Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

Kuhamia dodoma mchezo??? Hiyo pesa ipo...?? Walikurupika ki-mwendokasi alaf wamebuma ki-mwendokasi
Kuwa msikilizaji mzuri wa vyomba vya habari, ilifafanuliwa hivii imeundwa kamati chini ya ofisi ya waziri mkuu kwa aajili ya kuandaa miundo mbina ya kila wizara zitakazo hamishiwa dodoma hivyo atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa basi kama mko wachache na kwa treni kama mko wengi ni kulingana tu na utayari.
 
Imeundwa tume chini ya ofisi ya waziri mkuu yenye kushughulikia miundombinu ya kuwaamisha wizara moja baada ya nyingine kwa utaratibu maalumu baada ya makazi na maofisi kuwa tayari atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa njia ya basi au treni.
 
Kwa moto ule...wakishindwa kufanikisha kuhamia Dodoma watakuwa wamejiaibisha sana.
 
Imeundwa tume chini ya ofisi ya waziri mkuu yenye kushughulikia miundombinu ya kuwaamisha wizara moja baada ya nyingine kwa utaratibu maalumu baada ya makazi na maofisi kuwa tayari atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa njia ya basi au treni.
Kaz zitafanywaje..... Lini
 
Sio kwamba wako Dodoma tayari mbona mke wa rafiki yangu ana wiki mbili sasa akiwa huko akidai kuwa makao makuu ya wizara yao yako sijui alisema area D au wakware washamuiba nini?
 
Kuwa msikilizaji mzuri wa vyomba vya habari, ilifafanuliwa hivii imeundwa kamati chini ya ofisi ya waziri mkuu kwa aajili ya kuandaa miundo mbina ya kila wizara zitakazo hamishiwa dodoma hivyo atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa basi kama mko wachache na kwa treni kama mko wengi ni kulingana tu na utayari.
mkuu kwani walipo tamka wiki ijayo hawakujua kama miundo mbinu ya ofisi za wizara si mizuri? kumbuka mwenye nyumba huijua vyema nyumba yake zaidi ya asiye yake
 
Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
We kichwa kaka..ngoja nijimezeshe hii point yako halafu Leo jioni nikikaa bar na ntawatemea pointi hizi nikijifanya ni wazo langu
 
Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
Wewe acha uchoko wa kutukana tukana! Dodoma inazalisha wasomi kama Mimi na wengine kibao! Dodoma si ya wagogo pekee! Soma ndugu usikariri! Uamuzi wa serikali hauwezi kuwa kwa sababu hizo usemazo!! Serikali sio kijiwe cha wahuni!
Dodoma imepitiwa na bonde la ufa lakini halizuii Ujenzi kufanyika!tembea uone! Ujwangwa jangwa- ndio moja kati ya fahari zetu! Ni uzuri wa nchi!
 
Back
Top Bottom