Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,274
Dada labda hawa watu ni watani zako.Hahaha that's y
Weupe sana hao kwangu
Nimewaguruga matokeo ya mok kanda na kimkoa kama sina akil nzuri
Jeuri waipele lyamungo au old moshi
Hahahahah
Pia nikushauri usipende kumbeza usiyemjua, usidanganywe na posts za jf.
Humu waweza bishana na Waziri wako, boss wako na hata rafiki yako kipenzi lkn kwa Id fake na usimtambue.
Nijuavyo mimi kwa utafiti wangu wa uhakika;
Sky Eclat ni Mtanga lkn mwenye maisha yake na kazi yake tena nje ya Mipaka, hiyo pekee inatosha kuonyesha ni mpambanaji, nachelea kukuunga mkono kuwa atakuwa mweupe kichwani.
Kuna mdau mmetoka kuvutana hapo juu, nijuavyo mimi naye ana Elimu yake sio haba, japo ni Mtanga kweli na kujirusha huenda kweli anapenda kama alivyokiri mwenyewe.
Huwa napenda tuheshimiane wote.
IKIWEZEKANA tuepuke maneno ya kuudhi.
huu ni mtazamo wangu sikujui, siwajui lkn wote ni binadamu Wtz pia