La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 343
Miaka yooote hiyo hamkulijua hilo la kuwa mnashirikishwa kwenye ibada, Je, umeihoji imani yako !? Iweje Imani yako ishindwe kulijua hili ?
Wakati huo huo, kila chakula sasa kinasilimishwa kwa kugongwa 'Halal' Food ! Mabenki nayo yanafanya ibada kwa kuweka 'Islaamic Sharia Banking'
Unafiki utakuua wewe, unauliza maswali ambayo wewe mwenyewe majibu huna. Miaka yooote mmekuwa mkiweka fedha zenu kwenye benki za biashara mpaka KCB walipozindua Islamic Banking miaka ya karibuni, Je umehoni imani yako?
Wenzako nimewaona kwenye Coaster wanaenda Moro kujaza mkutano wa makabwela, wewe umebaki au upo njiani?