Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,419
- 2,092
nikiacha miaka mitano iliyopita ya utawala wa JK..... takribani miezi kadhaa tumeona jinsi vugu vugu la uchaguzi liilvyoacha mengi ya kujifunza , kujiuliza na, kutafakari na kujutia kama sio na kujipongeza pia.... ila kubwa ni hili la DINI kutanza kuchukua kasi katika swala zima la siasa na uongozi/utendaji mzima wa serikali....
Kikubwa ninachotaka kusema hapa ni jinsi gani watu walivyoamua kukaa chini ya kivuli cha udini ilimradi waungwe mkono na watu wa aina flani kwa MSLAHI YAO BINAFSI... kwa heshima kubwa na adabu niliyonayo kwa waislam na kwa kuwa nina wajali na kuwaheshim kama watu wangu ninaoishi katika yao... nasikitika kuwaambia kuwa WAO NDIO WATAKUWA WA KWANZA KUWARUSHIA MAWE VIONGOZI/WANACHAMA WA CCM 2015 bila kujali dini zao. pengine kabla hata ya 2015
ninasema hivi kwasababu CCM wameona kwa kutumia udhaifu (no offence) ya baadhi ya waislam katika kuchanganua mambo ya kijamii na kisiasa na kulowea kwao katika dini yao pasipo kutazama na kuisoma dunia inayowazunguka bac ccm wameamua kuwatumia kama MTI..... wakitatumia watakavyo wakati wa shida zao... wanawatumia kama kivuli cha uovu wao... kwa kuwagombanisha na raia wenzao.. huku wao wakiwa chanzo cha mafarakano yao....
kwanza napenda kuwaambia waislam kuwa Amin Amin nawaambia kuwa yote mliyohaidiwa kama yanahusisha jamii yoyote ambayo sio waislam bac hayatatekelezeka kwa 100% au yasitekelezwe kabisa ikiwa hazikufuatwa njia za haki... kwa kuwa kumbuka hiyo serikali iliyowaahidi au hao viongozi ina watendaji ambao nao ni sehem ya jamii...
ubabe au fitina zozote zinaziofanywa na CCM kwa kuwatumia ninyi kumbuka zitawaathiri pia ninyi kwa mlango wa nyuma kwani wao wanajua kuwa hawana ubavu wa kusimama mbele na kuwanyoshee watu vidole ss wanachofanya wanatumia DINI..
KWA NINI CCM hawawatumii wakristo.(kama kun a wanaotumika ni very few percent)
jibu ni rahisi CCM haiwatumii wakristo katika propaganda na conspiracy zake ni kwasabbau mafundisho ya kikristo yamelenga kumjenga mkristo kiroho na kimwili..... (sifahamu kwa waislam so siwezi kuelezea)
kiroho - ni kwa misingi ya imani na kumjua mungu na sheria zake na kuishi kwa mujibu wa amri zake
kimwili - ni kujua mahitaji yako halali ya kimwili na mazingira yanayokuzunguka.. na kuhakikisha hayaingiliani au hayaharibu maisha yako ya kiroho.. na ili uweze kujua mazingira yanayokuzunguaka inabidi uface tabia zake na vyote vilivyomo.. ss kwa hali hii mkristo analishwa chakula cha roho na pia analishwa chakula cha mwili...
mungu aliumba viumbe vyote akavipa pumzi na (UTASHI) utashi ni zaidi ya ufahamu huitaji kujua vifungu flani vya biblia au quran ili ujue kuwa jambo flani ni jema au baya.. kwa utashi wako tu utajua.. ss unapochanganya maamuzi ambayo yanamuliwa kwa utashi ukayapeleka kiimani, trust me u make things even worse... kwasababu iman its very complicated things na... cc wakristo tunaamini kuwa iman ni kitu chenye effect kubwa ukiweza kumtawala mtu kiiman bac kamwe itakuwa ngumu huyo mtu kukugeuka... ndio maana kibwetere aliweza choma watu moto kwani alishika iman.. na hata yesu alisema ukiwa na iman utaweza kuhamisha mlima alijaribu kuonyesha nguvu ya iman...
sasa CCM wanajua kuwa kuna baahdi ya waislam hawana utashi wa kuweza kuchanganua mambo na kuwa ile hali ya ushabiki aliyoijenga huku yeye akiamini ni iman bac wanakubali na kufanya lolote wakiamini wanafanya kwa ajili ya uislam...
Ndio hao wailsam wako kishabiki... coz kama ni kwa iman huwezi taka kitu flani kifanyike na muilsam ili kiwe halali ikiwa mungu alisema heshimuni mamlaka iliyowekwa na ninyi wenye mkakubali kuwa na serikali isiyo na dini iweje uingize swala la dini kwenye uongozi na kumbuka viongozi wenu hawateuliwi mnawachagua ingekuwa mko kiiman mngesimami misingi inayohakikisha serikali yenu haivunji haki yenu yoyote ya misingi yenu ya dini na pia misingi yenu haiathiri iman zingine kwani tunachangamana...
ila ss CCM itawatumia kwa kivuli chenu kama mti jua likishazama na giza kuingia bac itakata huo mti na kuufanya kuni ya kuokea moto ili ajikinge na baridi la usiku... na hapo ndipo mtakapo kuwa wa kwanza kuwarushia mawe...
NB: atakapo ondoka kikwete amin nawaambia CCM yeyote watakayemsimamisha akiwa muislam nawaahidi hata yafanya yale mnayoyataka ya dini yenu kwasababu hicho chama kiko mikonononi kwa mafisadi na lugha pekee wanayoielewa ni pesa na mali... kama walivyomuweka JK ... Jk anaahidi anayo ahidi hadharani na sirini ila anajua utekelezaji wake inategemea mafisadi wamelipokeaje..
ss aina hiyo ya chama na watu wake itawasaidia vp kwenye dini yenu huku mkizidi kuweka gape na watu mnaoishia nao na kupanga foleni za maji mitaani huku watoto wenu wakisoma chini ya miti na kukaa kwenye udongo ..lakini mmegeuka maadui kwasababu tu wao hawaelekei kwenye nyumba ile mnayoenda ninyi kuabudu bali wanaenda ya kwao... wanakaoimba na kushanbgilia kwa sauti.
tafakari.. sio mzuri wa kuandika Article ila naamini walau nusu ya ujumbe utakuwa umeeleweka