Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
to me religion is an individual business God/Allah for US all, why make Religion a political issue this is nonsense and it can not be tolerated, we should not let few glattons to destroy the nation stability, by using religion as political agenda. we muslim and X-ans we live together in a stable society why should we let few religious leaders destroy nation stability. all religiuos issue should be left in the MOSQUES and CHURCHS. this is the time to concentrate on relevant issues and keep a side irrelevant matter. Tanzania belong to us all and the Government of Tanzania is not a Church or MOSQUES. Lets drop That trash and concentrate on nation building.

uliyasema haya baada ya maaskofu kutangaza tangazo la kisiasa la kumkataa meya utafikiri meya anaingiza misa kanisani?
 
Mkwere lazima afurahie maana anayoyataka ndio yanaanzakutimia kupandikiza udini, HUYU FISADI INABIDI AONDOLEWE HARAKA SANA KABLA YA UDINI HAJAUSAMBAZA MAANA YUKO MAGOGONI KUISAMBAZA UDINI KWA KUTOCHONGANYISHA WENYEWE KWA WENYEWE.:A S-fire1:

una hasira ee , hama nchi haondoki hadi october 2015
 
Zubeda ulikuwa wapi wewe? siku nyingi sijakuona jamvini...., sasa tutafanyaje ebu nisaidie ili hayo hapo juu yasijenikumba na mimi....

Hakuna dawa nyingine ila ni kusilimu tu! kama uko tayari kusilimu we sema tu, hata hapa Jamvini takusilimisha! uko tayari?
 
ili upate kusolve tatizo lolote lazima ufahamu kwamba tatizo lipo!, Kikwete tayari keshasema kuwa kuna tatizo la udini, maaskofu wamekataa kua hakuna udini, unajua kwa nini? udini ni mtaji wa Maaskofu, hautakiwi kuwekwa wazi! ukiweka wazi wewe ni adui namba moja! nani asiyejua kwamba tokea ukoloni kulikuwa na ubaguzi wa makusudi wa kidini, na ukaendelezwa kwa kasi na kijanja sana na nyerere, yeyote aliyetaka kubalance mambo alionekana msaliti na hii hadi leo ndio ina apply! Chuki imeanza kupandikizwa na maaskofu vigeugeu kwa kuelekeza waumini wamchague kikwete leo, na kesho wakawaelekeza wamchague Slaa , kesho kutwa watawaeleza waumini wamchague nani? Baada ya kuyumba kwa maaskofu kwa viloe ni watu wanaotangazwa eti ni wasomi huku ni watu wa hovyo hovyo na wadini wakubwa , leo wanataka kukataa hakuna udini, shame on them! Tunajua kwamba walisema kikwete ni chaguo la Mungu kwa sababu walitaka kupewa upendeleo kama walivyozoea! walivyoona hawaupati kama walivyotarajia wameshamuona hafai wakamtaka Slaa, slaa kashindwa sasa wanataka nchi isitawaliki, kna kwa sababu kuna wasomi uchwara kama ninyi matapaza masauti mkisikia matamnko ya waislamu na mtashangilia na kuunga mkono utumbo wa maaskofu

Asante mkuu! wape vidonge vyao hawa Wagalatia sijui ni nani aliewaroga!
 
Hakuna dawa nyingine ila ni kusilimu tu! kama uko tayari kusilimu we sema tu, hata hapa Jamvini takusilimisha! uko tayari?

Whaaat !!!!!!!, jamani mimi nimeomba tu tukutane tushare mawazo na juice, na kuongelea maendeleo ya nchi yetu lakini mpaka nibadilishe imani yangu? usiwe hivyo Zubeda...... Mungu ni mmoja ( Allah, Jehovah, Adonai, Ehyeh Asher Ehyeh) sisi sote ni ndugu, nchi moja wote watanzania tusifanyiane hivyo...., tuendeleze upendo na sio chuki.... tuwe mfano wa kuigwa....🙂
 
Kwani ukisilimu ndio nimeendekeza chuki na sina upendo? hivi mbona ninyi neno upendo mmelifanya kuwa ndio kauli mbiu yenu? hivi mna upendo kweli? si dhan!i kwa sababu wakati waislamu Watanzania walipouliwa na Serikali ya Mkapa mwaka 1998 na 2001 upendo wenu ulikuwa likizo?

Ama kunywa juice na mimi sidhani kama ni realistic kwani hatuwezi kuongelea maendeleo ya nchi yetu bila kukutana? naomba upunguze utani maana issue tunazoongelea ni very sensitive! Utani wenu kama huu ndio imeifikisha nnchi hii hapa tulipo!
 
nadhani kuna matatizo ya msingi yanayoikabili nchi yetu.kuanza kubishania dini kwa sasa ni kupoteza malengo.nchi ina njaa,umasikin umeongezeka.

Mimi ni mkristo 2005 nilimpigia kura mgombea urais muislam kwan ndiye niliyemuona atailetea nchi yetu maendeleo sikuangalia dini.2010 nimempigia mgombea urais muislamu na mgombea udiwan muislam kwan nimeona ndio wataniletea maendleo.ina maana 2015 nichague wakristo hata kama hawana sera kwa sababu ni wa dini yangu?
Embu tuamke
 
Kwani ukisilimu ndio nimeendekeza chuki na sina upendo? hivi mbona ninyi neno upendo mmelifanya kuwa ndio kauli mbiu yenu? hivi mna upendo kweli? si dhan!i kwa sababu wakati waislamu Watanzania walipouliwa na Serikali ya Mkapa mwaka 1998 na 2001 upendo wenu ulikuwa likizo?

Ama kunywa juice na mimi sidhani kama ni realistic kwani hatuwezi kuongelea maendeleo ya nchi yetu bila kukutana? naomba upunguze utani maana issue tunazoongelea ni very sensitive! Utani wenu kama huu ndio imeifikisha nnchi hii hapa tulipo!
Umejuaje dini yangu mkuu???, mimi dini is never an issue, nina judge watu according to their characters dont care their faith or ancestry... wawe wapagani, hindu, budha... i coundnt care less...., Zubeda will remain to be Zubena no matter her faith...
 
Serikali haifanyi kazi kwa matamko mnapoteza wakati bure.
 
Kuna evidences za kutosha aina hii ya uislamu ndio inakuza haya hapa chini na yanakuja duniani kote. Wakishindwa kudialog na kutafuta solutions, wanatafuta ideas mahali pengine...

Last edited by a moderator:
najisikia kutapika na matamko...Wote hao wanaong'ang'ana kutoa matamko shule walikimbia kisa madrasa..sasa ndiyo wanaona umuhimu wa shule,fainal uzeeni..mbona waislam wenzangu walioenda shule hilo hata alitusumbui...
 
Wazee wa pombe, wabakaji, na wazinzi wa kukaa kimada bila ndoa! tumewazoea. Utafiti unaonyesha ukimwi umewaathiri zaidi kwa sababu ya ukosefu wa Elimu ya maadili!

Poleni ndugu zetu! angalia ukimwi uko zaidi Kagera, Kilimanjaro, Arusha, nk. lakini Zanzibar, Tanga, Mtwara, Dar, Kilwa, Pwani na maeneo wanayoishi Waislamu wengi yameathirika kidogo zaidi! na ndio maana hata nchi za Kiislamu barani Afrika gonjwa hili halina nafasi! gonga hapa uone Ukimwi unavyoathiri nchi wanazoishi Wakristo wengi! AidsinAfrica.net - HIV AIDS Epidemic Map

Tubadilike jamani elimu kama haikusaidii kujilinda tutakwisha!

Jidanganyeni sana na mafundisho ya kutoka kulia kuelekea kushoto. Si unajua kinachoendelea Mombasa, Zanzibar, Tanga, Bagamoyo, n.k?? Eti uzinzi. Imani inayoruhusu kuoa wengi na kuwaacha wakati wowote nayo ni imani!!

