Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

Status
Not open for further replies.
Hakna andko linalo waruhsu!

kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
 
Nawasihi watanzania tununue nyama kokote. Yeyote atakayechinja tule tu, Mbona vyakula vinapopikwa hatuulizi kapima mtu wa dini gani? Jamani tunakoelekea ni kubaya.

Wakiongoza marais wakristo, nchi huwa inatulia kabisa. Wakipewa urais waislamu nchi huwa na matatizo. Hivi nani mbaya hapo? Waislamu wanamatatizo.
 
Ni sahihi na haki endapo kutakuwaepo na bucha za imani tofauti na kuwekwa lebo ya bidhaa kwa imani husika. Hakuna swala la imani moja kuwa bora na haki kuliko nyingine. Uharamu au uhalali sharti utokane na sheria za nchi na sio mazoea au ubabe.

naaaaaaaaaaaaaaaaam
 
kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!

Katika? Walioamini mitume ya zamani huko na mayahudi na wakristo na wasabahi,yoyote miongoni mwao atakayemwamini Mwenyezi mungu sasa kama anavyosema Nabii Muhammadi na akaamini siku ya mwisho na akafanya vitendo vizuri,basi watapata thawabu zao kwa Mola wao, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. Qur'an 2:62.
 
nakushauri kasome tena biblia kabla hujarudi kuandika mambo yanayokudharaulisha hapa. Uliyoandika ni ushahidi wa namna gani huna elimu ya biblia.

tuambie ni uelewa gani wa biblia ulionao wewe. Ni biblia gani unayosoma wewe bila kuielewa. Au wewe ni yule anayesoma biblia huku unafikiria jinsi gani utaenda kunywa gongo na kulewa. Pole sana.
 
Ebu acheni mambo ya Walawi hayo ya mapokeo. Imeandikwa wapi kuwa ni ninyi pekee mnaopaswa kuchinja? Kama kwenye kitabu mnachokiamini ninyi, wale wasio kiamini kinawahusuje?, Je, na wao wanalazimika kubanwa na imani zenu?. Wenye hekima wangeweza kujiuliza, Je, ninyi huwa hamsafiri kwenda huko mnakodai wanachinja nyani, punda, nk? Hivi unapofika huko nje hususan Ulaya na Marekani unauliza kachinja nani kabla ya kula nyama? Au hamjui sasa teknolojia imebadilika wanyama hawachinjwi kienyeji. Je, hamuwezi kula nyama iliyochinjwa kwa Mashine au hamli nyama ya kopo (canned Beef) ambayo kwenye lebo za kopo huambiwi kachinja nani?. Hivi ni nani aliyezurika kwenu kutokana na kula nyama iliyochinjwa na yule ambae si wa imani yenu!? Hamuendagi kwenye misiba, sherehe, mikutano nk mkala nyama?. Hivi kule huwa mnauliza kachinja nani?! Tuyatafakari hata yale tunayofundishwa, tujifunze kuwa dunia imebadilika.

Mkuu usipoteze muda kubishana na Vibandiko, Issue ni moja wauze kwenye mabucha yao na Sisi tuuze kwenye mabucha yetu. Kila mtu afanye mambo yake. Pili tunataka kuanzisha mkakati wa hao Waislamu kuto tupigia kelele na AZANA zao zaa saa 9-11 alfajiri. Watu tume lala wao swalaaah swalaaah.Disturbance 100%
 
umenena maneno yenye hekima sana.jambo hili limenitatiza sana.ubaguzi wa dini ni mbaya kuliko ubaguzi mwingine wowote.fikiria shule za serikali watishije kama kweli wakristo wakilazimisha kula nyama iliyo chinjwa na mkristo tu? jeshini je wataishi vipi? walioana mkristo na mwislamum? DHAMBI HII NI MBAYA NA INALENGA KULIANGAMIZA TAIFA.

Tatizo ni watu wachache tu, mi nashindwa kuelewa huu upumbavu unatoka wapi baada ya miaka yote hamsini ya uhuru wetu. Na haya yote ni kwa sababu ya CCM kuendekeza udini na kutaka kuendelea kutawala kwa kuwagawa watz kwa misingi ya dini/ imani zao.
 
Wilbrod Slaa


Uchonganishi kwa kutumia dini ni mbinu chafu na ya mwisho ya utawala unaotapatapa kwa kushindwa kutekeleza mambo mengine ya msingi zaidi kwa wananchi wake.

Wananchi lazima kutambua hilo na kukumbuka kwamba umaskini na ukosefu wa mahitaji ya msingi si matokeo ya tofauti za dini au makabila bali utawala mbovu.

