Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Status
Not open for further replies.

Waislamu wa Singida na Dodoma wengi wao hula nyama ya punda, hapo unasemaje? Waislamu hula nyama ya ngamia na kunywa maziwa ya ngamia, kwa wakristo hilo ni jambo gumu, hapo pia unasemaje? Waislam wa Chechina-Usoviet huko wao hula vyura nadhani, hilo unalionaje? Waislamu wa Pemba wao hula popo, hilo pia limekaaeje? Waislam wa Mtwara hula panya....

Haya ni maoni yako ! Hata Kingwendu anayo !
 
nilikuwa sijui kuwa kuchinja unatakiwa awe muislam, na kiti moto anatakiwa achinje nani msaada jamani, maana sisi wala kiti moto hamjatujadili kabisa.

Wala kiti moto ni makafiri, ni sawa na walevi, wezi, wazinifu, waongo,wala rushwa na yafananayo na hayo. Nguruwe hachinjwi bali huuliwa kwa mateso makubwa kabla ya kuliwa !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom