dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,944
- 3,535
Sasa unacho bisha ni kitu gani? Hayo maswali kayaweka nawe umeyaona au unataka kutwambia kuwa zzk ndio mwenye elimu pekee yake hapa tanzania? Inawezekana huyo mleta uzi ana elimu kubwa kuliko huyo zzk wako,wacha kutawaliwa na mihemuko ya itikadi.
jipange kijana!
We unadhan kila sehem n sehem ya kuropoka tu! ZZK hana elimu ya kutisha (hata miye nimemuacha vidato, tehtehteh) ila anauwezo mkubwa wa kupanga hoja kuliko wana UKAWA wengi, hebu jipangen vzr muache kukurupuka! kwa kukurupuka huku mtaishia kupiga stori vijiwen tu.