Huyo ndiye adui wa Taifa letu na ndiye wa kwanza tunayetakiwa kukamilisha harakati za kumuondoa zinazokaribia kushinda.


i like this
 
Kuna maandiko gani katika bible yanayozungumzia namna ya kuchinja? Naomba msaada

Kwenye biblia hakuna maandiko ya kipumbavu kama huyo. Biblia haifarakanishi watu bali inaleta watu pamoja ktk misingi ya tofauti zetu za asili.
 
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.

Lakini mkuu,waislamu ibada si kwenda msikitini tu. Kwa muislamu,ibada ni kila jambo atakalolifanya bila kuchupa mipaka ya Mwenyezi mungu.inaweza ikawa "kula,kuvaa,kuzungumza,kutembea,kuchinja na mengine mengi.

Sasa kama mtasema msusie eti kwa sababu ni ibada kwa waislamu mengi mtasusa. Kuweni wapole!!
 
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.

Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ng’nga’nia, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?

King James Version

GENESIS {9:1} And God blessed Noah and his sons, and said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth.
{9:2} And the fear of you and the dread of you shall be upon every beast of the earth, and upon every fowl of the air, upon all that moveth [upon] the earth, and upon all the ishes of the sea; into your hand are they delivered. {9:3}
Every moving thing that liveth shall be meat for you; even as the green herb have I given you all things. {9:4} But flesh with the life thereof, [which is] the blood thereof, shall ye not eat.

Kwa kiswahili

Mwanzo 9:1 Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, ‘‘Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. 2 Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi na samaki wote wa
baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu. 3Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado
ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.

hivyo kila kitu ni menu tu.

 
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.

Muombe Mungu akupe ufahamu wa kuyafahamu yale usiyoyafahamu hata kama usipoyafuata. Namna hii itakusaidia katika maisha yako kuishi katika ulimwengu wa watu wenye mitazamo tofauti na yakwako na pia ukawa sehemu mojawapo ya kujifunza.
 
Mtu fulani kutoamini ktk imani yako si kosa, hakuna imani inayozidi nyingine kwa ubora. Kuwa mkristu hakunifanyi kuwa bora kwa binadamu wengine. Hatuna sababu ya kutukana wengine kwa imani zao, wakristu kwa asili ni watu wapole, wanyenyekevu na wenye subira. Lakini wakristu wa siku hizi tuko'mutated' ...tumepitiwa na mabadiliko ya asili, si wale kwa asili yetu.


Nani amepata kufahamu asili wa Mungu, kwa namna tudhanivyo tunaona pengine Mungu ni mwislamu, au mkatoliki, au mlokole, budha, myahudi, mh! Mungu hakuhesabii haki kwa kuwa wewe ni mkristu, mwislamu nk. Mungu ni upendo. Wewe uliyemkristu utamshawishi vipi Bw Mungu kuwa wewe ulikuwa unamtumikia na hali unafarakanisha watu kwa imani. Huku ni kukosa upendo, na ni dalili kuwa tumedandia gari la shetani kwa mbele.
 
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.

Kama unaweza kunena hivi basi hukuwa na sababu ya kuwa mkristu maana ni dhahiri kuwa kwa asili wewe si mkristu. Ni mkristu wa mazoea. Kanisani unaenda lkn huelewi kwanini upo pale, siku zinakwenda. Jifunza kwa nini wewe ni mkristo na wengine wa imani nyingine.
 
Tuachane na mambo madogo na ya kijinga. Taifa hili linahitaji watu kufikiri namna ya kuondokana na umasikini na si hoja za kipuuzi. Ulaya wanachinja kwa mashine na hawana muda wa kuhoji hii nyama kachinja nani ndo maana wanapimakujua aina ya nyama na si kachinja nani. Tujiukize kabla ya dini hizi za nje kuja kwetu nani alikuwa mchinjaji? Nijuavyo mimi in a modern society kuchinja si tu imani bali kuna maslahi kwetu ukipeleka kuku kuchinja lazima uache kichwa au utoe hela kwenye machinjio makubwa ni zaidi ya hiyo na sote tunafahamu. Kwa hili lililoibuka kanda ya ziwa si suala la imani bali ni haki na maslahi zaidi. Unaposema hii ni haki ya fulani na si fulani unajenga hali ya wengine kutaka kujua uhalali wa haki hiyo na kama sababu ni ya kiimani na si sheria ilhali kila mtua ana imani yake usitegemee utulivu. Ikifikia hapo suala la maslahi linaingiakundi moja lenye imani tofauti kususia biashara za bidhaa hiyo kwa kundi lingine lolote laweza kutokea. Busara iliyopo si kuendelea kushabikia kama mleta mada
 
