Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Hoja zipi hizo alizowahi kuzipanga Zitto? Alichokuwa anafanya ni kudandia tu hoja za wenzake na kutafuta publicity. Mfano mzuri ni kuwa yeye mwenyewe anadai kuwa alianzisha hoja ya Buzwagi, EPA, MEREMETA, KAGODA na hata ESCROW na kuwa eti yeye ndie aliyeiangusha serikali. Je ni mkweli?

Kama ana uwezo mkubwa wa kupanga hoja ni hoja gani amewahi kujenga na baada ya kufukuzwa ndani ya CHADEMA? Danganya wajinga wengine. Publicity stunt itamcost. Alidandia hoja ya fedha za Uswis na kujigharamia fedha ya kwenda nje kufuatila wakati kulikuwa na chombo kilichoundwa kufuatilia ili kuficha ukweli watu kufahamu kuwa naye yumo katika walioficha fedha nje ya nchi ndio maana mpaka leo akiulizwa kuhusu majina ya wenye akaunti nje anapaniki

Acha kutumia kamasi tumia akili mkuu. Unataka apange hoja vipi na yeye sio mbunge? Aipeleke wapi sasa? Mbona huulizi ni hoja zipi wabunge wa chadema wamezipanga baada ya kumtoa Zitto bungeni?
 
Mods kwanini mmefunga uzi wa zitto kuzomewa mbeya?
 
Acha kutumia kamasi tumia akili mkuu. Unataka apange hoja vipi na yeye sio mbunge? Aipeleke wapi sasa? Mbona huulizi ni hoja zipi wabunge wa chadema wamezipanga baada ya kumtoa Zitto bungeni?
hajatolewa bungeni huyo kajitoa mwenyewe kwa ukamasi wake. cdm ni chama kiongozi cha upinzani bungeni, sasa ndo unakilinganisha na huo msukule unaotumika na ssm kama toilet paper?
 
CITIZEM WAMEIRUSHA HIYO KAMA ILIVYO
[h=1]Zitto faces tough questions in chadema stronghold[/h]

04-Zitto.jpg

By Hawa Mathias and Justa Musa

Posted Tuesday, June 23 2015 at 10:43
In Summary
The youth, believed to be supporters of Mr Kabwe’s former party, Chadema, swamped the former MP with questions about his political ideology and crusade against corruption.

Mbeya. Alliance for Change and Transparency (ACT–Wazalendo) party leader Zitto Kabwe on Sunday faced off with some youths in Mbeya Region.

The youth, believed to be supporters of Mr Kabwe’s former party, Chadema, swamped the former MP with questions about his political ideology and crusade against corruption.

The former Kigoma North MP oblidged and answered the questions, Chadema enjoys popular support in Mbeya City and the youth wasted no time to show that.

During his address at the rally at Ruanda grounds, Mr Kabwe was challenged to state if he will accept the hefty package of Sh230 million that each MP will receive as a golden hand shake when their term expires in few weeks to come.

“You have been bragging that you do not need that money since you were an MP before resigning but the National Assembly Speaker has said you will also pocket the same amount. So will you receive the money or not?’’ asked one of the people who attended the rally amid cheers.

Another person—who was also in attendance demanded that Mr Zitto mentions the names of people who have stashed away billions of shillings in the off-shore accounts.

Responding to the questions, Mr Kabwe said he would channel his Sh230 million that he will be paid by Parliament to construct a school of children with albinism.

He reiterated that members of Parliament who will be elected through ACT-Wazalendo will not be allowed to receive Sh300,000 sitting allowance, instead, the money will be taken to constituencies to solve problems facing their people.

On people who have stashed away billions of shilings in off-shore accounts, Mr Kabwe said he could not reveal the names out of Parliament because before he resigned his seat in Parliament he did a recomendable job and that the report on the Swiss billions was ready and that it was in the discretion of the government to table the report in Parliament.

“If today I was still in Parliament, I would have demanded that the names of 99 Tanzanians who have been exposed in the report be named in Parliament,” he told the rally.

Mr Kabwe was also put to task to explain to people who was the top boss in ACT-Wazalendo between him as party leader and the party’s national Chairman, Ms Anna Mghwira, but Ms Mgwira intervened and told the rally that in her party all people were equal and that the important thing was dealing with responsibilities by all.
 
hajatolewa bungeni huyo kajitoa mwenyewe kwa ukamasi wake. cdm ni chama kiongozi cha upinzani bungeni, sasa ndo unakilinganisha na huo msukule unaotumika na ssm kama toilet paper?

You are as stupid as your leaders
 
Zitto bora ungeacha siasa ukafundishe kama ulivyokuwa unatamka hapo mwanzoni kabla hujafukuzwa CHADEMA angalia maswali yanavyokudhalilisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Acha kutumia kamasi tumia akili mkuu. Unataka apange hoja vipi na yeye sio mbunge? Aipeleke wapi sasa? Mbona huulizi ni hoja zipi wabunge wa chadema wamezipanga baada ya kumtoa Zitto bungeni?

