbuka kulipa basi nikaenda nkatoa laki na sitin nikarud baa kuendelea kupiga Safari zangu mara jamaa akapiga simu kuwa amekosea namba hvyo nimrudishie eti hataki mambo yakupelekana polisi mie nikamwambia kuna sehemu inasema thibitisha kuwa unatuma pesa kwenda kwa flan wewe hukuliona akaanza kujitekenya nikamwambia wewe kesho nenda polisi alafu wanipigie kuwa nimetapeli nasasa mie nipo njian naelekea kwa mganga jamaa hakurudia kupiga simu japo alileta vitisho namie nlikusudia kabisa nimrudishie pesa yake ila hakuwah kurud tena mpaka kesho
Laana hii utalipa garama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee San, but siku nyingine kuwa makini lol.
 
Kuna mambo mawili nayaona hapa.
1.Umetapeliwa kibwege kwelikweli na hapa nakupa pole yako.

2.Swali lako kwa TCRA,hapa naungana na wewe.Inatakiwa watoe majibu,mbwembwe zote zile za kusajili kwa alama za vidole kwamba Sasa matapeli watafute kazi nyingine za kufanya zimeishia wapi?
 
Jioni ya Leo nimetapeliwa na mtu anasema yuko Tigo Pesa Makumbusho katuma kimakosa kwangu Tshs 240000.00 akaomba nirudishe kwa namba 0718 89 56 66 na namba 0768 53 61 39 majina ni Beatrice na Lucy Sawa. Baada ya hapo kutuma Ile hela sikuwapata tena.

TCRA kama kusajili namba kwa njia za kisasa, hawa MATAPELI wanatoka wapi tena?
Si ungemwambia apige simu Tigo
 
Ila mwenzetu kama waweza tapeliwa na hawa kirahisi hivyo basi mwenzetu una matatizo, kwanza ripoti polisi, pia nenda TCRA...Mwisho tafadhali jifunze na funza wengine wasiingie kwenye huo utapeli wa kijinga....
POLE SANA...
 
Back
Top Bottom