Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Thubutu, haliwezi kufungiwa ng'o, labda ifungiwe serikali ya CCM ambayo amekuwa ikiwadanganya wananchi kwa miaka 50 sasa.
 
Mzee labda wewe akili yako ndo finyu nadhani hujasoma hayo malalamiko ya waislamu kwa bakwata kama tamko lao linavyosome hapo juu nanukuu "Ndio maana tangu wakati wa Nyerere hadi leo, uchaguzi wa viongozi wa Waislamu husimamiwa na vyombo vya dola. Nia ikiwa ni kutokuwapa Waislamu uhuru wa kuwachagua viongozi wao. Katika taifa moja haki hiyo ni ya Wakristo peke yao. Sote ni mashahidi kuwa mwaka 1994 serikali ilimwagiza Naibu Waziri Mkuu Mh. Augustino L. Mrema kuhakikisha kuwa Bakwata inapitisha katiba mpya inayotakiwa na serikali. Na Maaskofu wakachangia gharama. Waislamu ni maadui kidini na kisiasa, lazima wadhibitiwe". mwisho wa kunukuu,

Originally Posted by EXECUTIVE Ndugu yangu kama BAKWATA iliyoanzishwa na serikari ya mzee wetu Ali Hassan Mwinya (Mzee Ruksa) haina uhalali mbele ya waislamu kwa sababu tu ni chombo kilicho anzishwa kwa usimamizi wa serikali, Je mnapata wapi ujasiri na imani kuwa mahakama ya kadhi itakayoanzishwa na serikari haitakuwa kama BAKWATA? mbona jamani mnakuwa too contraversial and double standard kiasi hicho?

Waislamu wanaita BAKWATA ni wasaliti kwa sababu wako pro government na wanalipwa pesa na serikali za kuanzisha BAKWATA, hiyo imani yenu kwa serikari kuanzisha na kumlipa kadhi mkuu inatoka wapi, Je maaskofu hawawezi kuchangia fedha za kuanzisha kadhi na kuwalipa kama ilivyokuwa kwa BAKWATA. I am just trying to think jamani!
Tamko linasema serikari ilimwagiza Agustino Mrema, serikari ya nani? wakati huo sio mzee RUKSA? kwa hiyo mzee Mwinyi nae alichangia kuhujumu BAKWATA? na mpaka leo JK, SHEIN na BILAL serikari yao inaendelea kuhujumu BAKWATA na uislamu? sasa kama waislamu hawana Imani na serikari kusaidia Taasisi za kislamu kama BAKWATA, Inakuaje wanaiomba serikari waanzishe MAHAKAMA YA KADHI na Serikari iwalipe makadhi, si serikari hii hii waislamu wanayoituhumu itaweza kuwahujumu waislamu, sasa kwa nini waislamu wasijiepushe na hujuma za serikari kwa kujianzishia mahakama yao ya KADHI? KADHI ni swala la ibaada sa serikari kweli ILIYOWEZA kuhujumu BAKWATA, ina aminika vipi tena kuanzisha kadhi mkuu? Naomba unisaidie hapo nimekwama kuelewa hawa ndugu zangu wanachohitaji.

Nahisi kunasehemu unacopy na kupaste ndio maana hujui hata unachokiandika!

Awali ya yote dini ya kiislam haiendeshwi kwa katiba inaendeshwa kwa minsingi ya mafundisho ya kitabu kitukufu Quraan na hadith za Mtume Muhammad kwahiyo kwenye hiyo nyekundu umejijibu mwenyewe kuwa lile kundi lililopo pale Bakwata limewekwa na wakatoliki pamoja na serikali kwa "maslahi yao"

Lini waislam walishadadia kusimika viongozi wa kikristo kwa kutoa misaada ya pesa? Tafakari, Chukua hatua...............
 