Wakati wa mfungo tembelea Kinondoni makaburini, ohio na ufukweni mwa bahari ya hindi uone kama utakutana na akina dada wanaojiuza. Biashara huwa inadoda. Wateja wanakuwa likizo kwa mwezi mmoja. Au vilevile wakati wa mfungo soma magazeti, tazama tv na sikiliza radio kama utapata taarifa yoteyote kuhusu matukio ya ujambazi. Na zaidi ya hapo, wakati wa mfungo nenda maeneo yanayouza kiti moto uone jinsi nyama ilivyododa! Pia, wakati wa mfungo tazama mashekhe wanavyofungisha ndoa nyingi na baada ya mfungo tu mabinti wanalimwa taraka kama kazi na kiimani hiyo ni ruksa!! Na mwisho, mnaponiacha hoi ni imani yenu juu ya majini kwamba navyo ni viumbe vya mungu!! Poleni sana. Ndiyo maana shekhe yahaya pamoja na uchawi wake wa waziwazi bado anakubalika na anaswalisha bila ajiiz. Maajabu ya dunia!!

Yote hayo, yanaashiria jambo moja. Sihitaji kulisema. Utajaza mwenyewe. Bahati nzuri kwenye hotuba zenu (siyo mahubiri) mashekhe na viongozi wenzenu wa serikali huwa wanalizungumzia suala hili.

Asante mzee wa ubwabwa na pilau. Umenifikirisha na kunikumbusha mengi.
 
Tatizo letu Waislam tunadanganywa sana na hawa mashehe na maimamu wetu. Badala ya kushughulikia kusimamia mambo ya msingi kama chuo chetu kikuu Cha kule Morogoro na kuanzisha matawi mengine nchini kote wanahangaika na siasa za CCM kana kwamba CCM ndiyo BAKWATA. Jamani Waislam tuamke Elimu Ni Ukombozi.
 
Hakuna dawa nyingine ila ni kusilimu tu! kama uko tayari kusilimu we sema tu, hata hapa Jamvini takusilimisha! uko tayari?
UKWELI AKUNA NA ATOTOKE WA KUIFANYA TANZANIA KUWA ISLAMIC STATE ILO MSAHAU.
JUU YA WAKRISTO KUWA WENGI SERIKALINI NI MATOKEO YA KUSOMA ELIMU DUNIA WAKATI WAISLAM WAPO BIZE NA MADRASA.HALI ITAENDELEA HIVYO KWANI VIJANA WENGI NA TAASISI ZA DINI YA KIISLAMU AZIPO MAKINI KUANDAA VIJANA KIELIMU,Mfano seminary nyingi za waislam apa TZ azitoi elimu bora ukikompare na za Wagalatia.
Angalia matokeo ya F4 ni shule za Wagalatia ndio zinaongoza kitaifa!
Uwezi kuwa gavana wa Benk kuu kwa mfano kwa kujua msaafu pekee!,Nendeni Shule acheni kubwabwaja
 
Wakati wenzao wanajibidiisha kusoma, wenyewe wanaendelea na madrasa zao, kunywa kahawa na kashata na kula ubwabwa. Halafu mwisho wa siku, wanalalamika hawaajiriwi serikalini.

Kwa mwenendo huo, wataendelea kuuza juice za miwa kariakoo.
 
Jamani udini udini udini udini ,lets stop this bsness huu ni mpango maalumu wa ccm kututoa ktk concetration ya mambo muhimu ya nchi,pliz lets not loose our focus
 
Suala la shule zilizokuwa za wakristo kurudishwa zote ni uongo. Kwa kuwa kuna mfano wa hiyo Mbugani school, nami natoa mfano mmoja tu wa shule ya msingi Muungano Primary School, ambayo haijarudishwa kwa wakatoliki, tena iko ndani ya eneo lao hapo jijini Mbeya na imepakana na shule makini ya St. Francis Sec School.
 
Hivi lini yule mchora katuni wa Denmark atachora nyingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom