Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

naona ana waste time swali moja. Sijui atajibu mangapi. Naona maswali ni ya tido c ya wananchi
 
Kuhusiana na issue ya viongozi wa dini na nyaraka anasema hawawezi kujibizana lakini anasema ni jambo ambalo limeishtua serikali.

Hofu kubwa ya Serikali ni kuelekea kwenye uchaguzi ujao ambapo watanzania watapiga kura kwa maelekezo ya dini zao!
 
Hakuna Tivii zinazo stream matangazo laivu?

Halafu hivi hawa wana delay kweli? Maana asije akapiga simu kichaa akaanza kutumia lugha chafu....

Hehehehe...swali la bwana Zongo bana...Lol
 
Namba ya simu ya kupiga kuuliza maswali ni ipi? Nipeni nipige niwakilishe JF....ntatumia jina la NN
 
Mheshimiwa Rais anaongea kidiplomasia hata kwa wananchi, badala ya kusimamia ukweli anaongea kama utani. mfano anasema suala la udini ktk uchaguzi siyo zuri sana badala ya kusema siyo zuri kabisa.
 
Anaonekana kukwepa kitu, anasema halmashauri kuu ya CCM imewashauri wakae meza moja na viongozi wa dini ili watanzania wasipige kura kama wakristu ama kama waislam
 
Anaonekana kukwepa kitu, anasema halmashauri kuu ya CCM imewashauri wakae meza moja na viongozi wa dini ili watanzania wasipige kura kama wakristu ama kama waislam

Huyu jamaa hayuko deep kabisa na majibu yake! Sijui tatizo ni uelewa wa swali au uelewa wa ishu....aaaaaghh
 
Namba ya simu ya kupiga kuuliza maswali ni ipi? Nipeni nipige niwakilishe JF....ntatumia jina la NN
Mi mwenyewe nimepiga lakini naona line ziko 'busy' sana.

Ameulizwa juu ya madai ya walimu, ngoja tuone majibu yake
 
Hakuna Tivii zinazo stream matangazo laivu?

Halafu hivi hawa wana delay kweli? Maana asije akapiga simu kichaa akaanza kutumia lugha chafu....

Hehehehe...swali la bwana Zongo bana...Lol
zipo ila mimi imenibidi nilipie kwanza una pumzi nikutumie linki??
 
JK namna anavyojibu maswali ni kama anaongea na 'mshkaji' wake tuuuu.... Not serious at all, ajue haya maswali anayoulizwa ni KERO kwa watu na wanahitaji majibu ya kina na mtu awe serious
 
inamaana rais hajazisoma hizo nyaraka? Mbona amejibu bila hata ya kunukuu walaka wowote sehemu anayoona yeye ni hatari?
 
Back
Top Bottom