Kwa ajili ya wapenzi wa ACT Wazalendo tu

Kwa ajili ya wapenzi wa ACT Wazalendo tu

Nara

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Posts
1,067
Reaction score
297
Hili ni swali lakiphilisophia kwetu sisi wapenzi na washabiki wa siasa kwenye mitandao.

Chama ambacho kimelea Zitto mpaka kufika hapo alipofikia kilikuwaa haki amini katika ujamaa wala ubepari, msimamo wao ni ule wa mrengo wa kati. Kwa lugha rahisi ni kwamba mabepari ruksa na wajamaa ruksa. Nisingependa kutoa ufafanuzi zaidi ya hapo.

Zitto amekuwa akikinadi chama cha act "kukitambulisha" kwa wananchi kama chama chenye lengo la kurudisha misingi ya azimio la arusha. Huu ni msimamo wa ujamaa na kujitegemea. Kama Zitto alikuwa na msimamo wa ki azimio la arusha tofauti na chama chake cha cdm, ni kwanini alikuwa anaendelea kupeperusha bendera ya chadema, ni kwanini alikuwa anawaaminisha wananchi katika cdm kipindi chote hicho?

Siasa za ujamaa na kujitegemea ni siasa ambazo kwenye mazingira yetu ni ngumu sana kutekelezeka. Ilikuwa ni rahisi zaidi kutekelezeka kipindi cha uhuru kwa sababu nchi nyingi duniani haswa za asia zilikuwa hazijaendela sana kibiashara na uchumi. Uchumi wa dunia sasa hivi unategemea ushindani wa viwanda, biashara, na uwekezaji. Tanzania inasehemu gani katika uchumi wa dunia? Tanzanaia inaweza kujitegemea kwa kitu gani? Hivi, duniani kuna wawekezaji wakijamaaaa?

Elimu hatuna

Viwanda hatuna

Uwekezaji bado ni mdogo sana

Uwezo wa kununua na kuuza bado ni mdogo

Hivi zitto na chama chake cha act wanataka kutudanganya nini? Hivi zitto anajua maana ya uchumi wa kiushindani na ulianzia wapi na kwa nini?

Tufike mahali tuachekuuudanganya umma wa watanzania kwa sababu hawaelewi. Ata kama wewe ni mtu msafi kiasi gani, Zitto acha kudanganya watanznaia na sera za ujamaa na kujitegemea, misingi ya ujamaa na kujitegemea tafadhali baki nayo hukohuko act au kwenye akili yako.

Watanzania wa leo tunakabiliwa na challenges nyingi sana kuliko zitto anavyofikiri, siyo tuu ufisadi au misingi ya kiuongozi.

Watanznaia wa leo wanataka kusikia fursa za kielimu, fursa za kibiashara, miundombinu mizuri, networks nzuri za simu na mitandao waweze wasiliana na wapenzi na wapendwa wao na kufanya shughuli zao za kila siku.

Atakama unashikiliwa akili na mtu, atakama unajazba na mtu, atakama unajua sana kuongea kama chiriku, atakama wewe unaakili kama eisten, tafadhali usiwadanganye watanzania na hizo sera zako.

Narudia tena, wewe ulipewa nafasi kubwa na uhuru mkubwa wakufanya siasa na kukijenga chadema, ulipewa resources watu nk, hivi kwanini ulikuwa hauwaambiee watz kuhusu hizi sera zako mpya za ujamaa na kujitegemea ukasubiri mpaka ufukuzwee? Hivi kama huu siyo unafafiki kweli ni nini? Kwa nini umekuwa kinyonga haraka hivyo? Hivi unajua ni watu wangapi wame na wanaendelea kuchanganyikiwa pindi wanapojaribu kukutafakari wewe ni mtu wa aina gani usiyekuwa na msimamo? Hivi utaendeelea kuwa changanya watanzania mpaka lini? Hizi ndo siasa ulizofundishwa na walimu wako?

Kwanza niwa challenge, hivi nchi hii kwa muda mrefu imekuwa ya ujamaa na kujitegemea, hivi ni lipi jipya katika ujamaa wenu?
 
Zotto ni mkakati wa ccm ..hakuna kingine..
Mikutano ya vyama vya upinzani huwa inwekewa vipingamizi na viongizi wake kuwekwa ndani lakini kwa act ni tifauti...anapeta tu...hii ni ishara tosha kuwa zitto ni.mkakati wa ccm kuwazubaisha wapinzani.
 
we mchaga ovyo kweli,kwan nan asiejua misimamo ya zzk ndan ya chadema hapo awali?kama mzee mwenye chama anataka chama chake kiendeshwe kwa misingi anayopenda yy unafikir zito angefanyeje?na hayo mawazo unayodhani zito hakuwah kuyatoa ntakua nna waswas na akili yako,kila jambo lenye manufaa kwa nchi na chama zito alipingwa na mtei leo hii kutangaza hadharani imekua nongwa?hata chdm kama wangekubaliana na mawazo yake leo hii ujamaa ingekua ndio shabaha ya chdm lakin nyinyi wachaga mna roho mbaya,wabinafsi,wezi mfano mbowe na mtei,wabakaji wa demokrasia,vilaza mfano sugu&lema,waropokaji na wazinz mfano slaa na msigwa
 
Back
Top Bottom