Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,462
- 4,365
Naona Rais anamwaga takwimu kama vile Maswali ya Tido alikuwa anayajua
yaah! alikuwa anayajua, hata waandishi wa habari ambaohuwa wanamhoji Obama huwa wanaandaliwa na Ikulu mapema na maswali huwa yanajulikana.