Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Ndega zinazouzwa na serikali cesna kwa laki 5 ama unasema ndege gani?


Age matter embu watoe hao Mfuruki na Mkono, pia Month na Rostam sio wa Dar, sasa hao walobaki tuambie wananini na wanamiliki ndege ngapi. Usihusishe mali zinazotajwa wenyewe wanazikana maana zile wameingia ubia na watu. Kumbuka matajiri wa Arusha zile ni zao na wala hawamung'unyi wengine wamefunga mitaa kwa majina yao
 
freeman ni wa dar? mkono ni wa dar? weka list ya wazaramo hapo tuone

umesahau kuwa Dar ni kama marekani
marekani wahayudi, wajerumani, waitaliano ndio matajiri kule na wameshakuwa american

same na dar mtu alikuwapo dar since miaka ya 70's tumweke kundi gani ndio maana sijawaweka wale waliouja dar chuo kikuu
 
Ndege ama sraper hizo ambazo zilipigwa mnada na atc kwa mill 10 watanzania fungukeni jamani.

mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.
 
mwanza ndo kila kitu,,kuna mtu anaitwa kitano ana meli kama saba na meli kubwa zaidi lake victoria yote ni yake,it worthy billions of money,kuna kibopa anaitwa gachuma ana nyanza bottling inayozalisha coca cola drinks,manlax na uchafu mwingi na kuna yule mama wa vicfish,mama zee,,vicfish ndo big export wa fish products in l.victoria,kuku poa ndo usiseme,leave alone ndo kapendezesha round abouts za rock cty na ku take care,other buildings in kenya and investments,,,,hao wakina sambeke ni kama lameck airo,songoro na hawa songoro wanamilik helicopters za kutosha,flash cars,na other stuff wanaoishi mza wanajua,lema na mimi mwenyewe pedeshee wa kikurya,,


wakurya watakuja kusema kuwa gachuma ni wa musoma, same na lameck airo

hivi vicky fish nilijua ni mhindi

ana jumba lake capri point la maana

hivi lema wa mwanza yupo bado

na katoto chake nancy je kapo?
 
mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.


michael ngeleku kampuni aliyoianzisha unajua ina ndege ngapi na ni sh ngapi??



angalia tofauti

Precision+Air3.jpg






vs


picha4.JPG
 
Hao wote ongezea na wengine kumi, kwa MATHIAS ni watoto wadogo sana...!

kwenye hiyo list awepo nani [h=2]NARAYAN RATHI[/h]

najua humjui ila ndio c.e.o wa chemi cotex

whitedent
chemi cola
bodyline
na mataka taka mengine kibao
ukichanganya na ma
sweet heart
 
uliyeleta hii hoja sizan kama unawajua matajiri apo mwenye pesa angalau ni mfuruku na mkono....uliowataja wana pesa za kubadlisha mboga,kununua credt na uhakika wa kunywa bia sasa kweli rz,shgongo,masha,wengne ndio nawaskia majina et sjui ray waregency.....wote uliowataja kwa pamoja ilo kundi lote pesa zao zote walizonazo ni pesa anazoingza FRED LOWASA kwa wiki....apo ujamuweka baba yake mze lowasa...pesa walizonazo wote hao ukiweka na kna mkono ni robo ya pesa alizonazo mathias Manga, hujamtaja, akna sunda waweke pemben kabsa, alafu hao uliowataja wenye pesa za mboga si watu wa dar masha, shgongo= MWANZA, MKONO MARA, wengne mali ulizotaja sjui hydary plaza watu wa arusha wamewaweka kufcha ownershp status...upo soon nitakupa list ya ukwas wa apa arusha bado ujaweka moshi naona ata mengi hukumuweka..............bakhresa ni mzanzbar,,,,rostam tabora...mosha moshi ila bado hana ela ya maana...etc
 
Utajiri ni nini? kwa faida ya nani?

Kama una uwezo wa kulipa chumbachako kwa Mtogele, una uwezo wa kununua kopo la mkaa bila kumsumbua jirani, fungu la dagaa na unga keshi si mkopo, nauli ya kwenda kazini ingawa nauli iko juu, umetilia kamtumba kako kasafiii. Mshukuru Mungu, jione tajiri, pigania kupata zaidi na zaidi kwa maslahi yako, kuufikiria na kuutathmini utajiri wa wengine haitakusaidia.
 
Wana JF kuna watu huko mikoani wanapesa ni balaa, mfano watu wa shinyanga,mwanza wanapesa ambazo ni watu wachache dar wanaweza kuwa nazo,yaani kila siku wana deposit tuu benki hawajui ku draw!!
 
hahahahaha,,,,,,hata hao wa arusha na dar ni wa mikoa mingine;xi wakurya tunakula deals mza,,,
vicfish ni ya mzungu anaitwa john ndio amemuo yule mama wa kihindi,zee na kumuachia aiendeshe so watu wengi hufikiri ni ya muhindi hata watoto wake ni wazungu,wana toto lao moja la mwisho linatutesa sana huku na hammer h2 yake,na bado wanaishi pale capri point,
lema still yupo rock city,siku hizi wanakula hela zetu kwa kutumia villa park yao,,daymmn last time i saw nancy ilikuwa around early 2000 alikuwa chuo usa,siku hizi wana katoto kao ka yule lema mkubwa kanaitwa nectar ni mwisho,mtoto kama malaika vile,,,,
welcome mza tule bata na kutafuta mbumba shida uchawi mwingi huku,,,


kina mzee nyala je? wapo? hivi nani ndio kaijenga hilo jengo ambalo jb bellmonte wapo now?
 
Wana JF kuna watu huko mikoani wanapesa ni balaa, mfano watu wa shinyanga,mwanza wanapesa ambazo ni watu wachache dar wanaweza kuwa nazo,yaani kila siku wana deposit tuu benki hawajui ku draw!!

shinyanga?? dude you are not serious hivi PAUL NG'WANI yupo?
 
Hao matajiri?? Au wanasiasa..utawajua matajiri wote Tanzania??..jifunze kitu..
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa


Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

Ni UJINGA kutoa MBWEMBWE zote hizo kwa MALI ZA WATU WENGINE wala wewe HAZIKUHUSU. TAFUTA ZAKO NAWE uwemo kwenye list!
 
Back
Top Bottom