Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Status
Not open for further replies.
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.

Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ng'nga'nia, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?

Waislamu wa Singida na Dodoma wengi wao hula nyama ya punda, hapo unasemaje? Waislamu hula nyama ya ngamia na kunywa maziwa ya ngamia, kwa wakristo hilo ni jambo gumu, hapo pia unasemaje? Waislam wa Chechina-Usoviet huko wao hula vyura nadhani, hilo unalionaje? Waislamu wa Pemba wao hula popo, hilo pia limekaaeje? Waislam wa Mtwara hula panya....
 
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tama na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!

Acha kukandya nyama ya punda, wenzio Singida wanakula hiyo hiyo, Pemba wanakula popo. Katikamiji yote ya Afrika mashariki Mwezi wa Ramadhani ukifika wauza kiti moto hukosa wateja kwa zaidi ya asilimia 60; guest house na bar hukosa wateja kama wakiwepo huwa ni wachache mno. Fungua macho uone ukweli. Wateja wakubwa wa kitimoto ni waislam.

Mnapokula kiti moto mbona hamwulizi kachinja nani?
Tatizo wengi wenu ni maamuma wa dini yenu.Kwa mujibu wa Quruani, Je, lipi lina adhabu kubwa kula kitimoto au kunywa pombe?
 
Nyie endeleeni kujadili tu lakini sidhani kama kweli haya mnayojadili humu ndiyo mnayoyaishi siku zote katika maisha yenu.

Mambo yote yanayomhusu Mwenyezi Mungu ni tata ndio maana pakawepo na dini mbalimbali ambazo na zenyewe

ndani yake zimefagawanyika na huyo ngawanyo kila mmoja anatafsiri maandiko anavyojua yeye ama kwa tafsiri

kibinadamu na mazingira yake au kwa utashi wa kuwavutia wengine kibiashara.

Kiukweli yote haya ni matokeo ya ukoloni mamboleo unaoanza kujikita zaidi katika imani,mila na desturi za watu ili

panapowezekana mila na desturi zetu na baadhi ya imani za amabazo zimejikita kiimani zaidi (itikadi kali) zifutiliwe

mbali.

Binafsi ningependa mijadala kama hii isituweke roho juu sana kiasi kwamba tukashindwa kutafakari mambo mengine ya msingi yenye tija kwa taifa.

Na kama issue kuchinja na kwa kuwa serikali haina dini lakini ina maeneo iliyotenga kwa ajili ya watu wake

kuchinja,kupumzika,kucheza/michezo na shule/madarasa.Hivyo basi suala lolote linalohusu imani ni bora serikali

ikasitisha mara;

1. ufadhili wa machinjio ya wanyama na badala yake machinjio yapatiwe kazi nyingine ikiwepo masoko ya bidhaa za

nyama,samaki na mbogamboga za wakulima wadogox2.

2.kutumia madarasa ya shule za misingi na sekondari kama sehemu ya kuabudia baada ya masomo au siku za kuabudu za dini husika.

3.kutumia maeneo ya wazi/public space na viwanja vya michezo kama sehemu za mikusanyiko ya mikutano yoyote ya

dini hasa ukizingatia kuwa dini hizo zina nyumba zao za kuabudia na si kwenye maeneo ambayo ni tofauti na nyumba

za ibada na hivyo kuleta hisia zenye chuki kwa imani nyingine ambazo hazikulengwa kwenye mkusanyiko huo.

Sidhani kama serikali inaweza kuwa kali kiasi hicho kwa kusitisha baadhi ya vitu vinavyowezesha watu wake wawe huru kiimani,inachosubili labda wakuu hawa wa dini wataonesha busara ya pamoja kutaka kukutana na mkuu wa nchi kwa mazungumzo ya namna ya kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa suala hili.
 
Mi nitakula nyama yoyote ili mradi imechinjwa na binadamu. Je, akichinja mkristo au mwislamu, harufu yake au dini au imani yake inakuwa sehemu ya ile nyama? Hili jambo tunalichukulia kuwa ni la maana sana. Kweli imani imegeuka kuwa dili kwa baadhi ya watu.

Kweli wakristu tumebatizwa ktk imani ya kikristo lakini tumegezwa mafala na baadhi ya watu wanaofaidika kupitia watu wengine. Ni lini kwa mara ya kwanza tumegundua/baini kuwa nyama ikichinjwa na mwislamu mlaji anakuwa mwislamu au ikichinjwa na mkristo, mlaji atakuwa mkristo.

Ukristo wetu haupo ktk nyama ila ktk mahusiano na Mwokozi wetu Yesu Kristo, haijalishi umekula nini maana ni Yeye mwenyewe ktk Biblia alinena kuwa kikuingiapo mwilini hakikufanyi kuwa najisi bali kikutokacho. Mfano rahisi: Kuona mwanamke akipita uchi hakikufanyi kuwa umetenda dhambi bali pale sasa utakapoamua kumfuatilia na kuanguka dhambini.

Tuache utapeli wa kutumia jina la Kristo vibaya. Na swali: Je, ikichinjwa na mpagani/asiye na dini inakuweje? Na je, ikichinjwa na malaya au kahaba, tunapokula nyama hiyo, tunakuwa makahaba?