Nadani misamaha ya kodi wanapata taasisi zote za dini, taasisi za kislamu na kikristo sasa kwa nini waislamuu hawatake advantage ya misamaha ya kodi, na misamaha hiyo inatolewa kwa taasisi za dini kwa sababu hazifanyi biashara zinapoingiza madawa kwa ajili ya hospitali na zahanati, vifaa vya ujenzi wa shule, misikiti, au makanisa etc, which is a good thing and both side of the isle benefit from misaaha ya kodi sasa mbona tunaoneana gere,

MOU-Je waislamu wamejaribu kuiomba serikari kuingia nayo ubia kutoa huduma za afya au elimu kwenye vituo vya kislamu wakakataliwa, kwanini msiwe creative and convince the government you can do something kwa jamii na serikari can cooperate with you.

kuhusu MOU, mashirika ya dini ya kikristo yanajenga shule na zahanati na serikari inasaidia uendeshaji kwa kuwalipa wataalamu na utoaji wa baadhi ya vifaa, so this is a partnership between mashirika ya dini na serikari and every single cent is counted for, hivyo pesa hizo haziwezi kutumiwa kwa mambo mengine kwani hazitolewi ki holela kama mnavyofikiri, kila senti ipo kwenye bugdeti, hivi hakuna watu wa maana wanaweza kufatilia na kujua kuwa mashirika ya dini ya kikristo ndo yanayoisadia serikari na jamii yetu kwa ujumla, na project zote zilizo kwenye MOU ni kwa manufaa ya watanzania wote
Wacha habari hii!.Kula haramu na ujambazi ni kawaida yenu.
Hii ni rafu mbaya.Kwa sababu tayari mumeshajilimbikizia mavitu tele munayosema ni ya kwenu halafu ndio mnataka na sisi tufaidike na misamaha ya kodi.Haiwezekani.
Kwanza ipigwe hesabu ya hayo muliyojilimbikizia kwa ujanja tugawane,halafu ndio tuanze sifuri.
Bila kufutwa misamaha ya kodi na waislamu wakajitumbukiza katika mbio na nyinyi mutaendelea kupata visingizio vya kutubeza.Suluhisho ni misamaha ya kodi ifutwe moja kwa moja,tutawasamehe mulivyo navyo.Wakati huo huo taasisi za kiislamu zilizozuiliwa(OIC).... na kufukuzwa nchini(Alharamain)..... ziachwe ziendeshe shughuli zao bila nongwa ndipo tuingie ulingoni.
 
Awali ya yote dini ya kiislam haiendeshwi kwa katiba inaendeshwa kwa minsingi ya mafundisho ya kitabu kitukufu Quraan na hadith za Mtume Muhammad kwahiyo kwenye hiyo nyekundu umejijibu mwenyewe kuwa lile kundi lililopo pale Bakwata limewekwa na wakatoliki pamoja na serikali kwa "maslahi yao"

Lini waislam walishadadia kusimika viongozi wa kikristo kwa kutoa misaada ya pesa? Tafakari, Chukua hatua...............

Sasa kaka kama dini ya kiislamu haiendeshwi kwa katiba na inaendeshwa kwa mafunzo ya kitabu kitukufu Quraan, kwa nini waslamu wanaishupalia serikari ianzishe mahakama ya KADHI? badala ya waislamu kuanzisha wenyewe kwa utaratibu ulio ainishwa kwenye Quraan tukufu? kwanini waislamu wanaishupalia serikari imtambue kadhi mkuu kikatiba? yaani nyie watu mnanichekesha sana................haha haha!

Sasa JK aneyehujumiwa na maaskofu nae anakubali BAKWATA iliyowekwa na wakatoliki na serikari kuendelea kuhujumu uislamu, inamaana JK, GHALIB BILAL, MAKAMBA, NAHODHA, MKULO, CHANDE, MWEMA, MWINYI MKUBWA NA MDOGO,sheni, id seif wote hawa ni waislamu wenye mamlaka na nafasi kubwa za kutetea uislamu na mamlaka ya kuondoa hizo hujuma na hizo conspiracy sasa kwanini wasisaidie uislamu na kutumia mamlaka yao kuondoa hizo hujuma kwa waislamu?
 
No wonder this is why my wise Islamic father suggested I opt to be a Christian following my mother's religion. You people are problematic. This makes me to suggest that there are highly educated Muslims who wish they would be Christians.
 
