Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

Mtoa mada umeshawahi kupikia mabua???? Unajua moto wake unavyokua??
Mkuu unaujua sana huo moto. Ukipiga tu kiberiti kitu kinawaka na kukubali haswa ila ndani ya mud mfupi tu unashanga kitu doroooooo
 
Kuwa msikilizaji mzuri wa vyomba vya habari, ilifafanuliwa hivii imeundwa kamati chini ya ofisi ya waziri mkuu kwa aajili ya kuandaa miundo mbina ya kila wizara zitakazo hamishiwa dodoma hivyo atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa basi kama mko wachache na kwa treni kama mko wengi ni kulingana tu na utayari.
Dah kumbe walisema hivyo? ile ya kuwa baada ya muda fulani wote wataukuwa huko ilifutwa au?
 
Naona tunachelewa sana kwenda Dodoma
Ruksa kutangulia mkuu, kama vipi wewe toa tamko kuwa lini utakuwa umeshafika huko basi na uagize familia yako (kama hauna wafanyakazi waliopo chini yako) ikufuate baada ya muda gani
 
Sio kwamba wako Dodoma tayari mbona mke wa rafiki yangu ana wiki mbili sasa akiwa huko akidai kuwa makao makuu ya wizara yao yako sijui alisema area D au wakware washamuiba nini?
teh teh teh kaona fursa hiyo kwa namna yake.
 
Hata hivo hizo post hazikupendezi, zinakupendeza za kichawi
Hahaha, hata hili anaweza kuliunganisha na nguvu za kichawi. Je kushindwa kuhamia dodoma kipindi chote hicho kulikuwa na nguvu za kichawi nyuma yake? tuanzie hapo
 
Huna kumbukumbu kama alitaja mwaka...!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dah halafu hapo kweli inaweza saidia kuokoa jahazi. Sikusikia mwaka ukitwajwa hivyo inaweza kuwa sept ya mwaka wowote ujao, kama vile umewaza mbali
 
Kauli ya Raisi ni kwamba katika kipindi cha uongozi wake ambo kwa sasa amen bakiwa na miaka minne na miezi yake , kwa Hiyo hii kitu ni ya mpango wa miaka minne inayo kuja
Kwanini sasa inatekelezwa kana kwamba lazima zoezi likamilike ndani ya muda mfupi huu?
 
Lengo lipo pale pale lkn MUHESHIMIWA Magu alisema Ndani ya KIPINDI cha miaka 4 iliyibaki kabla ya 2020 siku yoyote Serikali itahamia DODOMA sasa munataka kila day aseme ,dhamira ipo.nia ipo .7bu zipo na pia pesa zipo za kutosha ,kinachosubiriwa ni siku na tarehe tu ambayo MUNGU ameshaipanga ifike tuhamie DODOMA.
Fuatilia TBC kila j5 saa 3.kamili usiku kuna KIPINDI cha kuelekea DODOMA.
Mkuu hiyo ni chaneli mpya au?
 
Kwanza niseme siyo ghafla kama wengi wanavyo sema. mpango wa kuhamia Dodoma ulikuwa ni wa serikali, na ulitangazwa mwaka 1975.Kimsingi ni mpango mzuri kwani Dodoma ni katikati ya Nchi, kwahiyo mikoa mingi itapata huduma kwa urahisi.

Kuhusu nani anatakiwa kuhamia Dodoma ikiwa serikali inahamia huko, ni kwamba, Kwanza Rais lazima ahamie. maana yake ni kwamba ikulu itahamia Dodoma.Kama hivyo ndivyo, maana yake nyingine ni kwamba kikiosi cha ulinzi wa Rais kinahama.Wengine ambao lazima wahamie Dodoma kwa maana hiyo ni Usalama wa Taifa, polisi, Makao makuu ya JWTZ, na Wizara zote.

Wizara zina idara lazima zihame.ila vitengo kama ulivyo sema NECTA,NACTE,HESLEB nk siyo lazima sana wahame sasa.Ila ili kuwarahisishia watu kupata huduma muhimu sehemu moja, huko mbeleni hata vitengo hivyo vitahamia Dodoma! Ama kuhusu mikataba mbalimbali hiyo haina maana sana kwasababu ni vitu vinavyo zungumzika.Kifupi ni kwamba hakuna jambo lisilo na Changamoto zake! mwanzo mgumu lakini huko mbeleni kuna faida nyingi makao makuu ya serikali kuwa Dodoma kuliko Dar es salaam.

Mkuu, Wanaosema ghafla wana hoja. Kwa nini, kwa mfano, Serikali haijahamia Dodoma miaka 30 au 40 iliyopita? Wewe unaelewa sababu? Je mwaka jana au juzi, ulisikia mipango ya kuhamia Dodoma? Unazijua sababu hasa za kwa nini utekelezaji wa agizo hili ambalo lilitolewa zaidi ya miaka 43 iliyopita, unafanyika sasa?
 
Mkuu hiki kitu ni siriaz au unatania ...... maana kama w/mkuu anaweza kufunga barabara na misafara inayosababisha vifo vya wagonjwa kwa ajili ya kupisha msafara wake kisha yeye anaenda kupokea madawati 100,ambapo gharama za msafara wake mmoja unazidi alichoenda kukipokea nahisi kuna tatizo.


Raisi anapewa msaada wa milion tatu ikulu.
 
Back
Top Bottom