matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Hivi samaki hua anachinja nani jaman!!! i have to know
Wapi panaposema ili mkristu ale nyama lazima iwe imechinjwa na mkristu.
Mkuu, sio suala gumu. Kama imani za watu zinakataza kula kilichoandaliwa na imani nyingine hapa nani aburuzwe?, Tunafanya kosa kuangalia hili suala ktk misingi ya uislamu na ukristu tu. Amini usiamini kuna baadhi ya sehemu Tanzania hii sio waislamu na wala sio wakristu. Unapowaambia wanapotaka kujitengenezea vitoweo vyao wautambue uislamu ni kuwaonea. Hili la kutenganisha mwanzo litaonekana gumu lakini tutalizoea tu, na wala halitaleta utengano, Tukitakabkula mgahawani wewe Rashid unaingia palipoandikwa HALAL mimi Peter naingia palipoandikwa UNHALAL tukimaliza tunaenda kucheza mpira pamoja. Mambo mswano.Je kuna haja ya Kuwa na Maduka ya nyama tofauti kulingana na imani zetu...? machinjio yatakuwaje nanhuduma zake...?inahitajika busara kuamua jambo hili...
Hivi samaki hua anachinja nani jaman!!! i have to know
plz hit da point!!!Kwenye biblia hakuna maandiko ya kipumbavu kama huyo. Biblia haifarakanishi watu bali inaleta watu pamoja ktk misingi ya tofauti zetu za asili.
vitu vingi tu, nafaka, samaki, mizizi kama ndizi, viazi nani analima? wanapolima au wanapokamata samaki, wanatazama KIBRA?
Mie sku hizi, nakula chakula kinachotuunganisha wote bila kuuliza wewe dini gani. chakula changu siku hizi ni wali samaki, samaki wakiisha nachukua wali mboga mboga kwisha kazi. minyama iliyotolewa kafara hata mchuzi wake sitaki kusikia, nikikumbuka zaidi, natafuta kitimoto na ndizi za kutosha
Suala sio kususa, kila mtu afanye mambo kimpango wake, nakubaliana na wewe kwamba waislamu hadi kunya ni ibada, sasa mtatulazimisha wote tunye kiislamu au?, au wengine tusinye watunyee waislamu tu kwa sababu wao ni ibada?, acheni mambo hayo.( samahanini wakuu sijatumia tafsida ili kufikisha ujumbe katika uhalisia wake)Lakini mkuu,waislamu ibada si kwenda msikitini tu. Kwa muislamu,ibada ni kila jambo atakalolifanya bila kuchupa mipaka ya Mwenyezi mungu.inaweza ikawa "kula,kuvaa,kuzungumza,kutembea,kuchinja na mengine mengi.
Sasa kama mtasema msusie eti kwa sababu ni ibada kwa waislamu mengi mtasusa. Kuweni wapole!!
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tama na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Hivi tangu lini wakristo wameanza kuwa na taratibu za kuchinja?
ccm walitumia sera za udini wakati wa uchaguzi na wakashinda kwa kutugawa watanzania sasa ndio faida ya dhambi,acha imtafune vasco dagama na serikali yake!katika misiba ya watumishi wa mungu mch mathayo kachira buselesele na askofu thomas laizer arusha matamko mawili ya mabaraza ya wakristo yaani cct na pct yametolewa yakiweka wazi msimamo wa jamii ya wakristo kuwa kuanzia sasa wakristo watachinja kitoweo chao. Kwa vile sasa imeonekana suala la waislamu kuchinja ni ibada yao, wakristo hawatashiriki katika ibada isiyo wahusu.
Jambo hili ni muhimu tulifikiri na kujadili mapema maana linaamua mustakabali wa jamii ya watanzania. Je hotel zitakuwa labelled kama zina nyama iliyochinjwa kiislamu au kikristo? Na vipi katika sherehe za pamoja zitakuwepo buffet mbili moja ya nyama iliyochinjwa na waislamu na nyingine wakristo? Naona media zinajitahidi jambo hili lisizungumzwe wala kutangazwa maana tv zote tangu jana zinakwepa kulizungumzia. Mimi naona hii ni hatari zaidi!!! mods naomba msiiondoe thread hii!
Suala sio kususa, kila mtu afanye mambo kimpango wake, nakubaliana na wewe kwamba waislamu hadi kunya ni ibada, sasa mtatulazimisha wote tunye kiislamu au?, au wengine tusinye watunyee waislamu tu kwa sababu wao ni ibada?, acheni mambo hayo.( samahanini wakuu sijatumia tafsida ili kufikisha ujumbe katika uhalisia wake)
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tamaa na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Mkuu, Hakuna aliye wazuiya wakiristo kuchinja, Ebu jiulize Nani anawachinjia Nguruwe zao? wanachinja wenyewe kwa jina la Bwana waendelee tu na dini yao hiyo bila kumbughudhi mtu. lakini hatutowaruhusu kutuchinjia sisi waislam manyani kwa sababu tunawajua mna tama za pesa na ufisadi kwa hiyo mtaharibu soko la machinjioSuala sio kususa, kila mtu afanye mambo kimpango wake, nakubaliana na wewe kwamba waislamu hadi kunya ni ibada, sasa mtatulazimisha wote tunye kiislamu au?, au wengine tusinye watunyee waislamu tu kwa sababu wao ni ibada?, acheni mambo hayo.( samahanini wakuu sijatumia tafsida ili kufikisha ujumbe katika uhalisia wake)
Mkuu, Hakuna aliye wazuiya wakiristo kuchinja, Ebu jiulize Nani anawachinjia Nguruwe zao? wanachinja wenyewe kwa jina la Bwana waendelee tu na dini yao hiyo bila kumbughudhi mtu. lakini hatutowaruhusu kutuchinjia sisi waislam manyani kwa sababu tunawajua mna tama za pesa na ufisadi kwa hiyo mtaharibu soko la machinjio
Hiyo nadhani sio spirit ya umoja wa taifa. Ni udini. Sisi wakristo hatuna kizuizi wakichinja ila watambue sio sheria ya nchi wao kuchinja wala sio kosa mkristo kuchinja na wakikuta mkristo amechinja wanaweza kula au kuacha na sio kuinua majambia kudhuru watu. Lazima waislamu wakubali hio ya wao kula kilichochinjwa na muislamu tu ni sharia yao na haiwahusu wasio waislamu. Wajifunze kuheshimu imani za wengine.Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.
Inaelekea miongozi mwa kazi ngumu kabisa ni kumuelewesha muislamu mpaka akaelewa, tunachopinga hapani kuzuiwa kwa mtu kufanya jambo ili afanye muislamu tu kwa kuwa kwao ni ibada, kama kuongea kwa muislamu ni ibada, basi wengine tunazuiwa kuongea aongee mwislamu tu kama wanavyotaka iwe kwenye kuchinja, sidhani kama umenielewa.Mkuu hoja ni kwamba wakristo mlikuwa hamfahamu kuwa kuchinja kwa muislamu ni ibada.
Kwa vile mmesha lifahamu hilo,sasa mmesema kuchinjiwa na waislamu sasa basi. Je,mtakapokuja kugundua kuwa waislamu kumbe hata kuzungumza kwao ni ibada mtatengananao pia katika kuzungumza?
Hayo mengine uliyoyaongea ni ya kwako!!