Hivi kumbe mtu huwa anakuwa na akili anapokuwa kiongozi tu? Toka afukuzwe CHADEMA Zitto ameshasimama katika majukwaa mangapi? Unaposema ayapeleke wapi, wananchi hawastahili kufahamu madudu ya serikali anayoyafahamu yeye Zitto?

Haya ndio matokeo ya kujirahisisha, Zitto na wapambe wake wako tayari kumtumikia yeyote mwenye fedha. Kwa taarifa yako tu ni kuwa Zitto na wote wenye mitazamo ya aina yake ni makuwadi/madalali wa siasa na yupo tayari kukutumikia hata wewe mwenyewe kama unazo fedha. He is simply a very cheap politician.
 
Zitto wabunge waupinzani ni wezi maaana watapokea kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200.

Swali: unasema pesa hizo ni zawizi je wewe utapokea? Maana katibu wa bunge alisema unahaki ya kupokea.
Zitto: Nitapokea lakini ntapeleka kusaidia maalbino.
Watu: huuuuhuuuhuuu unauhakika gani hao wabunge wengine watatumia wapi
Zitto: kwa jazba anajibu "waulizeni wao
Watu: buuubuuubuuuubuuuu

Swali la pili
Wewe ulivyo timuliwa kwenye chama chako cha zamani ndani ya siku saba ukahamia chama kingine na kubadirisha katiba kisha kujipatia cheo kikubwa.hauoni kama wewe ni mroho wa madaraka? Alfu mbona unataja vyeo vya wenzio wewe hautaji chako?
Zitto: Zitto hili swali atalijibu mwenyekii
Magwila: mfumo wetu haupo Tanzania tumeuchukua Kenya, kunakua na kiongozi wa chama na mwenye kiti
Watu: weweeee taja cheo chake, wewe na yeye nani mkubwa
Magwira: anaona aibu anacheka, ebu tuangalieni mimi na zitto nani mkubwa
Watu: wewe jibu swaliii
Zitto ana mnyan'ganya mic magwila kisha anajibu kwa jazba sisi hatugawani vyeo tunagawana majukumu
Watu: buuubuuubuuuuuuu

Swali la tatu
Kama ambavyo dr slaa alitaja list of shame vipi na wewe unaujasiri wa kutaja majina ya walio ficha fedha uswisi ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi na tunaweza kuwachagua hau walio ficha bila kujua
Zitto.kwani Slaa alivyo wataja kilibadirika nini majina ntayapelekwa bungeni
Watu: huuuhuuuhuuuhuu
Habibu: anamnyan'ganya mic muuliza swali.
Watu: mwachieeeee
Habibu wanao taka kujiunga na chama waje wajiunge
Watu: mnazinguaaaaaaa

Mytake: Zitto na ACT yake wajipange sana maana una watanzania ni waelewa kuliko anavyodhani.

Hajiulizi mpaka sasa kwanini hakuna mwanachadema anayehama chama na kujiunga nae.

Ok, Good..
 
Hivi kumbe mtu huwa anakuwa na akili anapokuwa kiongozi tu? Toka afukuzwe CHADEMA Zitto ameshasimama katika majukwaa mangapi? Unaposema ayapeleke wapi, wananchi hawastahili kufahamu madudu ya serikali anayoyafahamu yeye Zitto?

Haya ndio matokeo ya kujirahisisha, Zitto na wapambe wake wako tayari kumtumikia yeyote mwenye fedha. Kwa taarifa yako tu ni kuwa Zitto na wote wenye mitazamo ya aina yake ni makuwadi/madalali wa siasa na yupo tayari kukutumikia hata wewe mwenyewe kama unazo fedha. He is simply a very cheap politician.

Kama kuusema ukweli ni kujirahisisha basi niko tayari kuwa even more than cheap. Zitto hatembei majukwani kuibua hoja anakitambulisha chama. I think hilo ungewauliza mabosi wako kwamba Tangu 1992 Mwenyekiti wenu ameibua hoja gani kwenye hayo majukwaa. Ninaamini hakuna aliyesimama kwenye majukwaa zaidi yake muulize Kwanza alafu uje na majibu nami nitakujibu
 
Muulize Zitto kuhusu Mwenyekiti wetu atakupa majibu unayoyatafuta kwani hata yeye Zitto ni matokeo ya good grooming from Mr. Chairman. Zitto hakuwa lolote wa chochote amefika hapo kwa kusaidiwa na Mbowe. Kama ana busara kidogo tu hawezi kulikana hili. Muulize alitolewa wapi na walikutana wapi. Ninaamini kwa anayoyafanya sasa ataishia kukaa kimya.
 