Watanzamia acheni ujuha tuaacha kupigana kumuondoa adui yetu mkuu anaechelewesha maendeleo na anaye tunyonya tunakazana kuanza kushindana nani achinje na nani asichinje naona sasa tunakoenda ni kubaya tunabaguana tutashindwa kutumbeleana majumbani kwetu hata kuzikana
 
King James Version

GENESIS {9:1} And God blessed Noah and his sons, and said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth.
{9:2} And the fear of you and the dread of you shall be upon every beast of the earth, and upon every fowl of the air, upon all that moveth [upon] the earth, and upon all the ishes of the sea; into your hand are they delivered. {9:3}
Every moving thing that liveth shall be meat for you; even as the green herb have I given you all things. {9:4} But flesh with the life thereof, [which is] the blood thereof, shall ye not eat.

Kwa kiswahili

Mwanzo 9:1 Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, ‘‘Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. 2 Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi na samaki wote wa
baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu. 3Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado
ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.

hivyo kila kitu ni menu tu.


Wapi panaposema ili mkristu ale nyama lazima iwe imechinjwa na mkristu.
 
Nyie endeleeni kujadili tu lakini sidhani kama kweli haya mnayojadili humu ndiyo mnayoyaishi siku zote katika maisha yenu.


Mambo yote yanayomhusu Mwenyezi Mungu ni tata ndio maana pakawepo na dini mbalimbali ambazo na zenyewe

ndani yake zimefagawanyika na huyo ngawanyo kila mmoja anatafsiri maandiko anavyojua yeye ama kwa tafsiri

kibinadamu na mazingira yake au kwa utashi wa kuwavutia wengine kibiashara.

Kiukweli yote haya ni matokeo ya ukoloni mamboleo unaoanza kujikita zaidi katika imani,mila na desturi za watu ili

panapowezekana mila na desturi zetu na baadhi ya imani za amabazo zimejikita kiimani zaidi (itikadi kali) zifutiliwe

mbali.

Binafsi ningependa mijadala kama hii isituweke roho juu sana kiasi kwamba tukashindwa kutafakari mambo mengine ya msingi yenye tija kwa taifa.

Na kama issue kuchinja na kwa kuwa serikali haina dini lakini ina maeneo iliyotenga kwa ajili ya watu wake

kuchinja,kupumzika,kucheza/michezo na shule/madarasa.Hivyo basi suala lolote linalohusu imani ni bora serikali

ikasitisha mara;

1. ufadhili wa machinjio ya wanyama na badala yake machinjio yapatiwe kazi nyingine ikiwepo masoko ya bidhaa za

nyama,samaki na mbogamboga za wakulima wadogox2.

2.kutumia madarasa ya shule za misingi na sekondari kama sehemu ya kuabudia baada ya masomo au siku za kuabudu za dini husika.

3.kutumia maeneo ya wazi/public space na viwanja vya michezo kama sehemu za mikusanyiko ya mikutano yoyote ya

dini hasa ukizingatia kuwa dini hizo zina nyumba zao za kuabudia na si kwenye maeneo ambayo ni tofauti na nyumba

za ibada na hivyo kuleta hisia zenye chuki kwa imani nyingine ambazo hazikulengwa kwenye mkusanyiko huo.


Sidhani kama serikali inaweza kuwa kali kiasi hicho kwa kusitisha baadhi ya vitu vinavyowezesha watu wake wawe huru kiimani,inachosubili labda wakuu hawa wa dini wataonesha busara ya pamoja kutaka kukutana na mkuu wa nchi kwa mazungumzo ya namna ya kutafuta ufumbuzi wa pamoja wa suala hili.

Watu wote walikuwa wa dini moja ya haki aliyokujanayo nabii Adamu. Kisha wakakhitilafiana. Basi Mwenyezi mungu akawaleta manabii watowao habari njema na waonyao.
Na pamoja nao akawateremshia vitabu vilivyoshikamana na haki ili vihukumu baina ya watu katika yale waliyokhitilafiana.

Na hawakukhitilafiana katika hayo ila wale waliopewa vitabu hivyo,baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi,kwa sababu ya uhasidi uliokuwa baina yao.
Ndipo Mwenyezi mungu akawaongoza walioamini kwendea haki katika yale waliyokhitilafiana kwa idhini yake. Na Mwenyezi mungu humwongoza amtakae kwendea njia iliyonyooka. Qur'an 2:213
 
Wafanyabiashara wataangalia ni wapi kuna wateja wengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom