Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

Inchi zote zilizoendelea zina main bus terminal moja tu ktk kila mkoa.
Una point nzuri sana umeziongelea BUT:
mwandende unasema nchi zipi? Za Africa au za Ulaya? Usilinganishe Western Europe na zetu. Sweden for example huna haja ya kuwa na gari binafsi. usafiri wa umma uko so efficient, kiasi kwamba you do not need a private car!
Kuna connection za treni, mabasi ndege ambaro ni beyond imagination. ( And I guess the whole of Europe is like that. sasa huku kwetu mavi matupu unamuachaje mtu Mbezi na anakwenda Mbagala bila connection ya kueleweka? Twende taratibu, kwetu bado sana. hata mwendokasi ya Ubungo to feri imewashinda kuiendesha. That was and is supposed to be an excellent transport from Mbezi to ferry!

Mabasi yote yafike Mbezi, then from there yaende kwenye viunga vya Dar wapeleke abiria wao , yatoke huko yapitie Mbezi then to their up country destinations.

Tanga is different from Dar. Tanga unapofika Kange, unafaulishwa (kiswahili chao) , unapewa connecting mini bus to City centre. Are there reliable connections from Mbezi to the outskirts of Mbezi?
 
Back
Top Bottom