Ona mihemuko sasa, nimeuliza nani kamtoa nani na wapi? Kanywe kiroba uje utukane naona unaweweseka, habari za mwenyekiti wa chama chako nikamuulize kiongozi wa chama kingine? Taja hoja alizoibua. Labda 1992 ni mbali basi anzia 2004 tangu akiteke nyara chama na wote mliomo. Ni nini alifanya zaidi ya kwenda Dubai kula raha na mbunge mwenzie badala ya ziara ya kamati, au hilo hukulisikia na kulisoma? Najua utatetea tehteheteh ....Eti Zitto hakuwa lolote 2007 naona hata ile hoja ya Buzwagi aliitoa mwenyekiti wenu kupitia kwa mwamba wa miamba. Aibu ni mara moja ukiamua, lakini ukishupaza shingo utavuliwa nguo zaidi. Kauli yangu ni ile ile kwanza ujitambue, alafu ujikomboe. Hujachelewa ACT-WAZALENDO ndo kwanza tunafyeka mapori. ...Wakati Ninyi Mko chini ya mkoloni.....hiyo ni mshikemshike ndege tunduni sisi wajanja. .....jaza mwenyewe
 
Naona ukweli umeuma sana. Nenda kachukue posho utulize hasira. Anyway kama viroba vinaweza kukupa uwezo wa kuelewa wasafi na wasaliti ni bora sasa na mimi nianze kunywa viroba. Pole sana kachukue posho yako kwa --------- kwani umeingiza siku.
 
Kajipange wewe viziri kabla ya kuja na vichekesho kama vya bi kiroboto,ukawa utaisikia tu na kushuhudia vumbi lake.

Mie, sio muongeaji sana! ila kwa faida ya nchi ningependa vyama vya upinzani viwe na at least 45% ya wabunge wote na 50% madiwani nchi nzima!

ila kwa mpango huu wa kukurupuka, sijui kama tutafika!
 
Hoja zipi hizo alizowahi kuzipanga Zitto? Alichokuwa anafanya ni kudandia tu hoja za wenzake na kutafuta publicity. Mfano mzuri ni kuwa yeye mwenyewe anadai kuwa alianzisha hoja ya Buzwagi, EPA, MEREMETA, KAGODA na hata ESCROW na kuwa eti yeye ndie aliyeiangusha serikali. Je ni mkweli?

Kama ana uwezo mkubwa wa kupanga hoja ni hoja gani amewahi kujenga na baada ya kufukuzwa ndani ya CHADEMA? Danganya wajinga wengine. Publicity stunt itamcost. Alidandia hoja ya fedha za Uswis na kujigharamia fedha ya kwenda nje kufuatila wakati kulikuwa na chombo kilichoundwa kufuatilia ili kuficha ukweli watu kufahamu kuwa naye yumo katika walioficha fedha nje ya nchi ndio maana mpaka leo akiulizwa kuhusu majina ya wenye akaunti nje anapaniki

Tatizo kubwa la wanachadema ni kupanic, hii huwasababishia kukurupuka katika mijadala yao miiingi, na mostly huishia kumuattac mtoa mada badala ya mada!

Na ndio maana ZZK amewaweza sana, pamoja na mapungufu makubwa ya ZZT ila itachukua muda mrefu sana kwa Chadema kumsahau manake wanamuona kama adui yao, kisa ametofautiana na mitazamo ya wanachadema, badala ya kuangalia mmetofautiana nn mnaona yeye n mgomvi na kibaraka bila kujali tofaut n a msingi au la

Acheni kukurupuka na kumuatack mtoa mada, attack mada!
 
Hafuati mkumbo wapi mkuu juzi alikuwa anafoka utadhani kobra,kisa kumsema zzk kakosa watu sumbawanga!
Hahahahahaaaaaaa......mkuu mcubic ni best wa afande mibangi labda alimnusisha cha ukucha....hahahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Mie, sio muongeaji sana! ila kwa faida ya nchi ningependa vyama vya upinzani viwe na at least 45% ya wabunge wote na 50% madiwani nchi nzima!

ila kwa mpango huu wa kukurupuka, sijui kama tutafika!

Siyo 45%sema 70%
 
Wapi nimesema ya Uongo ama nimesema maswali yenyewe yaliongoza kutokea kwa majibu hayo maana hakwenda kwa kheri bali shari na ajabu nguvu kubwa mnayotumia leo. Mbona viongozi wenu wameisha nyamaza nyie bado mnashikilia Zitto hadi uchaguzi uje ili dhamira yenu itimie maana kuna kundi kubwa sana walopewa mshiko kuisambaratisha Chadema.

Haya imeshasambaratika sasa ni UKAWA, bado tu mna Zitto hadi uchaguzi kuhakikisha kazi yenu imetimia. Kuwagusa CCM hapana tena wengine wanaomba Lowassa atoswe CCM aje kwenu. Jamani hela hizi na umaskini huu ni nundu ya ngamia sii mzigo!
Mzee Mkandara, Tundu Antipas Mughwai Lissu alitamka hivi...."TUMESHAMALIZANA NA ZITTO" Ile ni kauli thabit, kutoka kwa mtu thabit, na kiongozi wa chama thabit. Wanachadema wote kwa ujumla wetu hatuna time na Zitto. Hata wewe unajua mzee wangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom