Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Wataenda kwa treni
Wakati wanasema hayo walikua hawajui kama Kuna sheria?Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali
Kama atashindwa kuitekeleza , ajitumbue.Tizeba na Mhagama wameshahamia Dodoma?
Waziri Mkuu kabakiwa na wiki moja na Nusu inabidi atimize ahadi yake
sheria hiyo ipo tangu mwaka 1973Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Onja msisimuko na coca cola
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nguvu yote imeelekezwa kwanza kwenye kuvunja UKUTA, na kuongeza umakini katika kupata dondoo na miundo mbinu kwa mikakati ya September 1
Nimewaza kwa sauti
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sisi tunazungumzia wale mawaziri waliojitapa baada ya wiki moja watakuwa wameshaenda dodoma. Je wamefanya hivo?Kwa hili tunamuonea Mhe.Rais bila sababu.Alisema hivi, nanukuu- "kabla sijamaliza kipindi changu cha miaka mitano...na nimebakiza miaka minne na miezi minne......serikali yangu (yote?) Itakuwa imehamia Dodoma....".Mwisho wa kunukuu.Tena aliongea maneno haya akiwa amegeukia HIGH TABLE kwa ukali. Hiki kipindi hakijamalizika ili tumuhukumu.Ni mawazo yangu tu.
Ukarabati wa Nyumba hizo ilikua ni plan ya CDA miaka mitatu iliyopita mkuu.Hapa Dodoma mitaa ya Kikuyu naona ndio wanaanza kukarabati nyumba za National Housing.Kwa nje naona wanaanza kuzipaka rangi