Wapendwa wana JF, Binafsi nasikitika sana tuapojadili historia ya dini zetu na masiha yetu.Guys kama kweli mliweza kusoma history vizuri na mkaielewa sidhani kama mtaendelea kubishania kuhusu Udini.
DINI ZOTE ZILILETWA NA WAMISSIONARY NA WAARABU,ambao their target was how EUROPE AND ARABS countries are now.p
PLEASE,PLEASE,PLEASE LETS THINK OUT OF THE BOX kama shujaa KABANGA ALIYEMPIGA MKORONI


Umeathirika na historia ya maboxi Kabanga hakumpiga mkoloni, mkoloni alipigwa na kina Mwinjuma Mwinyikambi, Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate, Iddi Tosiri na ndugu yake Iddi Faizi na kaka yao Sheikh Mohamed Ramia wa Bagamoyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir, Dossa Aziz, Hamza Mwapachu, Clement Mtamila, Dr Michael Lugazia, John Rupia, Dr Vedasto Kyaruzi, Dr Luciano Tsere, Dome Budohi, Dennis Phombeah, Zuberi Mtemvu, Ali Mwinyi Tambwe, Tatu binti Mzee, Titi Mohamed, Asha Ngoma na majina kwa kweli ni mengi ukisema uyataje hutoweza kuyamaliza kwa ukamilifu wake.
 
Kwani Rais Kikwete ni MKATOLIKI?Makamba ni MLUTHERANI?Hivi sio hawa waliowaahidi mahakama ya Kadhi?Unapoandika "HAMTAKI" ni kama Kikwete au Makamba sio Waislam wenzenu.Tuondoleeni upuuzi wenu hapa.Kama mna malalamiko,mkalieni kooni ustaadh mwenzenu Kikwete.Mnajifanya kama hamjui kuwa JAMBAZI HANA DINI


Mkuu ndio maana bidhaa za kutoka ulaya lazima zije na menu ya know how, hivi hujiulizi kwa nini mpaka leo kikwete na makamba hakuna anayeitwa alhaji? na sifa ya kuitwa alhaji ni kwenda kuhiji macca basi, je watu hawa hawana nauli ya kwenda kuhiji?
 
Mimi ninasikitika sana na Mkapa kupoteza kodi zetu bure kwa kuwapa chuo hicho waislamu. Hicho chuo cha Tanesco kilijengwa kwa kodi zetu wakristo, waislamu na wasio na dini. Mkapa akakitoa kuwapa waislamu akifikiri kitawasaidia matokeo yake ndiyo hao eti "maprofesa" wa kuzalisha pumba. Just imagine kama Mkapa mkatoliki angekitoa kwa wakatoriki nafikiri hiyo ndiyo sasa ingekuwa agenda kubwa ya waislamu.

BTW hao maprofesa wangalie takwimu za Wizara ya Elimu. Kila mwaka kwa form IV na VI the best ten schools kila mwaka ni Seminari za Kikristu huwezi kukuta hata seminari moja ya kiislamu. Kazi yao eti mabingwa wa kuhifadhi Qurani. The last top ten 10 schools ni seminari za kiislamu IV na VI. Statistics don't lie.

Hao wanaojiita maprofesa hawataki ku address hilo they are myopic. India V Pakistani iligawiwa kwa misingi hiyo ya dini. Leo India ambayo haina waislamu wengi imeendelea sana kuliko Pakistani yenye waislamu wengi. The same thing applies to Israel V Palestine.

There is a real problem in islam teaching no wonder hao mabilionnaire wa midlle east wanaweza kutoa mabilioni ya pesa kwaajili ya watu kujilipua, kujenga misikiti na madrassa lakni hawawezi kutoa pesa kujenga shule na hospitali halafu wanalalamikia ni kosa ka wakiristu.

Kwa mtindo huu mtaendelea kubaki nyuma tu The writing is already on the wall!
 
Sasa kaka kama dini ya kiislamu haiendeshwi kwa katiba na inaendeshwa kwa mafunzo ya kitabu kitukufu Quraan, kwa nini waslamu wanaishupalia serikari ianzishe mahakama ya KADHI? badala ya waislamu kuanzisha wenyewe kwa utaratibu ulio ainishwa kwenye Quraan tukufu? kwanini waislamu wanaishupalia serikari imtambue kadhi mkuu kikatiba? yaani nyie watu mnanichekesha sana................haha haha!

Sasa JK aneyehujumiwa na maaskofu nae anakubali BAKWATA iliyowekwa na wakatoliki na serikari kuendelea kuhujumu uislamu, inamaana JK, GHALIB BILAL, MAKAMBA, NAHODHA, MKULO, CHANDE, MWEMA, MWINYI MKUBWA NA MDOGO,sheni, id seif wote hawa ni waislamu wenye mamlaka na nafasi kubwa za kutetea uislamu na mamlaka ya kuondoa hizo hujuma na hizo conspiracy sasa kwanini wasisaidie uislamu na kutumia mamlaka yao kuondoa hizo hujuma kwa waislamu?

Labda nikuulize swali ili niweze kujibu kwa ufasaha swali lako, ukisikia neno "mahakama ya kadhi" unaelewa nini?
 
Na hilo ndo lilowafanya nyie na maaskofu wenu muichukie ccm.Mlizoea kukutana na viongozi wa juu makanisanai na kazi nyingi mlipeana hukohuko lakini hawa hapa hamwapati kanisani wanapatikana ikulu.Na siku zote viongozi waislamu hujenga nchi wakati wenzao wakristu wakijenga ukristu.

so ikulu ni msikiti siku hizi? akili zako matope kabisa
 
No wonder this is why my wise Islamic father suggested I opt to be a Christian following my mother's religion. You people are problematic. This makes me to suggest that there are highly educated Muslims who wish they would be Christians.

Ashakum si matusi unavyowachukulia waislam na mama yetu angewachukulia hivyo hivyo wewe usingezaliwa.
 
I hope waaskofu hawatajibu. Aliyelala usimwamshe la sivyo utalala wewe!
 
Kalamazoo,

Nasikia harufu ya Mujahaddin na Answar suni.


