Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

Tanzania Tanzania!

Taarifa za kuhamia Dodoma zilipotolewa ilionekana tumechelewa na niliamini ili tusizidi kuchelewa Wizara kadhaa zingekuwa tayari Dodoma. Kumbe nilikuwa najidanganya.

Naiomba Serikali iseme kuanzia lini Wizara zitaanza kuhamia Dodoma ili watanzania wajue.
Nyie msiofatilia mambo ndo msiyojua, endeleeni kuchonga
 
Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
Yaani Pohamba ISINGEKUA paragraph ya mwisho ya posti yako ungeonekana Bonge la Jamaa lenye mahistoria na mawazo chanya. Hiyo para ya mwisho a a a a imekuondolea sifa hizo.
 
Yaani Pohamba ISINGEKUA paragraph ya mwisho ya posti yako ungeonekana Bonge la Jamaa lenye mahistoria na mawazo chanya. Hiyo para ya mwisho a a a a imekuondolea sifa hizo.
Lengo langu halikuwa sifa hiyo unayoifikiria bali kutoa Mawazo yangu na kumbukumbu zangu nawe kuisoma na limetimia!
Labda nikufafanulie maana unaweza ukadhani nimetukana wagogo.
Dodoma inazalisha Ombaomba sio kwa kuwa ni Wavivu bali Geographia yake haichochei shughuli za uzalishaji Mali
Dodoma ukame wake na ujangwa wake huzalisha vumbi kwa wingi ndio sababu wanaathiriwa sana na Ugonjwa wa Macho hivyo kuongoza kwa kuwa na Vipofu!
 
hawawez kiukwel... n hpo ndo kwnye umuhmu w kua mpole kw raia.. ucpende sifa... hakuna ulazima wa kufoc hvyo
 
Waziri wa kazi alisema wao watahamia Dodoma wiki ya kwanza ya August.
 
Lengo langu halikuwa sifa hiyo unayoifikiria bali kutoa Mawazo yangu na kumbukumbu zangu nawe kuisoma na limetimia!
Labda nikufafanulie maana unaweza ukadhani nimetukana wagogo.
Dodoma inazalisha Ombaomba sio kwa kuwa ni Wavivu bali Geographia yake haichochei shughuli za uzalishaji Mali
Dodoma ukame wake na ujangwa wake huzalisha vumbi kwa wingi ndio sababu wanaathiriwa sana na Ugonjwa wa Macho hivyo kuongoza kwa kuwa na Vipofu!
Na mtukufu amesema hakuna kugawa chakula.............
 
Mtoa mada umeshawahi kupikia mabua???? Unajua moto wake unavyokua??
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Tanzania Tanzania!

Taarifa za kuhamia Dodoma zilipotolewa ilionekana tumechelewa na niliamini ili tusizidi kuchelewa Wizara kadhaa zingekuwa tayari Dodoma. Kumbe nilikuwa najidanganya.

Naiomba Serikali iseme kuanzia lini Wizara zitaanza kuhamia Dodoma ili watanzania wajue.
Septemba wakati tunashika ukuta tereni itakuwa itakuwa inapiga resi kuelekea kitovu ni mwa tanzania [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji15] nacheka kwa dharaaaaaauuuu
 
Back
Top Bottom