Kabla ya kunzisha CDA miaka ya 1970 michakato ilishafanywa, hata ramani ya dunia inatambua Dodoma kuwa ni Makao Makuu. Kilichobaki ni kuhamia Dodoma. KwaMh. Magufuli maneno huvunja mfupa.Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali
Kwani walinunua ndogo sizeNdio hivyo mizuka haina manufaa, baada ya kupelekewa bajeti ya uhamisho chupi zikawabana.
Chambua kwa umakini neno nililotumia "zikawabana"Kwani walinunua ndogo size
Hilo litapita kama yalivyopita mengineBaada ya Rais magufuli kutangaza serikali kuhamia Dodoma, kuna mawaziri walisema wiki inayofuata watakuwa tayari wameshahamia akiwemo waziri wa kilimo. Lakini nashangaa hadi leo mawaziri hao nakutana nao mitaani hapa jiji.
Hivi walijua kuhama ni kazi rahisi ati eee? Au walizungumza vile ili kunogesha genge.
Ana mambo mengi sana ya kufanyaLabda kasahau
Baada ya Rais magufuli kutangaza serikali kuhamia Dodoma, kuna mawaziri walisema wiki inayofuata watakuwa tayari wameshahamia akiwemo waziri wa kilimo. Lakini nashangaa hadi leo mawaziri hao nakutana nao mitaani hapa jiji.
Hivi walijua kuhama ni kazi rahisi ati eee? Au walizungumza vile ili kunogesha genge.
Tukifungiwa kwa kudhihaki kama hapo juu tutasema tumeonewa na kulaumu kuwa tunanyimwa nafasi ya kutukana watu.AISEEE HILO TUMUACHIE MAGU . NA SERIKALI YAKE...MUDA MWINGINE NI KAMA ANAKURUPUKA...VILE.
Teh teh teh tehNdio hivyo mizuka haina manufaa, baada ya kupelekewa bajeti ya uhamisho chupi zikawabana.