Hata hivo hizo post hazikupendezi, zinakupendeza za kichawiPost zangu za kuhamia dom zote zimenyongwa
Sio kwa huu ujambazi wao wakishirikisha vema mbinu zao za jechaism na napeism ref zanzibar na bao la mkonoNa itatuthihirishia sio watekelezaji.
2020 tutawapiga chini kiulaiiiiiini [emoji39][emoji39]
Huna kumbukumbu kama alitaja mwaka...!!!Mpaka sasa dalili hakuna. Kabla hatujaenda kwenye Ukuta tumkumbushe wazir mkuu asije akawa amesahau kuwa alisema atahama 1/9. Sinakumbu kumbu kama alitaja mwaka.
Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
Hilo linafahamika na ndio maana wameamua kuweka kamati ili kubaini hayo yote kisha kuyafanyia ufumbuzi. Tusiwe wepesi kuweka sababu ilimradi ionekane haiwezekani wakati swala hilo linawezekana.Kaz zitafanywaje..... Lini
Ni sahihi wapo waliokwisha kwenda dodoma na kazi walikwisha ziendeleza.Sio kwamba wako Dodoma tayari mbona mke wa rafiki yangu ana wiki mbili sasa akiwa huko akidai kuwa makao makuu ya wizara yao yako sijui alisema area D au wakware washamuiba nini?
time will tellHilo linafahamika na ndio maana wameamua kuweka kamati ili kubaini hayo yote kisha kuyafanyia ufumbuzi. Tusiwe wepesi kuweka sababu ilimradi ionekane haiwezekani wakati swala hilo linawezekana.
Ni vyema ikiisha pita mwaka mmoja ndio useme hayo maneno kwa kile utakacho kiona kiliongelewa kifanyiwe kazi kisha hakija fanyiwa kazi kwa % lakini sio jambo liongelewe ndani ya mwezi unaanza kusema hivyo.Serikali ya mwendo kasi hii maneno mengi yasiyo na utekelezaji.kila kukicha vipaumbele vinabadilika.
Umeanza vizur mwishoni umeharibu kila kitu mkuu, yanini kutoa maneno ya kashfa kama hayo ndugu yangu.. Ina maana watu wote wa dodoma hakuna hata mzima mmoja, wote ni "empty set"Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
Subiri mpaka sept
keIele mingi ...... whether you like it or not serekali hii lazima ihamie Dodoma mwezi wa 9Julius Nyerere tangu aazimie kuhamia Dodoma 1966 na kupitisha Azimio la Bunge 1973 mpaka anaondoka Madarakani 1985 hakuweza kuhamisha hata Wizara moja. Aliwahi kujaribu kuhamisha Wizara ya Mambo ya Nje lakini alipopelekewa Mchanganuo wa Bajeti yake aliufyata.
Kigezo pekee cha kupanga Dodoma kuwa Makao Makuu ilikuwa ukati kati wake pekee hawakutazama Ujangwa wala kupitiwa kwake na Bonde la Ufa ambacho ni kikwazo kikuu kwa ujenzi Mkubwa mkubwa.
Kwa Hili Magu kaharakisha kama alivyokurupuka MwlNyerere.
Angalau Mzee Mwinyi alijaribu kuukuza Mji wa Dodoma kwa kuifanya kuwa Tax havens ambapo ukiwekeza na kuzalisha Dodoma unalipa nusu ya kodi na hata utility ya Umeme na maji iliazimiwa ilipwe nusu bei japo utekelezaji wake nao haukufanikiwa.
Haikuandikwa Mbinguni kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania, ni utashi tu wa Mtu mmoja kwa tamaa zake za kumfurahisha Mgogo wake leo inaligharimu Taifa na watu wake!
Mkapa alithubutu kibusara kwa kulipeleka Bunge nako hapakuchangamka.
Jakaya alijaribu kupeleka Udom nako hapakuchangamka.
Dodoma ipo kuzalisha Omba omba tu na Wagonjwa wa Macho Nyerere kwa utashi wake kaigeuza Washington ya Tanzania ikamshinda
Pole sana mkuuPost zangu za kuhamia dom zote zimenyongwa
We unaefuatilia tuambieNyie msiofatilia mambo ndo msiyojua, endeleeni kuchonga