lolT
Teh teh teh teh
hahahaaaaaaNgoja tumalizane na UKUTA tuone hela itakayobaki ndo tuwape wahamie Dodoma
Acha unafiki wewe. Waziri wa Kilimo yuko Mwanza, we unapishana nae Dar es Salaam? Au ukitaka kila siku watangaze kuhamia Dodoma? Hawatafuti kiki kama UKAWA maana bila kuongelewa watu watasahau UKUTA kabla ya tarehe.Baada ya Rais magufuli kutangaza serikali kuhamia Dodoma, kuna mawaziri walisema wiki inayofuata watakuwa tayari wameshahamia akiwemo waziri wa kilimo. Lakini nashangaa hadi leo mawaziri hao nakutana nao mitaani hapa jiji.
Hivi walijua kuhama ni kazi rahisi ati eee? Au walizungumza vile ili kunogesha genge.
Hataki Michakato acha uchokozi!Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali
Huu mchezo hauhitaji hasira,Unajua maana ya neno unafiki?Acha unafiki wewe. Waziri wa Kilimo yuko Mwanza, we unapishana nae Dar es Salaam? Au ukitaka kila siku watangaze kuhamia Dodoma? Hawatafuti kiki kama UKAWA maana bila kuongelewa watu watasahau UKUTA kabla ya tarehe.
Kaka hivi kuhama kuna siri, hakuhitaji utafiti wowote ule.wangekuwa tyr tungewaona na vifurushi vyao morogoro road wanasepa zaoHufanyi kazi serikalini ndio maana wadhani hakuna kinachoendelea
Teh teh ,sawa mzee akiki mali.Uamuzi wa serikali kuhamia dodoma ulikuwa wa kukurupuka
Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali
Mpaka sheria ipite ya kulifanyq dodoma kwa jiji la sirikali