Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Dah tabu kweli kweli...
Taabu unaiona wewe maana nyie wenyewe mnasema kwa nini Zitto aliondoka CDM hakufukuzwa ila alijifukuza mwenyewe alipoweka madai mahakamani. Kisha wenyewe tena mnageuza maneno mnasema oooh Zitto alifukuzwa! ni msaliti.. kipi ni kipi! na kuna fahari gani kumfukuza mtu ambaye leo anawapeni shida!.
 
CHADEMA + CCM= MAFISADI WAKUU
kwa anayepinga aseme ni chama gani kati ya hivi nilivyotaja kimepinga KIINUA MDOMO CHA MILION 200? TUTAKUTANA OKTOBA WEZI WAKUBWA WA KODI ZA WATANZANIA
 
Zzk hakuna mtu anampa shida,ila kwa kuwa amekubali kuingia kwenye uringo wa siasa akisimama jukwaani,na kutoa nafasi kwa wauliza maswali lazima atapigwa maswali bila kujali kama yeye ni zzk,leo akipigwa maswali ya aina hiyo anataka kupigana!
 
Zitto naye kasema atapokea baba, na kuwapa Albino. Huhuhuhuhu!
 
CHADEMA + CCM= MAFISADI WAKUU
kwa anayepinga aseme ni chama gani kati ya hivi nilivyotaja kimepinga KIINUA MDOMO CHA MILION 200? TUTAKUTANA OKTOBA WEZI WAKUBWA WA KODI ZA WATANZANIA

Wenzio cdm wanaingia kwenye uchaguzi wa october wakitaka urais,wewe unaingia ukitaka udiwani
 
Zzk hakuna mtu anampa shida,ila kwa kuwa amekubali kuingia kwenye uringo wa siasa akisimama jukwaani,na kutoa nafasi kwa wauliza maswali lazima atapigwa maswali bila kujali kama yeye ni zzk,leo akipigwa maswali ya aina hiyo anataka kupigana!
nasema umeuliza maswali ukitegemea majibu uloyapanga na hayakuja... Unamrfananisha vipi Zitto na Dr.Slaa halafu mtu akujibu mbona Slaa likimbia mdahalo kama kweli ilikuwa kuna ushindani? Mnataka ushindani hata mahala pasipo hitajika na kila mnavyomnanga Zitto ndivyo atakavyo wamalizeni siku ya siku msivyo tumia akili wala mahesabu kiasi kwamba naanza kuamini pengine nyie ndio mlotumwa na CCM.
 
Kama tunaamini dr slaa amekimbia mdahalo utakuwa umeamua kuamini hivyo kwani hulazimishwi kuamini,ila kwa taarifa yako dr slaa siyo mtu wa kukimbia mdahalo na siyo mtu wa kufuata mkumbo au mtu wa kitwa kwa miruzi
 
Nimezungumza maneno yako mwenyewe ulotaka kulinganisha watu. Wewe unauliza maswali ambayo hayajengi bali kama umetumwa vile ulitegemea akujibu ulivyofikiria.

Hili ndilo tatizo lenu nyie mlotumwa na CCM kuhakikisha ugonvi huu hauishi ili kukidhi matakwa ya CCM, maana mwisho wa siku Chadema na ACT watagawana kura na CCM atoke msindi. Haiwezekani watu wenye akili timamu na wenye nia na matakwa safi waendeleze libeneke hili ili iweje? haiwezekani Zitto afukuzwe wakati chama kimeweza kula ng'ombe mzima mgombanie ngozi! ati msakliti! Kuna jambo nyuma ya yote haya yasokwisha maana tuliyaona huko nyuma toka NCCR hadi CUF njama ni zile zile mtindo ni ule ule..
 
Hayo mahojiano yalikuwa wapi?unaweza kutupatia nakala ya sauti au video?
Pia muuliza maswali ulikuwa kishambenga sana,ulikuwa huna tofauti na wale wanaokodisha muziki,watu na magari kwenda kuwasuta/kuwaumbua wenzao........YOU SAIL IN THE SAME BOAT

ilikua kwenye mkutano wa hadhara mbeya.....hayo mengine uliyo andika ni upuuuzi tu
 
Nimezungumza maneno yako mwenyewe ulotaka kulinganisha watu. Wewe unauliza maswali ambayo hayajengi bali kama umetumwa vile ulitegemea akujibu ulivyofikiria.

Hili ndilo tatizo lenu nyie mlotumwa na CCM kuhakikisha ugonvi huu hauishi ili kukidhi matakwa ya CCM, maana mwisho wa siku Chadema na ACT watagawana kura na CCM atoke msindi. Haiwezekani watu wenye akili timamu na wenye nia na matakwa safi waendeleze libeneke hili ili iweje? haiwezekani Zitto afukuzwe wakati chama kimeweza kula ng'ombe mzima mgombanie ngozi! ati msakliti! Kuna jambo nyuma ya yote haya yasokwisha maana tuliyaona huko nyuma toka NCCR hadi CUF njama ni zile zile mtindo ni ule ule..

Dawa ya msaliti ni kumtenga hakuna jingine.
 
Back
Top Bottom