Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Moshi moshi moshi wapi kama moshi Tz hii? The place I had my beautifully childhood memories
Moshi my home town
Btw mie mwera toka lindi huko ila moshi kumenipa fursa ya elimu,dini,huduma za afya bora, akili za kutafuta pesa
Sisi sote ni watz that's y Naamini Mungu aliruhusu nizaliwe,nikue na nisome moshi for a purpose.Am a proud northener.Namwona mjomba wangu majaliwa anafanya vizuri,very polite,very humble na ndivyo tulivyo wakusini.Home is the best ila siwezi sahau Moshi. Wadau tukutane decemba tule mbusi na mbege.
 
Siyo ile ambayo kwa chini sasa hivi wamefungua frames wamepangisha? Nadhani ya yule mzee Mwacha kama sikosei. Mwacha mwenye undugu na yule baba yao kina Ben Mwacha waliowahi kuwa na ile petrol station ambayo sasa hivi kuna ule mgahawa maarufu wa Mekus Bistro.
Mwacha Aliphonce
 
Kuna jamaa rasta yule alikuwa na sehemu ya kuchongea vinyago karibu na bureau de change ya Laswai pale double road. Alikuwa mshabiki mkubwa wa NCCR Mageuzi na Mrema Enzi hizo!Jamaa alipagawa hadi akawa anavaa magunia. Watu wakawa wanamuona ni chizi! Kumbe siyo, sasa hivi ni mmojawapo wa matajir hapo Moshi. Maisha hayana formula.Ila ukiwa na akili chini ya ccm utapata taabu sana. Mfano jamaa asingeweza kuprove tofauti, watu wngeishia kusema mvuta bangi tu yule! Kumbe ni mtu genius aliyekuwa kachoshwa na ccm.

Ras ommy.
 
Mawalla kijana wake anaendeleza vyema legacy,kwan ni advocate
Halafu kijana mstaarabu sana ukimwona huwez dhania anasimamia mamilion ya shillingi
Vijana wake wengine wanajihusisha na biashara Za Mpesa....Arusha Mjini Wakala mkuu wa Mpesa vijana wake...pale unapata cash au float ya kiwango chochote..kingine kikubwa ni waaminifu sanaa
 
Hahaaa jamani hivi makando bar iko bado?? Very profersional mbege toka kibosho..yenye msesewe kidogo[emoji2] [emoji2]
Ha ha ha manina
Asiee kitu cha zaman sana
Unatumwa jumapil na gelen lako la 5lts
Saa 4 mbege imeingia
Unatakiwa uwah kabla haijawa kali au chungu
 
kwa mama kibello, Changbay, Onyonya Ukunonze kiboroloni, Miami Bar pale kitandu kwa hamadi , Uptown shanty town .... dah
 
Back
Top Bottom