Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Sep 9, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Naam,

  Tido Mhando anaongea lakini sauti ilikuwa haisikiki vema na wamerekebisha.

  Toka magazetini:

   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Naam...kumekucha!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  So kwenye hii thread tunatakiwa kuandika maswali yetu halafu yafowadiwe kwa raisi?
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Tido anasema wameshapata maswali takribani 2,500 ya sms na karibu emails kama 500 hivi.

  JK anasema atawajibu mmoja baada ya mwingine hata baada ya kipindi.

  Atatafuta namna nyingine ya kujibu maswali baadae hata isipokuwa kwa njia ya Television
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ameikana Ilani aliyochotea kura kuwa hakuiandika yeye na kama angiandika yeye ..... anaogopa sana

  Swali la kwanza kutoka kwa tido guess what? Shule za Loawassa na mafanikio yake na mkuu anashusha data dalili za kwamba alishaambiwa kabla
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  JK anasema kama ni yeye basi shule za kata asingeziingiza kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM lakini kwakuwa CCM anayegombea haandai ilani basi hana budi kuitekeleza.
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Shalom, jamaa hapo kachemka. Nadhani Tido hakumwandaa juu ya swali hilo!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama issue ya takwimu ina msaada sana na inapoteza muda wa kujibu maswali mengi... Hapa washauri wake wangemwambia namna ya kutumia dakika 90 hizi
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Mwulize kwa nini alisema hajui chanzo cha umaskini Tanzania
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Naona Rais anamwaga takwimu kama vile Maswali ya Tido alikuwa anayajua
   
 12. M

  Mukubwa Senior Member

  #12
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kama issue moja inachukua muda mrefu hivi atajibu maswali mangapi?
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Wajina...you're da man! Sasa namsikiliza laivu kabisa. Siyo huyu Invizibo anaandika andika tu.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  Tuko pamoja mkuu ngabu
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Anazungumzia ujenzi wa maabara....na dola milioni 90 walizoahidiwa na ADB
   
 16. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  JK ametoa weakness kubwa ya CCM kwamba mgombea haruhusiwi kuhusika ktk kazi ya kuandaa ilani ya uchaguzi. Pia ame-disown ilani anayoitekeleza sasa. Kwamfano anasema ingekuwa ilani imeandaliwa naye asingeweka suala la Sekondari kila kata.

  Binafsi naona amekuwa muungwana kuonyesha tatizo/matatizo yanayotokana na ilani hiyo.
   
 17. M

  Mugishagwe JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 295
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 18. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  leo kazi ipo, naona mh ameshaikana ilani ya ccm kuwa yeye hakuandaa, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa akakwepa kujibu swali lolote linalohusianb na ahadi zake kipindi cha
   
 19. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ameshakula dk 15 kwa hilo swala la sekondari du na kuwa bush na obama watakavyotusaidia kutufundishia walimu.
   
 20. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamaa anapoteza muda mwingi na haongei kitu cha maana
   
Loading...