Naomba uwe mpole na fahamu zikirudie. Naona tatizo hapa ni Madras. Napenda nizijibu hoja zako tatu kama ifuatavyo:
  1. Serikali ya CCM chini ya Rais Kikwete Mwuislamu hata siku moja haijakasimu mamlaka au madaraka ya kuongoza nchi kwa maaskofu. Huo ni uzushi,uongo na unafiki uliopindukia mipaka. Hivi kwa akili yako ya MADRAS unaweza kutushawishi kuwa Serikali ya CCM inaongozwa na MAASKOFU kweli??? Mpaka sasa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya Katiba na Sheria japo zinakiukwa na haohao tuliowapa dhamana ya kutuongoza. Hapa nina maana ya ukiukwaji wa Katiba na Sheria kwa kuwagandamiza wananchi katika kuwanyima DEMOKRASIA YA KWELI NA UHURU WA KUTOA MAWAZO NA KUSIKILIZWA. Vilevile katiba inakiukwa kwa serikali kushindwa kuwaletea Watanzania maendeleo. Hakuna mahali popote kwenye Katiba na sheria za nchi hii ambapo kuna KIFUNGU KINACHOELEKEZA VIONGOZI WATEKELEZA MAELEKEZO YA MAASKOFU.Hakuna. Kilichopo ni kuwa SERIKALI YA TANZANIA HAINA DINI NA HIVO KILA MTU ANAO UHURU WA KUABUDU DINI ANAYOTAKA ILMRADI HAVUNJI SHERIA ZA NCHI. Maaskofu wanachofanya ni KUTOA MAONI YAO KAMA SEHEMU YA RAIA WA NCHI HII PALE WANAPOONA SERIKALI YA CCM INAPOKWENDA ALIJOJO. HATA KAMA INGELIKUWA YA CUF,CDM,UDP,NCCR-MAGEUZI n.k.maaskofu wangeendelea kukosoa upuuzi. Maaskofu hawawezi kunyamaza wakti KATIBA NA SHERIA ZINAPOVUNJWA NA WENYE UCHU WA MADARAKA AU MAFISADI WALIOKUBUHU. Kesi ya Uchaguzi wa meya ARUSHA IKO WAZI KABISA CCM WALIKIUKA TARATIBU NA HATA BAADHI YA VIONGOZI WENYE BUSARA NDANI YA CCM WALIKEMEA HILO JAMBO. KUNA SWALA LA DOWANS KULIPWA MABILIONI YA PESA,FEDHA YA WALIPA KODI WA NCHI HII,UNATEGEMEA MAASKOFU WANYAMAZE TU KAMA NYIE MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI??WATU MNAKAA KUTOA TAMKO LA KIPUUZI BADALA YA KUTOA TAMKO LINALOHUSU MAMBO YA MSINGI??K.m. KATIBA MPYA,DOWANS,UCHAGUZI FEKI WA MEYA ARUSHA,n.k????
  2. Hili la OIC lilikuwa ni swala la KIKATIBA. Kwamba Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kama nchi kamili(Sovereign State) kwa hiyo ikaonekana kuwa Zanzibar wanavunja Katiba. Vilevile kulikuwa na HARUFU YA UDINI KATIKA OIC. Kwamba misaada ya kutoka OIC ina masharti na sharti mojawapo ni lazima nchi iwe ya KIISLAMU. Tanzania Bara au Visiwani(Kwa maana ya Zenj) hakuna Serikali inayoongozwa kidini, whether Kiislamu au Kikristo.
  3. Mahakama ya Kadhi najua Waislamu mnaitaka sana. Wakti watu MAKINI WANADAI KATIBA MPYA nyie MNADAI MAHAKAMA YA KADHI!Sasa sijui kwa akili yenu WAISLAMU, KIPI MHIMU,KATIBA MPYA AU MAKAMA YA KADHI???Uchaguzi wa mwaka 2005 CCM waliingiza kwenye ILANI yao ya Uchaguzi ili kuweza kupata KURA ZA WAISLAMU. Uchaguzi wa mwaka jana 2010 hili halikuwemo kwenye ILANI YA CCM,lakini juzi wakti wa sherehe za IDD EL HAJ, Makamu wa Rais Dr. Mohamed Gharibu Bilali aliwaahidi WAISLAMU KUWA MUWE WATULIVU KWA KUWA SWALA LENU LA MAHAKAMA YA KADHI LINASHUGHULIKIWA NA HIVI KARIBUNI MTAPEWA MNACHOTAKA. SIJASIKIA ASKOFU YEYOTE AKIPINGA hiyo kauli ya Makamu wa Rais.Sasa sijui unacholalamika ni nini hasa. Tunajua hiyo MAHAKAMA YA KADHI HAINA TIJA YOYOTE ZAIDI YA KUJA KUCHOCHEA MOGOGORO TU NDANI YA JAMII. Huwezi kuwa na mifumo ya Mahakama za aina 2 kwa wakti mmoja. MAHAKAMA YA SERIKALI na MAHAKAMA YA KADHI. Huwa nawauliza waislamu kwa nia njema tu,kuwa ukikutwa unaiba MAHAKAMA YA KADHI INASEMA UKATWE MKONO,ukikutwa unazini,UTACHIMBIWA SHIMO NA UTAPIGWA MAWE MPAKA UFE. Sasa je, baada ya KUKATWA MKONO utapelekwa tena Mahakama ya Serikali? Huyu aliyefanya Uzinzi akapigwa mawe na kufa,Mahakama ya Serikali itasema nini au itaamua nini?? Huku itakuwa ni kuchanganya mambo. Lakini mimi nasema wawape hizo Mahakama halafu tuone mtafanya nini!!
Nina wasiwasi kama wewe unaishi tz hii hii. Awamu iliyopita Waziri Membe alisema Bungeni kuwa serikali ya tz imefanya utafiti na kugundua kuwa tz kujiunga na OIC hakuna tatizo lolote.Siku hiyo hiyo maaskofu uliwasikia walivyomkalia kiguu kausha hadi Pengo akamuita ofisini kwake na kumuonya.Tokea hapo serikali ikagwaya hatujasikia tena suala hilo.Halfu sio kweli kuwa mojawapo ya masharti ya kujiunga na OIC ni lazima mkuu wa nchi awe Muislamu,huo ni uongo wenu mnaoutunga wenyewe.Hapa jirani tu Uganda ni mwanchama wa OIC , je Rais wake ni muislam?
Ama kuhusu mahakama ya kadhi we unachemsha.Mahkama ya kadhi ilikuwepo kwenye katiba ya tz ilifutwa na Nyerere,kwani unadhani ilifanyaje kazi wakati ule? kuna mtu uliona anakatwa mkono au kupigwa mawe? Tusiende mbali , Zanzibar wana mahakama ya kadhi,umeona nini cha ajabu kimetokea?Ugand,Afrika Kusini,hata Kenya zipo mahakama za kadhi.Tena Kenya japo ilikuwepo katka katiba ya zamani bado katika katiba mpya wameiweka.Maaskofu walipinga na wakahamasisha watu kupiga katiba mpya lakini kwa uwezo wa Mungu walishindwa vibaya.Tena ktk nchi hizo wala waislam sio wengi,mi sijui hapa wenzetu wakristu mnaogopa nini? manaogopa kivuli chenu?
 