Nakushauri kasome tena biblia kabla hujarudi kuandika mambo yanayokudharaulisha hapa. Uliyoandika ni ushahidi wa namna gani huna elimu ya biblia.
 
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.

sikutaraji kama unaweza andika hivi
 
Wakristo hawatachinja kwa ajili ya watu wote,watakuwa na mabucha yao wenyewe,kwa hiyo hata wakilishana farasi watakua ni wao kwa wao.
 
Mi nitakula nyama yoyote ili mradi imechinjwa na binadamu. Je, akichinja mkristo au mwislamu, harufu yake au dini au imani yake inakuwa sehemu ya ile nyama? Hili jambo tunalichukulia kuwa ni la maana sana. Kweli imani imegeuka kuwa dili kwa baadhi ya watu.

Kweli wakristu tumebatizwa ktk imani ya kikristo lakini tumegezwa mafala na baadhi ya watu wanaofaidika kupitia watu wengine. Ni lini kwa mara ya kwanza tumegundua/baini kuwa nyama ikichinjwa na mwislamu mlaji anakuwa mwislamu au ikichinjwa na mkristo, mlaji atakuwa mkristo.

Ukristo wetu haupo ktk nyama ila ktk mahusiano na Mwokozi wetu Yesu Kristo, haijalishi umekula nini maana ni Yeye mwenyewe ktk Biblia alinena kuwa kikuingiapo mwilini hakikufanyi kuwa najisi bali kikutokacho. Mfano rahisi: Kuona mwanamke akipita uchi hakikufanyi kuwa umetenda dhambi bali pale sasa utakapoamua kumfuatilia na kuanguka dhambini.

Tuache utapeli wa kutumia jina la Kristo vibaya. Na swali: Je, ikichinjwa na mpagani/asiye na dini inakuweje? Na je, ikichinjwa na malaya au kahaba, tunapokula nyama hiyo, tunakuwa makahaba?
umenena maneno yenye hekima sana.jambo hili limenitatiza sana.ubaguzi wa dini ni mbaya kuliko ubaguzi mwingine wowote.fikiria shule za serikali watishije kama kweli wakristo wakilazimisha kula nyama iliyo chinjwa na mkristo tu? jeshini je wataishi vipi? walioana mkristo na mwislamum? DHAMBI HII NI MBAYA NA INALENGA KULIANGAMIZA TAIFA.
 
.mh... hili suala naogopa hata kuchangia naona kuna mihemko kuliko busara ...
 
Je kuna haja ya Kuwa na Maduka ya nyama tofauti kulingana na imani zetu...? machinjio yatakuwaje nanhuduma zake...?inahitajika busara kuamua jambo hili...
 
Waislamu wa Singida na Dodoma wengi wao hula nyama ya punda, hapo unasemaje? Waislamu hula nyama ya ngamia na kunywa maziwa ya ngamia, kwa wakristo hilo ni jambo gumu, hapo pia unasemaje? Waislam wa Chechina-Usoviet huko wao hula vyura nadhani, hilo unalionaje? Waislamu wa Pemba wao hula popo, hilo pia limekaaeje? Waislam wa Mtwara hula panya....

Mkuu naona umeanza kumpa za uso huyu mjinga, inatosha usije mn'goa meno.
 
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.

Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ng’nga’nia, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?

Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tamaa na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Ebu acheni mambo ya Walawi hayo ya mapokeo. Imeandikwa wapi kuwa ni ninyi pekee mnaopaswa kuchinja? Kama kwenye kitabu mnachokiamini ninyi, wale wasio kiamini kinawahusuje?, Je, na wao wanalazimika kubanwa na imani zenu?. Wenye hekima wangeweza kujiuliza, Je, ninyi huwa hamsafiri kwenda huko mnakodai wanachinja nyani, punda, nk? Hivi unapofika huko nje hususan Ulaya na Marekani unauliza kachinja nani kabla ya kula nyama? Au hamjui sasa teknolojia imebadilika wanyama hawachinjwi kienyeji. Je, hamuwezi kula nyama iliyochinjwa kwa Mashine au hamli nyama ya kopo (canned Beef) ambayo kwenye lebo za kopo huambiwi kachinja nani?. Hivi ni nani aliyezurika kwenu kutokana na kula nyama iliyochinjwa na yule ambae si wa imani yenu!? Hamuendagi kwenye misiba, sherehe, mikutano nk mkala nyama?. Hivi kule huwa mnauliza kachinja nani?! Tuyatafakari hata yale tunayofundishwa, tujifunze kuwa dunia imebadilika.
 
Hivi tangu lini wakristo wameanza kuwa na taratibu za kuchinja?
 
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.
 
Hivi tangu lini makafir wameanza kuwa na taratibu za kuchinja?
hii ni kweli kabisa hawa ndiyo wanataka nchi isitawalike hatuwaamini kamweee kuchinja kama unataka kuchinja kanyonge tu nyumbani kwako
 
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.

Miaka yooote hiyo hamkulijua hilo la kuwa mnashirikishwa kwenye ibada, Je, umeihoji imani yako !? Iweje Imani yako ishindwe kulijua hili ?
Wakati huo huo, kila chakula sasa kinasilimishwa kwa kugongwa 'Halal' Food ! Mabenki nayo yanafanya ibada kwa kuweka 'Islaamic Sharia Banking'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom