Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Mi nilijua labda wameiba au wameharibu kazi, kumbe isue ni hiyo kufanya kazi sehemu moja!!!! Je wamevunja KATIBA ya nchi au.!? Nahisi aliyeleta huu Uzi hapa ni mfanyakazi wa TRA . Ukitaka usizeeke mapema basi Tuache wivu usiofaa vinginevyo at the age of 30s utashangaa . Wabongo kwa WIVU!!!!!!!???
 
Yote haya yameruhusiwa na utawala mbovu!yaani hakuna sekta yeyote nzima..ufisadi na ngono ndio zao kuu la viongozi ccm.
 
Mtoa uzi acha majungu,acha kulialia pambana na maisha kama wao wamepelekwa majuu na wewe chakalika upelekwe majuu,kuna watu wanalalamika wana-apply kazi tra mara 100 na wanakosa mbona wewe umepata? Au na wewe umependelewa?
 
Aisee ni balaa, kama huyu dogo wa mikocheni kamaliza form four mwaka juzi ila saizi ni kiburudisho cha mzee Kimei........kamnunulia ka Vits.......huu ni ufisadi uliokubuhu wa kuharibu watoto wetu kisa umasikini wao

Wanasambaza Minyenyere tu kwa watoto wadogo!
 
Kweli hao mapacha hata kituo cha kazi kimoja ina maana hata bwana atakuwa mmoja
 
nilichouliza ni kwamba wanafunzi vichwa waliofaulu vizuri toka secondary, a level etc kuchagua kusoma muccobs undergraduate wakati uwezo wao ungeruhusu wachaguliwe vyuo vingine kama udsm, mzumbe etc je inawezekana kweli?

naomba unitajie mwanafunzi mmoja tu aloyewahi kuingia top ten ya taifa ( best student top 10) aliyewahi kusoma muccobs undergraduate kwa uamuzi wake mwenyewe na akamaliza hapo muccobs, naomba jina lake na mwaka aliomaliza.

usibishe tu mradi unabisha. naomba ubishe kwa facts. hao mapacha wangekuwa vichwa kweli kweli waliofauku vizuri form 6 wasingeishia kusoma muccobs... hao ni average students tu network imewabeba hapo tra

Mkuu wana CPA( T)
 
CPA( t) ndio imewabeba wamekomaa wamepata cpa( t) freshhhh ! Kama huna CPA(.t) na kazi inahitaji kuwa na CPA( t ). ?
 
CPA( t) ndio imewabeba wamekomaa wamepata cpa( t) freshhhh ! Kama huna CPA(.t) na kazi inahitaji kuwa na CPA( t ). ?

Mkuu mtu ambae hajapga msuli wa Cpa(T) hawez elewa unaongelea nn kabsaa mkuu!
 
Picha ndo huyo aliyeshikiria Sinia la mkasi?
 
Kweli hao mapacha hata kituo cha kazi kimoja ina maana hata bwana atakuwa mmoja

Watu dizaini hii huwa wanachangia wapenzi mwenzie akiwa na hamu anamwachia pande mwenzie skate kiu.
 
Mkuu hapo unakosea.. Ina maana UD tu ndio inapokea vichwa wote Tanzania?? Binafsi nimesoma arusha miaka kadhaa iliyopita na najua ni kwa jinsi gani watoto Wa arusha na moshi (wengi wao) hawapendi kusoma nje ya mikoa hiyo..

Wakati niko high school kule kuna Kijana mmoja alitutangulia alipata 1 ya 5 EGM lakini alichagua kusoma Uhasibu Njiro Arusha (AIA).. Sio kila mtu anashoboka na majina ya chuo.. Watoto wa kule wanahusudu vya kwako AIA, Makumira na Muccobs..

Lakini kama una mashaka nao bado, Mkuu Ngongo kakwambia hapo juu hao mabinti wana CPA (T), sasa jiulize hao vichwa wako wa hapo UD wote wamepata hiyo kitu??

Acha kutulisha makasa dogo
 
Acha kutulisha makasa dogo

Avatar yako na akili zao zinafanana... Wewe unaonekana ni wale wasongo waliokua wanawai nafasi za mbele kabisa wakati wa lecture na seminars (wengine mnawai 1 hr before na kuwekeana siti) mkafikiri mkitoka hapo Ud na GPA ya 4 basi maisha umeshayapatia. Kumbe maskini ya Mungu ulikua unakariri vitin tu ila kila ukiingia interview mweupe..

Kijana maisha umeyakosea mwenyewe acha kutupa lawama kwa watu.. Anyway wao wanapeta tu we endelea na chuki zako humu. Ulalwe salama dada
 
Majungu tu haya...., hii hoja imekaa kishabiki sana. Mtoa hoja huenda ni mwathirika kwa namna moja au nyingine.
 
CPA( t) ndio imewabeba wamekomaa wamepata cpa( t) freshhhh ! Kama huna CPA(.t) na kazi inahitaji kuwa na CPA( t ). ?

Hakuna,kazi za CpA Tra ni chache,labda uwe audit department,ingawa hao wasichana wsko vizuri pamoja na kuwa na Aunt yao mwenye cheo kikubwa ndani,All in all TRA is among of few entities where by no nepotism in employments kudos for that(equally opportunity employers)
 
Sehemu za kazi kwenye taasisi au asasi MWANAMKE si mtu wa kumfuatilia. Ukute HR anakula mzigo.
Pigeni kimya aisee.
 
Back
Top Bottom