yaaaaaani ndugu yangu upo sawa kabisa,sisi ni wamoja,na ukiona mtu anaanza kujitenga na kusema mm ni hivi huyu ni vile,hatufiki hata siku moja,ila kikubwa,tusibabaishwe na chochote,wanaanzisha jipya ili lakale lenye msingi tulisahau,jamani;dowansi,richi mondi,mauwaji ndan ya jiji la Arusha,tusiyasahau,wamesha tuona watanzania ni wasahaulifu,loooooooooo hamtupati mafisadiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Labda nikuulize swali ili niweze kujibu kwa ufasaha swali lako, ukisikia neno "mahakama ya kadhi" unaelewa nini?

Mahakama ya kadhi ni chombo au baraza la kutoa haki kwa mujibu wa dini ya kislamu au kwa mujibu wa sheria za kislamu zilizoinishwa na Quraani tukufu! sasa inakuwaje hili swala linalotakiwa lianzishwe kwa mujibu wa Quraan, kwa nini tunaishinikiza serikari ianzishe na iitambue kikatiba?
 
That is why am saying some Muslim are more like Christians it is just that they were not given chance to choose like me.
 
All said, albeit in few lines. Hivi ni maeneo gani yenye Waislamu wengi, Bagamoyo, Mafia au Zanzibar? Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, it's a loughing stock from eminent presons in disguise!!!!

Waliowaletea hizi dini wenyewe wako kimya wanawaza maendeleo,nyinyi mnawaza kubaguana, kama sio akili mbovu ni nini? Miafirika bwana, tuko hovyo!!!!
 
Ewe rais jk uliechakachua kura zetu,watie kolokoloni hawa wapuuzi wanaokaa na kuandika ujinga. Hawa wanaonekana walimu wazuri,kwa nini wasiende kufundisha wanao wakajua dhuluma na jinsi ya kuikemea wanaishia kumili gazeti na redio ili walisumbue taifa? Wanamkataa nyerere baadae wanamnukuu kama dira yao,ivi wanajielewa kweli?wasije wakawa ni freemasons waliokuja kutugawa Tanzania. Huku mtaani,mh.jk nakuhakikishia kuwa sie tumeshikama ,si muislam wala mkiristo anayefikiria ujinga huo wa waraka! Napenda kukuambia kuwa sie bado kwa ujumla tunatafuta jinsi ya kukunyoosha kwa kukwapua kura zetu,kwa kujilipa IPTL,DOWANS,na EPA. Wala ilo la udini ni lako na kikundi kiduchu waliosikia ukitangaza udini bungeni. Mkuu segerea haijajaa usiogope kuwatunza wachochezi wote kama mzee Mwinyi alivofanya. Siwezi kujibu ujinga wa waraka wao,mi nakushauri wewe tu na watanzania wote wanadai ivo ispokuwa magaidi wachache waliziingilia dini zetu. Sisi waislam na wakristo milele tutaikosoa serikali ata ikiongoza na Osama ibn Laden,ata iongozwe na shetani,ata iongoze na makanisa,ata iongozwe na misikiti. Kamwe hatutaacha rasilimali zetu zichezewe!
 
Asante Bramo kwa uchambuzi na ulinganifu mzuri.

CCM kwa hila na umafia hakuna mfano...of coz ndio wakomunist walivyo. Kwa gharama yoyote wako tayari kung'ang'ania vyeo vyao.
Ndio maana narudia na kushajihisha na kuunga mkono kila juhudi binafsi au jumla ya kuhakiksha Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2015. Watawala wote, familia zao, ndugu zao, raiki zao, na kila mtu awe raia au mgeni aliyehusika kuhujumu na kupora uchumi wa nchi anafikishwa mbele ya sheria na kupata hukumu stahili na ya haki (sio ya Chenge kulipa laki 7 mbona Deus Mallya wamemfunga miaka kadhaa na hakuwa na option ya faini).

Determination, focus, passion, sincerety and sacrifice will see us thru.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom