Matapeli wa simu mtandaoni

Matapeli wa simu mtandaoni

pole sana,hapo unapaswa kutambua nyuzi nyingi zinazoletwa humu huwa zina mafunzo na maana kwa muda wake,ss ww yawezekana nyuzi km hiz za matapeli huwa unaskip tu....ungekuwa unapitia ss hv ungekuw unacheka.
Kuna audio flan yenye diology kati ya tapeli na mtapeliwa aisee ilikuw kiboko mpk tapeli alihis atatapeliwa😀😀😀
 
Back
Top Bottom