Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Alikuwa anapenda watoto wazuri, wakati huo tunasoma tuliambiwa akikupenda huwezi kumkataa. Ilibidi wote tumjue na ukumuona unaanza kumuomba Mungu akuepushe nae.
Uko correct, kuna wakati mademu walikuwa wakimuogopa kumkatizia maana akimtaka demu lazima apite naye,wewe inaonekana ulikuwa boarding enzi hizo?🙂
 
Umechanganya na uongo mwingi. Hajawahi kuwa mwanajeshi, mwanawe Jamal Sambeke ndo mwnajeshi.

An yes, ni Babu Sambeke vilevile, ila wengine walikuwa wakimuita hivyo "Bob Sambeke". Kumbuka "Bob" ni jina linalotokana na Robert. Yeye alikuwa akiitwa Ernest Mallya.
Na dada yake Suzan alikua NHC kama Meneja Mawasiliano, nafikiri kwa ajili ya kuolewa siku hizi anajulikana kama Suzan Omari
 
Hivi kwanini Wachaga enzi hizo walipenda kuziita bar zao majina ya Stereo,ukikuta baa imeandikwa sijui sterio jua ya Mchaga,Kinondoni Stereo

Stereo is a sound that is directed through two or more speakers, so that it seems to surround the listener and to come from more than one source; stereophonic sound.

So it was all about music and entertainment. Ni akili ya biashara iliyoendana na wakati huo.
 
Hapana alipoteza familia nzima kwenye ajali iliyomuhusisha na yeye mwenyewe. Ilikua almanusura nayeye arudishe namba

Alikaa muda mrefu KCMC akipata matibabu wakati huo hoteli yake ya New Castle ikiwa mpyaa

Kwahiyo siamini kama ajali ile ilikua ni makafara ya kishirikina
Hao ni ile familia ya RIMOI! Familia yote iliteketea kwenye ile ajali.

BTW, mtu anayeshangaa ajali bongo, mimi ndo namshangaa! ni rahisi sana kupata ajali za hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom