Umeona eh! Magufuli and his allies are treating us like their objects of labour and Magufuli in particular, can get us hired and fired at his free will!Nchi ngumu sana hii
Na yale mabasi yenye vituo vyao binafsi, vitaendelea kutoa huduma?
huduma zipi hizo if not kupakia na kushusha abiria?Vitaendelea kutoa huduma zote ila sio kupakia na kushusha abiria
Huduma zipi hizo if not kupakia na kushusha abiria?
Hivi sio kwamba huduma ya kituo cha basi ndio hiyo ya kupakia na kushusha?Vitaendelea kutoa huduma zote ila sio kupakia na kushusha abiria
Huu ujinga upo Tanga,huduma zipi hizo if not kupakia na kushusha abiria?
Hivi sio kwamba huduma ya kituo cha basi ndio hiyo ya kupakia na kushusha?
AiseeHuu ujinga upo Tanga,
Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa
Halafu mizigo mtachukua mjini.
Ndio ujinga mkubwa wanaofanyiwa watu. You incur double expenses maana kama una mizigo mikubwa unajuta! Ndiyo hiyo inakuja Mbezi na foleni hizi. Unashuka Mbezi, unakwendaje Kimara na foleni hizi za Dar na mizigo! Wameweka utaratibu gani wa shuttle buses kutoka Mbezi kwenda sehemu zingine za Jiji, say Mbezi Mbagala, Temeke, Kigamboni, Mwenge etc etc etc. Ilibidi kuwe na connection za city shuttle buses to various destinations in Dar!Huu ujinga upo Tanga,
Mnashushwa Kange, mnapandishwa daladala had mjini, Bus linaenda tupu mjini. Na vice versa
Halafu mizigo mtachukua mjini.
Yani basi linalala yard kwangu na abiria wa karibu wanakuja kupandia hapo nalo ni kosa.....Vitaendelea kutoa huduma zote ila sio kupakia na kushusha abiria
Hako kautaratibu kapo mikoa yote iliyijenga stendi Mpya. Kuna siku Nimeenda Iringa nako ni hivyo hivyo. Basi linaendana mjini na lina ofisi kubwa tu, lakini haliruhusiwi kwenda na abiria,mnashuka nje ya mji then mnapanda dalala.Yale yale ya songea
Kuna tatizo hapo imagine unashuka saa sita usiku na daladala hakuna na una mizigo mingi mikubwa!!!Hako kautaratibu kapo mikoa yote iliyijenga stendi Mpya. Kuna siku Nimeenda Iringa nako ni hivyo hivyo. Basi linaendana mjini na lina ofisi kubwa tu, lakini haliruhusiwi kwenda na abiria,mnashuka nje ya mji then mnapanda dalala.
Mbagala si watapandia mbagala. Ila magari yataanzia mbezi then watapita temeke mpaka mbagala then kimoja to mtwara.Kuna tatizo hapo imagine unashuka saa sita usiku na daladala hakuna na una mizigo mingi mikubwa!!!
Wenye mabasi kushusha ofisi zao ilikuwa ni huduma nzuri ya kumsaidia abiria
Kinachotakiwa kitamkwe ni kuwa basi zote zipitie stendi kuu kuanzia safari au kumaliza safari ziwe na abiria au la lazima zipitie ila kusema marufuku kuwa na abiria haliko sawa
Pili kuua hivyo vituo vingine vilivyokuwepo ni kuua ajira za mamia ya watu waliokuwa wakipata riziki zao kupitia hizo stendi ndogo kuanzia maduka teksi bodaboda bajaj wabeba mizigo mama lishe nk zingeachwa tu kama sehemu ya Transit kama ilivyo ndege tu kuwa stendi kuu ubungo stendi ndogo temeke Au mbagala au tegeta au kariakoo au ofisi juu ya basi nk ili kuondoa usumbufu kwa abiria .Sipati picha mtu anaishi mbagala anaenda mtwara aende mbezi kupandia gari kule wakati mfano mwenye gari ana ofisi kuu hapo hapo mbagala na basi linaanzia hapo kwenda mbezi kubeba abiria!!!!
Chukulia mfano basi zima wamekata tiketi watani zangu wamakonde wanaoishi mbagala wanaenda kwao basi linaanzia hapo hapo mbagala ofisi kuu ya basi .Kwa hiyo hao makonde wanatakiwa wapande daladala kwenda mbezi na hilo basi liende tupu hadi mbezi lipakie hao makonde kwenda nao mtwara!!! ni kituko badi watakalopanda liko mbeke yao tupu na wao wako kwenye daladala kwenda mbezi
Haya maamuzi mengine hayako sahihi