Shukrani kwa kunielewa ndugu yangu mambo haya yanaitaji uelewa kama wakonimekupata vyema mkuu
Nishakufaham leo ukija hatukusikilizi [emoji12]We kichwa kaka..ngoja nijimezeshe hii point yako halafu Leo jioni nikikaa bar na ntawatemea pointi hizi nikijifanya ni wazo langu
Kumbe sio mimi peke yangu?Post zangu za kuhamia dom zote zimenyongwa
Kweni ile 'ntahamia wiki ijayo' hiyo wiki haijafika?Mihemko on fleek
Dodoma lazima hakuna Michakato hapa ni kuhamia tuu.Lengo langu halikuwa sifa hiyo unayoifikiria bali kutoa Mawazo yangu na kumbukumbu zangu nawe kuisoma na limetimia!
Labda nikufafanulie maana unaweza ukadhani nimetukana wagogo.
Dodoma inazalisha Ombaomba sio kwa kuwa ni Wavivu bali Geographia yake haichochei shughuli za uzalishaji Mali
Dodoma ukame wake na ujangwa wake huzalisha vumbi kwa wingi ndio sababu wanaathiriwa sana na Ugonjwa wa Macho hivyo kuongoza kwa kuwa na Vipofu!
Walirudia chalinze nyama
Naona wamepewa angalizo toka mamlaka za kule dariniKumbe sio mimi peke yangu?
hahahaaaa umenichekeshahata chalinze nyama hawakufika mkuu insemekana wengi waliishia mbande na wachache walikatia tamaa NAKO
Ndo mihemko yenyewe hiyo, mjini patamu nani ahameKweni ile 'ntahamia wiki ijayo' hiyo wiki haijafika?
Hahahaha soboda bado hajatoa peasa mkuu chezea SOBODO ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanzania Tanzania!
Taarifa za kuhamia Dodoma zilipotolewa ilionekana tumechelewa na niliamini ili tusizidi kuchelewa Wizara kadhaa zingekuwa tayari Dodoma. Kumbe nilikuwa najidanganya.
Naiomba Serikali iseme kuanzia lini Wizara zitaanza kuhamia Dodoma ili watanzania wajue.