Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Mzee Mkandara, Tundu Antipas Mughwai Lissu alitamka hivi...."TUMESHAMALIZANA NA ZITTO" Ile ni kauli thabit, kutoka kwa mtu thabit, na kiongozi wa chama thabit. Wanachadema wote kwa ujumla wetu hatuna time na Zitto. Hata wewe unajua mzee wangu
Mkuu nachokijua miye ni uhalisia. Ukinisoma vizuri utakuta matamshi yangu sii ya Ushabiki bali Uhalisia ambao watu kama nyie hamuwezi kukubaliana nami kwa sababu hamtaki kukubali makosa yenu ila siku zote hutafutwa mchawi..

Zitto ni mwiba unyayoni hamuwezi kumsahau kwa sababu alipokaa itakuwa donda ndugu na mtashindwa hata kutembea. nachopingana nanyi toka mwanzo ni maamuzi yenu wenyewe wakati ambao hamkutakiwa kabisa kushiriki ktk siasa za kujimaliza. Mimi najua chanzo cha yote haya na hivyo kama mngekuwa na weredi japo kidogo wa njama zilzosukwa, CDM leo ingekuwa confirmed IKULU wanaingia bila msaada wa Lipumba wala UKAWA.

Lakini kwa sababu hawa unaowaema wapo pale kwa maslahi yao, wengine vibaraka walokuja kwa kazi maalum sitoshangaa ukisema nawe kuwa tumeisha malizana na Zitto kwa sababu swala haikuwa Zitto bali kuahirisha safari ya CDM magogoni.. Na sasa hivi sura halisi za wasaliti zinajitokeza taratibu kwa majigambo na vifua mbele..Wakili ni mtetezi wa watu anaweza tetea hata jambazi, ndivyo sheria inataka..
 
Swali:Zitto ni lini utaoa kwani wewe ni kiongozi mkubwa wa kisiasa na pia mtu maarufu kwa muda mrefu sasa.
Zitto:Mie Bado nipo nipo kwanza , kama alivyo babu slaa.

Swali:Kutokana na kuishi kisela, je una jifariji vipi ikizingatiwa hata demu huna.
Zitto: Kwani viganja na "komoa" zimeisha...
Watu: Ahaaaa......

Kwa maswali haya kweli ZZK ni roho ya paka, yaani hajarusha mic, roho saba anatisha.
 
Siyo 45%sema 70%

No! hata kama UKAWA/CCM wakichukua nchi, kwa faida ya nchi sio busara watawala kuwa na 70% manake watakuwa sawa tu na CCM ya sasa, watashindwa badilisha mfumo mbaya wa uliowekwa na CCM kwa sbb utakuwa unawafaidisha wao (watawala) by that time! Ndo maana napenda kuona upinzani unakuwa na japo 40% ya wabunge and 50% ya madiwani!

Wote wanakuwa wanajua anytime upepo ukibadilika wanatoka madarakan na upinzani utachukua nchi, by that way watawatumikia zaidi wananchi badala ya kufanya maigizo yao bungeni na ktk halmashauri
 
No! hata kama CCM UKAWA wakichukua nchi, kwa faida ya nchi sio busara wao kuwa na 70% manake watakuwa sawa tu na CCM, watashindwa badilisha mfumo mbaya wa CCM kwa sbb utakuwa unawafaidisha wao by that time! Ndo maana napenda kuona upinzani unakuwa na japo 40% ya wabunge and 50% ya madiwani!

Wote wanakuwa wanajua anytime upepo ukibadilika wanatoka madarakan na upinzani utachukua nchi, by that way watawatumikia zaidi wananchi badala ya kufanya maigizo yao bungeni na ktk halmashauri

Niwazo zuri mkuu,wala siwezi kukupinga ni wazo constructive kwa mustakabali wa siasa zetu tanzania.
 
Maana ya thread ipo kwenye sentensi ya MWISHO kabisa..... Na mimi nakuuliza swali> kwani hao wanachama wa chadema ndio kina nani hapa Tz mpaka wajiunge na ACT? je kujinga kwao ndo kukubalika kwa ACT? je malengo ya ACT ni kupata wanachama wa chadema peke yake? ACT kina mda gani tokea kianzishwe ukilinganisha na CHADEMA? je kipimo cha ACT kufinikiwa au kufeli ni kupata wanachama CHADEMA? kwanini una haraka,pupa,jazba,hamasa na mshawasha juu ya maendeleo ya ACT? Wao kushindwa kupata wanachama CHADEMA wewe inakuhusu nini ilhali haupo ndani ya ACT? Je wanachama ambao ACT inao mpaka sasa unajua walikua chama gani?Tupe ushahidi kua hawakua wanachama wa CHADEMA. Nipe sababu au hoja yenye logic ya kwanini nisikuite KIBARAKA WA CHADEMA. na kama upo sawa na unachi kisema na hoja yako ina mashiko,Naomba utaje mazuri ya ZITTO tokea amenza siasa hapa nchini. Kwanini unampa umaarufu Zitto na ACT? au hujui ulifanyalo? Mwisho kabisa weka CV yako halafu ilinganishwe na ya Zitto Kabwe,ili upate uhalali wa kumkosoa huyu Tycoon na Hayatulla wa siasa za Bongo.

Kumuangusha Zitto ni sawa na kujaza pakacha kwa chujio.
 
Yaani mpaka inatia kinyaa. Who is Zitto in dis country hadi kila uchwao ionekane hamna watu mbadala yake? Alikuwepo Firaun lakini nae ilifika kikomo chake. Alikuwapo Mao lakini still China ipo hadi leo. Hivyo inawezekana mtu akawa na ushawishi mkubwa kwa jamii lakini kutokuwepo kwake hakuwez kuwa ni mwisho wa mambo ya kitaasisi kuendelea!
 
Back
Top Bottom