structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
- Thread starter
- #261
Mkuu milioni 3 dola au hizi hizi zakwetu?Raisi anapewa msaada wa milion tatu ikulu.
Mkuu milioni 3 dola au hizi hizi zakwetu?Raisi anapewa msaada wa milion tatu ikulu.
Acha kujibu kisiasa kuna vitu kauliza vina logic kabisa au hujui ukimtoa mfanyakaz point A to B anatakiwa umlipe achilia mbali hzo ni safari sasa huu ni uhamisho na familia yake na kila kitu chake tafakariMaswali yako hayo mengi yanaakisi uwezo wako wa kushughulisha akili ni mdogo sana, haiwezekani uwe na maswali mengi kama hayo ambapo yote hujapata majawabu.
Any way jua tu kwamba serikali ni zaidi ya majibu ya hayo maswali, lisilowezekana akilini mwako linawezekana serikalini.
Nami namsubir huenda kawahi kuchukua posho ule mtaa wanauza magari sana hapa jijini lakini hauna yardNdio maana nikaleta hapa ili wenye.uwezo mkubwa mtusaidie,mbona hujajibu hata moja sasa?
Aise umenigusa hv lile jengo la mawasiliano si juzi tu hapa ndo limekamilika? du kila anayetawala anakuja na vipaumbele vyake we have no long term plans kama nchi angalia hata kwenye elimu kila cku changesSelikali ya magufuri kuhamia dodoma
Nimeanza kuliskia hili swala toka wakati wa kikwete ila kama watu wa Tanzania tunatakiwa kuhoji jee uhamiaji wa dodoma una maslai gani kwa nchi
Je kuna kitu katika uwajibikaji kitaongezeka au twafanya maigizo
Je dodoma ndoo mharubaini wa matatizo yetu kama nchi
Je gharama za kuhamia dodoma zinatoka wapi kama ni selikalini ziliptishwa na bunge
Hili wazo limeanza siku nying jee kwa nini selikali ilikuwa inajenga baadhi ya ofisi za wizara aukuwa wakijua kuwa kuna kuhamia dodoma.
Tujadili kwa manufaa ya nchii
Umeongea vizur kisha ukaharibu hv nikuulize katiba ya nchi unaichukuliaje? Et hata akivunja sawa tuisipohamia leo itaenda lini,wanaolalamika kwamba haikujadiliwa bungeni ndio hao wanaosusuia vikao kila siku, wanataka kujadili nini,ni kwamba watu walikua hawajui kwamba serikali inapaswa kua dodoma au ni uzembe uliopitiliza kiasi kwamba mtu akifanya kitu sahihi ambacho hakijazoeleka tunaona kama tunaonewa????aliesema anahamisha serikali yake kwenda dodoma kwani hajui kwamba hela atapata wapi mpaka asemhivo?sijui hela atatoa wapi na staki kujua watu watahamaje cha msingi serikali ihamie dodoma,avunje au asivunje katiba vyote sawa tu naunga mkono maana ina manufaa.....lazima tabaka fulani likubali maumivu ili tupige hatua....hata marekani haikufika hapo ilipo kirahisi hivyo kama tunavyotaka sisi lazima maamuzi magumu yafanyike twende mbele
Major umetishaMHESHIMIWA Waziri mkuu sisi Kama wananchi wako watiifu ambao tunajitafutia kamkate ketu kwa njia halali Tunaomba kauli moja tu kutoka kwako. Ulituahidi mwezi February mtaanza kuhamia Dodoma, lakini tarehe 21/12/2016 nilipita pale kuangalia Kama kuna dalili kwa sababu kuna kakiwanja nilikanunua hapo tangu mwezi Mei kwa lengo la kuweka gest ndogo tu angalau niambulie baadaye.
Lakini kwa kusema kweli hali niliyoikuta na nikiangalia Muda uliobaki, sioni Kama kuna dalili. Basi Wewe ukiwa Kama kiongozi wetu Tunayekuamini Tunaomba utuambie ukweli hata Kama utatumia Radio au Tv Kama ulivyotuahidi mwanzo Je ni lini haswa Dodoma hata Kama ni baada ya miaka 2 au 3 ni sawa tu. Cha msingi tunataka tukiamka tujue Muelekeo wa Serikali please.
Nakuomba hivi kwa sababu, unajua mitaji yetu ni midogo sana na huwa haipendi misukosuko, mtingishiko kidogo tu unatudhoofisha sana na hasa ukizingatia hali halisi ya biashara kwa hivi sasa ni ngumu kuliko Unavyofikiri, wanunuzi hakuna na walalaji pia hakuna. Kwa hiyo binafsi nilitega mingo hapo Dodoma angalau nikijua wageni watakaotembelea ni wengi na hivyo ni lazima wangehitaji pa kulala.
Mkuu wangu ebu Tuweke wazi ili tujue dira ili tujipange. Ubarikiwe
Sahau hicho kitu hata huyo waziri mkuu mwenyewe huko dodoma ni kama anaendaga kupunzika tu, shughuli zake anazimalizia darMHESHIMIWA Waziri mkuu sisi Kama wananchi wako watiifu ambao tunajitafutia kamkate ketu kwa njia halali Tunaomba kauli moja tu kutoka kwako. Ulituahidi mwezi February mtaanza kuhamia Dodoma, lakini tarehe 21/12/2016 nilipita pale kuangalia Kama kuna dalili kwa sababu kuna kakiwanja nilikanunua hapo tangu mwezi Mei kwa lengo la kuweka gest ndogo tu angalau niambulie baadaye.