Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Tuangalie video ya tunduma kwenye thread ya msaliti mcubic
Mcubic hapo hatii mguu hata kwa meno.
Tuangalie video ya tunduma kwenye thread ya msaliti mcubic
Huyu kijana ni ana shida sana
Zitto wabunge waupinzani ni wezi maaana watapokea kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200.
Swali: unasema pesa hizo ni zawizi je wewe utapokea? Maana katibu wa bunge alisema unahaki ya kupokea.
Zitto: Nitapokea lakini ntapeleka kusaidia maalbino.
Watu: huuuuhuuuhuuu unauhakika gani hao wabunge wengine watatumia wapi
Zitto: kwa jazba anajibu "waulizeni wao
Watu: buuubuuubuuuubuuuu
Swali la pili
Wewe ulivyo timuliwa kwenye chama chako cha zamani ndani ya siku saba ukahamia chama kingine na kubadirisha katiba kisha kujipatia cheo kikubwa.hauoni kama wewe ni mroho wa madaraka? Alfu mbona unataja vyeo vya wenzio wewe hautaji chako?
Zitto: Zitto hili swali atalijibu mwenyekii
Magwila: mfumo wetu haupo Tanzania tumeuchukua Kenya, kunakua na kiongozi wa chama na mwenye kiti
Watu: weweeee taja cheo chake, wewe na yeye nani mkubwa
Magwira: anaona aibu anacheka, ebu tuangalieni mimi na zitto nani mkubwa
Watu: wewe jibu swaliii
Zitto ana mnyan'ganya mic magwila kisha anajibu kwa jazba sisi hatugawani vyeo tunagawana majukumu
Watu: buuubuuubuuuuuuu
Swali la tatu
Kama ambavyo dr slaa alitaja list of shame vipi na wewe unaujasiri wa kutaja majina ya walio ficha fedha uswisi ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi na tunaweza kuwachagua hau walio ficha bila kujua
Zitto.kwani Slaa alivyo wataja kilibadirika nini majina ntayapelekwa bungeni
Watu: huuuhuuuhuuuhuu
Habibu: anamnyan'ganya mic muuliza swali.
Watu: mwachieeeee
Habibu wanao taka kujiunga na chama waje wajiunge
Watu: mnazinguaaaaaaa
Mytake: Zitto na ACT yake wajipange sana maana una watanzania ni waelewa kuliko anavyodhani.
Hajiulizi mpaka sasa kwanini hakuna mwanachadema anayehama chama na kujiunga nae.
Afadhali ya wewe umesema ukweli wako..

Unatia huruma.....
mcubic ni analytical thinker. Hafuati mkumbo

Narudia tena sina chama,hyo video aliyoiweka iko wapi?Aaaah,wewe si ulikuwa unataka uwekewe video ya tukio nililo kuwa nalielezea? Baada ya kuiona video unaruka mita mia?
Wapi nimesema ya Uongo ama nimesema maswali yenyewe yaliongoza kutokea kwa majibu hayo maana hakwenda kwa kheri bali shari na ajabu nguvu kubwa mnayotumia leo. Mbona viongozi wenu wameisha nyamaza nyie bado mnashikilia Zitto hadi uchaguzi uje ili dhamira yenu itimie maana kuna kundi kubwa sana walopewa mshiko kuisambaratisha Chadema.Mzee Mkandara amesema hii stori ya uwongo
Atathibitisha vipi kwamba mali zitakazotangazwa na fisadi Lowassa zitakuwa za kweli!? Msaliti huyu anaweweseka sana.
Swali la pili
Wewe ulivyo timuliwa kwenye chama chako cha zamani ndani ya siku saba ukahamia chama kingine na kubadirisha katiba kisha kujipatia cheo kikubwa.hauoni kama wewe ni mroho wa madaraka? Alfu mbona unataja vyeo vya wenzio wewe hautaji chako?
Zitto: Zitto hili swali atalijibu mwenyekii
Magwila: mfumo wetu haupo Tanzania tumeuchukua Kenya, kunakua na kiongozi wa chama na mwenye kiti
Watu: weweeee taja cheo chake, wewe na yeye nani mkubwa
Magwira: anaona aibu anacheka, ebu tuangalieni mimi na zitto nani mkubwa
Watu: wewe jibu swaliii
Zitto ana mnyan'ganya mic magwila kisha anajibu kwa jazba sisi hatugawani vyeo tunagawana majukumu
Watu: buuubuuubuuuuuuu
Swali la tatu
Kama ambavyo dr slaa alitaja list of shame vipi na wewe unaujasiri wa kutaja majina ya walio ficha fedha uswisi ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi na tunaweza kuwachagua hau walio ficha bila kujua
Zitto.kwani Slaa alivyo wataja kilibadirika nini majina ntayapelekwa bungeni
Watu: huuuhuuuhuuuhuu
Habibu: anamnyan'ganya mic muuliza swali.
Watu: mwachieeeee
Habibu wanao taka kujiunga na chama waje wajiunge
Watu: mnazinguaaaaaaa
Mytake: Zitto na ACT yake wajipange sana maana una watanzania ni waelewa kuliko anavyodhani.
Hajiulizi mpaka sasa kwanini hakuna mwanachadema anayehama chama na kujiunga nae.
Sasa unacho bisha ni kitu gani? Hayo maswali kayaweka nawe umeyaona au unataka kutwambia kuwa zzk ndio mwenye elimu pekee yake hapa tanzania? Inawezekana huyo mleta uzi ana elimu kubwa kuliko huyo zzk wako,wacha kutawaliwa na mihemuko ya itikadi.