DOKEZO Stendi ya Daladala Mbezi iangaliwe kwa jicho pana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
751
Stend imekaa mkao mzuri tatizo kubwa ni management na administration ya stendi.

Kwa ufupi stend inamzunguluko mkubwa sana wa binadam naweza kusema movement ni 1000 men and women per minute.

Kwa wale ambao tulikuwa na maskani sana pale mtaa wa Kongo Kariakoo. Hapa Mbezi stend speed ni kubwa mno.

Serikali ya manispaa ya UBUNGO ifanye jambo pale itapata pesa nyingi sana kwa siku achilia mbali bidder waliempa akusanye.

Kuna uvujaji mkubwa sana wa shilingi. Nendeni kaeni Baraza la manispaa mbuni jinsi ya kupambana na wale wanaozurura pale stend wakijifanya maajenti wa mabasi na wafanyabiashara ndogondogo.

Ieleweke kwamba Magufuli bus terminal imeshawashinda. Magufuli bus terminal is one of the center of the park hapa jijini am apo pangekuwa hata eneo la utalii. Lkk nenda sasa hivi ni kero kero na jangwa la wahuni.

Magufuli bus terminal sio hoja yangu hapa lkn abiria wanaotumia stend ya hyo hutumia kituo kikuu cha daladala mbezi Lois aanzeni na kituo hiki. Kina uholela mwing mno.

Jeshi la usalama wa raia kazi yao inahitajika pale. Wawekeeni ofisi na walipeni posho na section zinazohusika zielezwe umuhimu huo.

Acheni kuifanya nchi hii kama hatuna akili bana. Kituo ni kero unaona kabisa watu wanakamatana wanafanya biashara bure bure hii kitu haikubaliki.

Maoni.
1. Waondoeni vijana pale kwa mbinu ya charge ya kuingia stend. Ana kqzi wanazofanya na kama ni kazi iwe inalipa mamlaka ya serikali ya manispaa
 
Mkuu umewapa ccm pa kuanzia lakini hujawafafanulia vizuri vyanzo na namna ya kufanya Ili faida ulizozisemnzipatikane.Wao hawana uwezo wa kuyafanya uliyoyasema.
Hii mkuu inawatosha kwa leo.

Hizi zinaitwa paku pakua, kuna fursa mingi sana pale.

Stend ile ina watu wengi sana kuingia na kutoka. Haimaanish wawatoze abiria wa daladala la hasha lkn kuna ile inaitwa indirect, nikifika pale pana huduma mbalimbali zinazowafanywa kwa utaratibu.

Muuza ndizi bamia nyanya samaki yaani kero huku nakamatwa njoo twende njombe!!!? Khaa mimi naingia st Joseph kusoma, naenda makumbusho niingie kairuki hospital, naenda zangu kibaha mara moja. Yaani kelele za spina za dawa ya mende,kunguni viroboto, honi, wajombi wanaopiga debenkawe kawe kawe yaani

Unaona kabisa something is not going well
 
Stendi mule ni kero yani hawa wamachinga wao kila sehemu wanayo ona ina watu wanamwaga bidhaa zao chini yani stendi kuna matoroli, majiko ya wauza chips, viatu vimemwagwa chini, wauza pweza, wauza vitumbua, madalali yani mpaka sehemu zakupita inakua ni hakuna ukizubaa unaweza gongwa na gari. CCM hakuna kitu wanaweza simamia
 
Wapiga debe wamezidi kusumbua abiria, yaan ukikaa hovyoo unaangushwa chini khaaaah, waanze na wapiga debe kwan.
 
Stendi mule ni kero yani hawa wamachinga wao kila sehemu wanayo ona ina watu wanamwaga bidhaa zao chini yani stendi kuna matoroli, majiko ya wauza chips, viatu vimemwagwa chini, wauza pweza, wauza vitumbua, madalali yani mpaka sehemu zakupita inakua ni hakuna ukizubaa unaweza gongwa na gari. CCM hakuna kitu wanaweza simamia
Ukistaajabu ya mbezi utayaona ya mbagala ..wamachinga wanapanga biashara katikati ya lami Hadi na majiko ya mahindi
 
Ukistaajabu ya mbezi utayaona ya mbagala ..wamachinga wanapanga biashara katikati ya lami Hadi na majiko ya mahindi
Sasa hao dawa yao ni ndogo tu, unapiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya biashara kwenye hifadhi ya barabara ukikamatwa ni faini au kifungo, mbagala ni kero kubwa hapo bado haujaenda kwenye makazi yao watu wanaishi kama wapo kwenye zama za mawe yaani mitaa inanuka, mitaro imeziba maji taka yanatirika barabarani. Daah watu weusi bado tupo kwenye matengenezo
 
Stendi mule ni kero yani hawa wamachinga wao kila sehemu wanayo ona ina watu wanamwaga bidhaa zao chini yani stendi kuna matoroli, majiko ya wauza chips, viatu vimemwagwa chini, wauza pweza, wauza vitumbua, madalali yani mpaka sehemu zakupita inakua ni hakuna ukizubaa unaweza gongwa na gari. CCM hakuna kitu wanaweza simamia

Sure na unaweza ibiwa pale pale
 
... kuna stendi moja nchini; actually ni Stendi Kuu Dodoma wana upumbavu mwingi sana. Ili uruhusiwe kuingia kukata tiketi unatakiwa ulipie; why?

Halafu vile vidada vya mlangoni SUMA JKT sijui ving'ang'anizi kweli bila reasoning yoyote! Akili ilkuwa wacha watu waingie uwatoze watakapotoka kwa ambaye hatakuwa na tiketi! Simple!

Niliondoka zangu kwenda kukata tiketi stendi binafsi huko nikawaachia stendi yao wakipigwa vumbi! Ubunifu hata wa mambo madogo madogo ni janga la kitaifa!
 
Hata Magufuli kuungia lazima ulipe hat kama una tiketinya basi unasafiri
 
Back
Top Bottom