Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Atangaze mali zake ndio itamfanya kutimiza sifa za kutiwa mzalendo? Zzk anakuwa kama lori la budege kwa tamaa ya kujenga chama

Mmawia,punguza kidogo rafiki..................Uzalendo siyo wakuongea na wa kutenda...........
 
hawajaamka vijana wa ACT au issue imekuwa mwiba? kushabikia msaliti ngumu kama kutetea fisadi aliyealikwa kwa sharti la kutangaza Mali zake awe mzalendo
wanajaribu kwanza kubonyesha report abuse,ikishindikana ni kumwaga matusi tuu
 
hawajaamka vijana wa ACT au issue imekuwa mwiba? kushabikia msaliti ngumu kama kutetea fisadi aliyealikwa kwa sharti la kutangaza Mali zake awe mzalendo

Naona wanaupitia huu uzi na kurudi mafichoni maana jamaa haya maswali alivyoyapanga ni ya kimkakati.
 
Watu kwa porojo tu! Yaan hata ulivoandika mada yako ninawaswas na uelewa wako! Ndo wakumchanganya zito wewe! Pamoja na mapungufu yake mengi zito ni kichwa na bado anahitajika ktk siasa za upinzan
Ningependa bunge lijalo niwaone wasomi na vijana zaidi wakijaa bungeni! Tungekuwa na wasomi 40wa upinzan bungen wenye kuweza kujipanga kama zito tungeleta mabadiliko makubwa sana bungen
 
Sasa unacho bisha ni kitu gani? Hayo maswali kayaweka nawe umeyaona au unataka kutwambia kuwa zzk ndio mwenye elimu pekee yake hapa tanzania? Inawezekana huyo mleta uzi ana elimu kubwa kuliko huyo zzk wako,wacha kutawaliwa na mihemuko ya itikadi.
 
Mbeya hiyo jana uwanja wa chama cha majambazi, nyepesi alishikwa pabaya kwa hayo maswali

Pamoja sana mkuu,naona leo wale wapagazi wake hawatii mguu kwenye uzi huu,hata wale waliopelekwa kule kwa mkopo kuokoa jahazi kina Ritz wanachungulia na kusepa.
 
Mnapenda kujifariji na kuongeza chumvi kajibu vizuri na hauo maswali mengine mnayaongeza tu
 
DCONSCIOUS

Subiri kutukanwa,Zitto hawezi kujibu maswali hayo kwa ufasaha,mroho wa madaraka huyu jamaaa ni noma
 
Last edited by a moderator:
Kujibu maswali vizuri ndio kujua kuongoza!? Basi nchi hii maprofesa watupu ndio wangekua marais.

Nani kakudanganya kuwa maprofesa wanatabia ya kujibu maswali kwa ufasaha?Hata yale ambayo hayako kwenye fani zao?
 
Back
Top Bottom